Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Naombeni mnitajie korean historical drama zote mnazozijua ambazo maudhi yake yanafana na historia za kweli zilizoandikwa katika vitabu mbalimbali kama samjuk yusa, old book of han na karhalika. Pia ziwe zinaelezea great events.
 
Anayejua link ya kupakua Dae jo Young With English subtitle aniwekee hapa maana nimehangaika sana kuitafuta hii drama ya 2006 bila mafanikio.
Tafadhali iwe Full episode siyo zile zenye parts 1,2,3...
 
zamani nilikuwa napenda kusikiliza nyimbo za kim tae yeon, davichi,ailee,IU na baek ji young ndio waimbaji niliowapenda ila siku hizi nampenda mno mwanamama LEE SUN HEE nakushauri umtafute wala hutajuta kumsikiliza umri wake na sauti yake haviendani ni shidaaaaa amezaliwa 1961 yeye ndie Queen wa korean ballad na kpop,nathubutu kusema sauti yake ni sawa na
LYN+ BAEKJI YOUNG+DAVICHI+KIM TAE YEON=LEE SUN HEE
images
7a9b6b6c274cd798e4750b865ffa19e2.jpg
25698cc43b0bd138d0c90b0079ca2908.jpg
huyu demu ingawa umri umeenda mpaka 36 amechukua nafasi ya kwanza katika serie ya IRIS kuliko actress mwingine yeyote,anapoki fulani hivi la kizembe mpaka nomaaa!
Namba unitajie link ya kudownload ost mbalimbali
 
Nimemaliza kuangalia tamthilia ya terms of endearment (conditions of love) ni tamthilia ya mwaka 2004 inayozungumzia migogoro na changamoto zinazotokezea ndani ya ndoa na pia matatizo yanayotokezea pindi mwanamke anapoamua kuishi kinyumba na mwanamme asiyemuaminifu bila ya kufunga ndoa na bila wazazi kutambua(huku kwetu Zenji tunaita kusomana tabia). Nimeiweka kwenye rekodi kuwa ni miongoni mwa tamthilia iliyonifanya nilie kama mtoto mdogo nilipokuwa naiangalia.

Kang Han Geol ni mzee aliyekuwa na watoto wa tatu wa kike,kang geunpah,kang eunpah na kang jin pah.Kang geun pah ndie mtoto wa kwanza kuzaliwa aliolewa na mwanamme ambae alikuwa ni wakili Jin jung han,mwanzoni mwa maisha yao waliishi kwa raha na upendo wa hali ya juu na walibahatika kupata mtoto wa kiume walimwita jina la sukbin,ila baadae maisha yao ya ndoa yalibadilika baada ya jin jung han kuwa na michepuko na mfanyakazi mwenziwe jambo hilo lilimuumiza sana kang geun pah mpaka siku moja akamfumania mumewe akiwa na mchepuko wake hotelini ila kwa ujasiri akaamua kuvumilia bila ya kuiambia familia yake wakati huo mume wake alikuwa hajamalizia kujenga nyumba yao kwa hivyo walikuwa wakiishi apartment ya mzee kang han geol, geun pah aliamini mume wake anaweza kurudisha upendo wake wa zamani kwake yeye na familia yake kwa ujumla ila hali ilizidi kuwa mbaya na kufika mahali mume wake alikuwa anarudi usiku wa manane akiwa amelewa.mambo yalizidi kuwa mabaya ndani ya ndoa yao baada ya geun pah naye kushindwa kuvumilia vitendo vya mumewe na yeye kujikuta akiingia kwenye dimbwi la michepuko na kuwa na uhusiano wa karibuni na mwanamme mwengine hadi siku moja mume wake akamfumania na mwanamme balaa likaanzia hapo wakaamua kuachana ila mwishoni walirudiana na mapenzi yao yakaimarika tena.

Kang eun pah ndie alikuwa mtoto wa mwisho kuzaliwa ambaye naye maisha yake ya kimapenzi yalikuwa mabaya,ni mwanamke aliyependana sana na yun taek na wote walisoma pamoja na walikuwa na ndoto ya kuwa walimu ila mahusiano yao hawakuweza kuzaa matunda kwani eun pah alijikuta akiwa na mahusiano na mwanamme ambaye aliitwa jung san ki aliishi nae miaka miwili pasina kufunga nae ndoa na hakuwa mwanamme muwajibikaji jambo lililomfanya kang eun pah kujituma yeye zaidi.baada ya kusomana tabia kwa muda mrefu eun pah alipata ujauzito jambo lililosababisha familia yake kuchukizwa na mwishoni familia ikataka jung san ki amuoe eun pah ili wafiche aibu ya binti wao kuzaa nje ya ndoa lakini siku ya ndoa jamaa aliingia mitini (alikimbia kwenye sherehe ya harusi) baadae eun pah alilazimishwa na familia atoe ile mimba yake kwa sababu mtoto angelikosa matunzo ya baba.

Maisha yaliendelea hadi siku moja eun pah akakutana na mwanamme mwengine ambaye alikuwa ni jang soo ambaye mwanzo alikuwa marekani kwa masomo alikuwa anatokea kwenye familia ya kitajiri,jang soo alivutiwa mno na eun pah ila mwanzo eun pah hakumpenda jang soo ila kadri maisha yalivyosogea mapenzi yao yalikuwa ya furaha na amani ila kikwazo ikawa ni wazee wa jangsoo hawakuvutiwa na eun pah kwa kuwa ni masikini na pia alikuwa ameajiriwa kwenye kitengo cha kulelea watoto kinachomilikiwa na mama yake jang soo ila jang soo alikataa maamuzi ya mama yake na kuamua kutangaza ndoa,kosa kubwa alilofanya eun pah ni kutokumueleza ukweli jang soo kuhusu maisha yake ya zamani kwani maisha yalikuja kuwa mabaya kwake baada ya jang soo kujuwa maisha ya zamani ya mke wake ambaye ni eun pah na kupelekea mgogoro wa ndoa kumkumba eun pah na familia yake. Jang soo alikuwa ni mwanamme aliyeonyesha mapenzi ya dhati kwake na hata kufikia kumsamehe mke wake kwa kushindwa kumwambia ukweli ila tatizo likawa kwa familia ya jangsoo wao hawakutaka kumwona eun pah akiwa na mtoto wao.

