FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,067
Wahusika wa hiyo series ni Kwon do Hun, Lee su June n.kDoo Ngoja Niitafute.
Me hapa ninazo mbili tu hiyo na psychopath diary.Ifatilie series moja inaitwa woman of 9.9 billion ni Kali mno.
Natanguliza salamu!
Baada ya likizo ya muda mrefu kidogo, ni vyema sasa tukirejea katika jukwaa letu hili la burudani.
Kwanza kabisa, Kuna taarifa ya Ji Chang Wook kuhusika katika filamu (Movie) mpya inayokwenda kwa jina la "Punishment".
Kwa wale wasiomfahamu huyu ndugu basi watafute baadhi ya kazi alizokwisha kuzicheza kama vile; Suspicious Partner, Healer, The K2 n.k.
Bila kusahau,
Kwa wale waliopata kuitazama project moja hivi inayokwenda kwa jina la Empress Ki basi mtakuwa mkimfahamu sana huyu jamaa.
Hahaha!
====
News Alert: Ji Chang Wook will be appearing in the film “Punishment”
On January 13, a source from his agency, Glorious Entertainment, told Sports Chosun, “He confirmed his appearance in film ‘Punishment’ as his follow-up project and has completed the script reading.” Filming will soon begin.
“Punishment” is an action film that depicts a father and daughter (played by Jo Woo Jin and Lee Jae In) surviving after an explosion.
It will be distributed by CJ Entertainment, which is also an investor in the film, and produced by TPS Company with a production cost of 70 billion won (approximately $60.6 million).
This will also be the debut film of director Kim Chang Joo, who was the editorial director behind “Snowpiercer” and “The Terror Live.”
This marks Ji Chang Wook’s first film in three years after the 2017 thriller “Fabricated City.” [Soompi]
View attachment 1325246
We upendi kuona msitu?Huyu jamaa ana ugomvi na kiwembe/mashine kwapani maana kafuga msitu wa kutosha. Kila movie aliyoigiza akiwa kifua wazi akinyanyua mkono amazon inaonekana vizuri tu eg suspicious partner na ile ya mwaka jana aah nimesahau jina kidogo hata kwa healer pia
We upendi kuona msitu?
Movie za zombie wanajuaga wazungu tu sio wengine wakorea na mazombie wapi na wapiNingependa kuuliza swali moja;
Ni wangapi wamewahi kuitazama movie moja hivi ya mwaka 2016 inayokwenda kwa jina la "Train to Busan"?
Mimi niliyeuliza swali hilo ni mmoja wa waliowahi kuitazama movie hiyo.
Hiyo ni filamu au movie yenye maudhui fulani hivi ya kutisha kwa wastani.
Ni movie ya 'mazombi' (zombies) na kama wewe ndugu msomaji wa andiko hili ni mpenzi wa 'mazombi' basi hiyo movie si ya kukosa.
Sasa,
Kwa wale wapenzi wa projects mbalimbali kutoka tvN, mwandishi wa hiyo movie kali kabisa niliyoitaja hapo mwanzoni anakuja na project nyingine mpya kabisa yenye maudhui kama hayo hayo ya kutisha tisha (Supernatural/Thriller).
Project hii mpya inakwenda kwa jina la “The Cursed”.
Hii project ya “The Cursed” inamuhusu msichana mmoja mwenye roho fulani ndani yake inayomfanya kuwa na uwezo wa ajabu sana.
Je, ni uwezo gani huo?
Swali kama hilo na mengineyo yatapatiwa majibu au majawabu pale project hii itakapoanza kurushwa hewani panapo mwezi Februari 10 mwaka huu katika siku mbili za wiki, yaani Jumatatu na Jumanne kupitia kituo chako pendwa kabisa cha tvN.
Tunamalizana na 'Black Dog' kisha inafuata hiyo.
Kaa tayari!
====
News Alert: New Supernatural Thriller Drama “The Cursed” From Writer Behind “Train To Busan”
The new drama is about a teenage girl who has the ability to curse others with death using the characters of someone’s official name written in hanja (Chinese characters), a picture, and a personal belonging.
The girl, alongside a reporter with a strong sense of justice, stands to fight against an immense evil hidden behind a major IT company.
“The Cursed” is writer Yeon Sang Ho’s first foray into the drama world, who penned the hit 2016 zombie film “Train to Busan.” At the helm of the drama will be director Kim Yong Wan (“Champion,” 2018).
The new teaser shows clips of the young girl with this mysterious power, to which the narrator says, “A photo, a name written in hanja, and a personal belonging. It begins now.”
