Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sure [emoji85]
Ukiangalia series na mimi utanichoka.Ni chache sana ambazo silii.
Ila wakorea wamejua kunitesa aiseee.
Drama/series/movie zao zote kali.
[emoji23] [emoji23] ila wakorea bhana usipokuwa kauzu kama mimi utalia hadi basi. Mimi nakumbuka City hunter nililiaga kweli alivyokufa Kim Young Joo yaani nililiaa hadi nilipozinduka kwamba hivi wanaigiza nilikuwa nimemwaga mchozi wa kutosha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe na wewe kuna wanapokushika?
Hivi Kim Young Joo ni nani tena?
Nimesahau muhusika wa hilo jina.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe na wewe kuna wanapokushika?
Hivi Kim Young Joo ni nani tena?
Nimesahau muhusika wa hilo jina.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umemsahau Prosecutor Kim? Yule alikuwa anagombana na baba yake fisadi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umemsahau Prosecutor Kim? Yule alikuwa anagombana na baba yake fisadi
Ooooh kweli nimekumkumbuka.
Nafikiri aliuawa na Dady...
Yule mzee mbishi kinoma.
 
Ooooh kweli nimekumkumbuka.
Nafikiri aliuawa na Dady...
Yule mzee mbishi kinoma.
Ila hii mimi nadhani kwa vile ulishaniambia inaliza kwa hiyo nilishajiandaa kisaikolojia ndo maana haijaniliza
 
Nifah na Khantwe: "historical drama" hasa za mahusiano hugusa sana mioyo ya watazamaji kwa kuwa kuna uhalisia unaofanana na maisha yetu hapa. Tamthilia zingine za Korea za kisasa zinaiga za majuu.

Nadhani 'producers' wa filamu zetu kuna umhimu kutengeza filamu au tamthilia za hali halisi ya maisha yetu hasa kabla ya uhuru. Naamini zitapata soko kubwa ndani na nje ya nchi. Hii yawezekana kwa kutumia vitabu vya historia, simulizi zilizoandikwa na zisizoandikwa km mapigano kati ya kabila na kabila, unyampala (kodi ya kichwa), mapenzi na ndoa enzi hizo, nk
 
Kwa mliobahatika kuitazama the great hero yeam gae so mun, tunaomba mtupe namna ya sisi kuipata, hasa kutupa website hata kama inahitaji VPN
 
Jingbirok
Gu am hae jung
Gwanggaeto the great conqueror
Emperor of the sea
King dae joyong

Mwenye kujua website ya kupata yeam gae so mun with english subtitle anijuze
 
Empress chun chu Empress ki Bridal mask Iljimae The legendary police woman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…