Pia nimevutiwa na original sound track (ost) zilizotumika ni nzuri sana.

Cast member

Chae siraa (geum pah)
View attachment 407936

Han ga in (eun pah)
View attachment 407937

Ji sung (yun taek)
View attachment 407939

Lee jung won (jung han)
View attachment 407940

Han jin hee (geum pah and eun pah father)
images


Song il kook (jang soo) ameanza kuonekana kwenye episode ya 25
images


Lee bo hae (jin duk)
View attachment 407943

Nimeshuhudia love chemistry nyingi sana ambazo zimenivutia ila baada ya kuangalia drama hii nimevutiwa sana na love chemistry ya

Song il kook na han ga in

Ji sung na han ga in

hii ndio tamthilia iliyoanza kumpa umaarufu song il kook na alishinda tunzo ya best couples pamoja na han ga in baadae song il kook akapewa ofa ya kucheza tamthilia ya emperor of the sea na kwa mara ya kwanza akachaguliwa kucheza kama muigizaji mkuu kwenye tamthilia ya jumong
Nimesisimkwaaaaa uwiiiii nampenda huyu mtu hadi basi.
Nitaitafuta tu.
 
Mkuu ramani itakusaidia izo ni list ya baadhi ya historical drama kupitia three kingdoms
View attachment 409807
Thanks mr.
Mkuu ramani itakusaidia izo ni list ya baadhi ya historical drama kupitia three kingdoms
View attachment 409807
Thanks mr. Nimejalibu kuitafuta hiyo drama ya yeon gae so mun ktk drama website mbalimbali kama dramacool.to dramafire.org dramafire.com ila haipo hiyo drama. Nliluwa nakuomba inipe link ya kudownload hiyo drama with english subtitle.
 
kutoka 1/10/1971 hadi 1/10/2016 ni miaka 45 kamili tokea wazee wako wapendwa akiwemo iron lady (mrs kim eul dong) akulete duniani wewe mjukuu wa mpigania uhuru wa korea mr song il kook
a.k.a prince jumong (king dongmyengcheon jumong)
jumong20.jpg
2pzbhqg.jpg

yum mun,
e6a572cf23651e7bf9dc61e4.jpg

jang soo,
hqdefault.jpg

prince muhyool (king daemushin muhyool),
34sky76.jpg

michael king(choi kang ta),
hinh-114.jpg

jang young sil,
74.jpg

daehan,minguk,manse oppa
song-il-kook-blood-donation-cute-triplets.jpg

wewe ndie chanzo ulienifanya nitimize mwaka wa 4 bila kuangalia hata tangazo la mchezo wa kiswahili.

saeng il chuk ha ham ni da
saeng il chuk ha ham ni da
sarang ha neun -- (song il kook) shi
saeng il chuk ha ham ni da

Nami nasema...
Saeng il chuk ham ni da
Saeng il chuk ha ham ni da...

Long live King
Will always love you [emoji8]
 
kutoka 1/10/1971 hadi 1/10/2016 ni miaka 45 kamili tokea wazee wako wapendwa akiwemo iron lady (mrs kim eul dong) akulete duniani wewe mjukuu wa mpigania uhuru wa korea mr song il kook
a.k.a prince jumong (king dongmyengcheon jumong)
jumong20.jpg
2pzbhqg.jpg

yum mun,
e6a572cf23651e7bf9dc61e4.jpg

jang soo,
hqdefault.jpg

prince muhyool (king daemushin muhyool),
34sky76.jpg

michael king(choi kang ta),
hinh-114.jpg

jang young sil,
74.jpg

daehan,minguk,manse oppa
song-il-kook-blood-donation-cute-triplets.jpg

wewe ndie chanzo ulienifanya nitimize mwaka wa 4 bila kuangalia hata tangazo la mchezo wa kiswahili.

saeng il chuk ha ham ni da
saeng il chuk ha ham ni da
sarang ha neun -- (song il kook) shi
saeng il chuk ha ham ni da

Nami nasema...
Saeng il chuk ham ni da
Saeng il chuk ha ham ni da...

Long live King Song il Gook
Will always love you [emoji8]
 
HISTORICAL KOREAN DRAMA ZILIZONIVUTIA.
jumong
Gwanggaeto the great conqueror
Prince hodong $ princess nakrang
King dae jo yeong
Jing birok, the memoir of imjin war
Gu am hae jung
Dong yi
Empress ki
Queen seonduk
Warrior dong soo
Emperor of the sea
 
HISTORICAL KOREAN DRAMA ZILIZONIVUTIA.
jumong
Gwanggaeto the great conqueror
Prince hodong $ princess nakrang
King dae jo yeong
Jing birok, the memoir of imjin war
Gu am hae jung
Dong yi
Empress ki
Queen seonduk
Warrior dong soo
Emperor of the sea
Ongeza Yi San, baek dong soo
 
Wakorea series nzur sana ...me huwa napendelea hizo za vijijini ....sijui kwann wabongo tunashindwa kuwa wabunifu....coz issue hapa sio lugha.....wao wanatumia lugha yao na bado wako juu
 
Back
Top Bottom