Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

awards zimekwisha....
happy new year 2020
sasa nawaomba munitafutie dawa ya kuacha kunywa ulevi wa korean drama
mwaka huu nataka nigombanie ubunge kwa tiketi ya chama

  1. jimbo la makunduchi = ccm
  2. jimbo la malindi = ACT
  3. jimbo lolote pemba - act
Hongera Chinguya Kwa Kazi Kubwa Ya Kutuhabarisha Yalokua Yanaendelea Nyumbani Kwetu. Chukahaye Chingu.

Mi Bado Nimekwama Busan Kuna Folen Hatari.

Happy 2020, Yaende Yakatimie Yote Yalonafsin Mwako InshaAllah.

Chukahaye 😍
 
amiin kwa sote..
ila ukinipa dawa ya kuacha kuangalia wakoreaa nitashukuru mnooo
 
dawa no 3.
block tovuti za wakorea..
dawa no 4
msahau bilisi daemusin
dawa no 5
hakuna dawa ya kuacha kuangaliwa wakorea kwa usiku mmoja

Kama ikitokea hyungnim umeigundua please naomb unihusishe n mim this addiction is killing me.

Nasioni vipi ikipungua

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Zifuatazo ni Drama zangu 10 za awali kuzitazama.

1. JUMONG

2. QUEEN SEON DEOK

3. IRIS

4. KINGDOM OF THE WIND

5. SWALLOW THE SUN

6. CITY HUNTER

7. A MAN CALLED GOD

8. THE LEGEND

9. CHUNO( THE SLAVE HUNTER)

10. KIM SURO

11. DONG YI
Keep it up!

Udau katika Tasnia hii ya Burudani ni kama kujenga nyumba na sikuzote huanza na msingi. Msingi imara unaifanya nyumba ama jengo husika kuwa imara pia.
 
Watazamaji walio wengi wa Blade and Petal hawakufurahishwa na mwenendo wa project hiyo.

Nadhani hiyo ni moja ya projects zilizo vinara katika kukosolewa bila kusahau lawama za hapa na pale kutoka kwa wadau katika Tasnia.
 
Alipoteagaaa.... Long time no see!

Mara ya mwisho kwa mimi kumtazama ilikuwa ni katika project moja ya mwaka 2013 ya Jang Ok Jung, Living by Love. Baada ya hiyo akafanya project nyingine moja kisha akatoweka.

I hope bado hajasahau kuigiza. Hahaha!

Just Kidding!
 
Kabisaa haipo vizuri. Hii ni zile aina za project unaangalia ili mradi uje ujimwambafai una idadi kubwa ya korean drama ulizokwisha kuziangalia
Watazamaji walio wengi wa Blade and Petal hawakufurahishwa na mwenendo wa project hiyo.

Nadhani hiyo ni moja ya projects zilizo vinara katika kukosolewa bila kusahau lawama za hapa na pale kutoka kwa wadau katika Tasnia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…