Ilianza Vizuri Kiukweli Lakin Mwishon Nikaionaje Sijui Mapka Leo Sijaimalizia.nje ya korea ilikuwa ni maarufu sana lakini ndani ya korea haikupewa kipaombele kikubwa sana na watazamaji wa live...
nyakati zile ilikuwa inaonyeshwa pamoja na when the camellia blooms na secret boutique.
Natamn Kuhisi Hiki, Anapoteaga Ila Mwishon Huku Huwa Anakuja Safari Hii Naona Kimyaa.natumai ni mzima popote alipo....
wameondoka na tuzo ya top exellence awards kwa wote wawili...Spring Drama Ilikua Nascript Iloandikwa Vizuri Sana Na Ya Kiuutuuzima Zaidi
Nashangaa Hata Best Couples Hawajuchukua.
Anhaa! Hongera Yenu Wewe Na Pacha Wako.baba tofauti na mama tofauti....
uzazi wa kupandikiza mbegu kwenye tumbo la ng'ombe
thank you so muchiiiAnhaa! Hongera Yenu Wewe Na Pacha Wako.
Na Ndo Award Walopata tu!?wameondoka na tuzo ya top exellence awards kwa wote wawili...
ni tuzo kubwa baada ya daesang award
huenda amekutwa na tukio la time travel...Natamn Kuhisi Hiki, Anapoteaga Ila Mwishon Huku Huwa Anakuja Safari Hii Naona Kimyaa.
Muumalize Mwaka Kwa Kheri Na Barakha Tele.thank you so muchiii
nahisi ndio hiyo tuuu....Na Ndo Award Walopata tu!?
bibi yangu mzalia bibi anayo ndege ya bure....Muumalize Mwaka Kwa Kheri Na Barakha Tele.
Kesho Bby Wangu Atakuepo (Seung Gi)
Ningekua Nazichuma Ningekua Busan Sa Ivi Nachukua Tren Ya Kwenda Seoul.
Inawezekana.huenda amekutwa na tukio la time travel...
si ajabu muda huu amefungwa nchini joseon kwa kesi ya kumtorosha binti wa mfalme yi bang won
Twende Hakuna Shida Nipo Tayri Nami Nikazishuudie Snow Kama Za Pyongyangbibi yangu mzalia bibi anayo ndege ya bure....
wewe mwenyeo tu na roho yako
nyakati nzuri huacha kumbukumbu zenye kuvutia ndani ya ubongo wetu.......Inawezekana.
Nazikumbuka Good Old Days Zetu Umu Jukwaani.
pyongyang hatuwezi kuingia bila ya kibali cha yule bwege the great conqueror....Twende Hakuna Shida Nipo Tayri Nami Nikazishuudie Snow Kama Za Pyongyang
Yah Kweli.nyakati nzuri huacha kumbukumbu zenye kuvutia ndani ya ubongo wetu.......
nimewakuta wadau wengi sana humu ndani ila wengi wao natumai wamezongwa na majukumu ya kimaisha.....
Mbona Yule British Citizen Kaingia Wakati Ni Mkorea Halisi.pyongyang hatuwezi kuingia bila ya kibali cha yule bwege the great conqueror....
labda twende hanyang
Jal Japyongyang hatuwezi kuingia bila ya kibali cha yule bwege the great conqueror....
labda twende hanyang
episode 6 ndio nimeitafuta muda huu...Mbona Yule British Citizen Kaingia Wakati Ni Mkorea Halisi.
Nakueka Camera Kwa Kila Chumba Cha Hotel Yenu Yenye Kuchukua Siku Mbili Kutoa Picha Za Passport ndo Nini!?
Naomba Ue Bodyguard!?
Nikajua Ushaiona.episode 6 ndio nimeitafuta muda huu...
nitaingalia kesho inshaalllah