“The Cursed” is set to premiere on February 10. [Soompi]
View attachment 1325371
====
Watch the spine-chilling new teaser trailer below:
Ila wewe umbeya unaangalia vitu ambavyo upaswi kuangalia vp je unapenda love gardeni?Msitu hatari hasa kwenye maeneo ya jasho au baridi kali
Kwa taarifa yako Drama ya Dong Yi ndio ilipelekea Kuitazama WIND OF THE PALACE (YI SAN), Kisha YI SAN ikapelekea kuitazama JEWEL IN THE PALACE( Great Dae Gang Geum). Sababu kubwa Drama hizo zili-share Washiriki kwa kiasi kikubwa.Nina Wiki Sasa Naifatilia Yi San/Lee San Imenifanya Niache Drama Zote Nazoangalia Ili Kuiangalia Hii Masterpiece.
Nilivyoanza, Nilikua Nairuka Ruka Sababu Niliona Episode Nyingi Ila Nikaamua Kukaza Nakuanza Kuinywa Hii Soju (Daemusin).
67/77 Apa Ndo Nilipofika Ila Ilivyonitenda Naona Kabisaa Nakoelekea Nikumaliza Kiwanda Chote Cha Soju Hii. Imenichukua Ikaisha Nami Kwa Hii Wiki Ikanipa Kampan Ya Kutosha Imenifunza Vingi Imeniingiza Kwenye Kuifatilia Siasa (Simpenzi Sana Wa Hii) Lakin Hii Soju Imenifikisha Uko.
Nimecheka Nawalocheka Umu Ndani, Nikalia Nao, Nikakasirika Nao, Nikaudhika Nao, Nikatabasamu Nao, Ikafika Kipindi Nikaruruka Pale PalipoNishangaza Lol! Soju Hii. Ikafika Kipindi Nikhisi Kama Niko Mule Ndani Eti Kama Vile Nimtie Ngumi Huyu Anaeudhi, Kuja Kushtuka Kumbe Nipo Chato Na Soju Yangu Mkononi. Ikabidi Nijicheke Tu.
Hii Ni Drama Ilonifanyia Yote Hayo Nabado Sijaimaliza, Niseme Nini Mimi Mbele Ya Hawa Waandishi, Hawa Waigizaji Na Wahusika Wote Wanaohusika Kutuburudisha Hivyi.
Neno Langu Moja. Mola Azidi Wabariki Kazi Ya Mikono Yao, Wanatupa Wengine Furaha Tele Na Kuburudika Kwa Kuangalia Wanachokitengeneza.
Dong Yi Nilishaiona Na Nilishaisifia Sana Umu Ndani.Kwa taarifa yako Drama ya Dong Yi ndio ilipelekea Kuitazama WIND OF THE PALACE (YI SAN), Kisha YI SAN ikapelekea kuitazama JEWEL IN THE PALACE( Great Dae Gang Geum). Sababu kubwa Drama hizo zili-share Washiriki kwa kiasi kikubwa.
Dooh!Movie za zombie wanajuaga wazungu tu sio wengine wakorea na mazombie wapi na wapi
Hahaha, miye nilikuwa nakupasha tu, mwanzo wa Kuijua Yi San na Great Jang Geum, na si kwamba Uisifie Dong Yi, sote twajua ubora wake ati.Dong Yi Nilishaiona Na Nilishaisifia Sana Umu Ndani.
Kwa Sasa Naimalizia Yi San Nije Kwenye Iyo Dae Gang Geum.
Uzuri Napenda Kukitunuka/Kusifia Wanachokifanya Binadamu Wezetu, Ukweli Wanafanya Kazi Nzuri.
Ni Namna Ya Kuandika Na Kuelewa Labda Ndo Tulipotofautiana.Hahaha, miye nilikuwa nakupasha tu, mwanzo wa Kuijua Yi San na Great Jang Geum, na si kwamba Uisifie Dong Yi, sote twajua ubora wake ati.
Aash....! Nilikuwa nimepakuwa Episode 50 nilizobakiza za Drama ya "Emperor Wang Gun" , "Damo", "The Legend", "Princess' Man", na "3 DAYS"nimejikuta nimezifuta kwa bahati mbaya. Jumba Bovu limeniangukia.
Kwangu hivyo vitu sina interest navyo.Siku hizi naifuatilia series ya woman of 9.9 billion ni noma hiyo ebu icheki utaipenda mwenyewe alafu nipe mrejesho.Aaah inno raha ya movie uangalie kila kilichomo. Hivi huwa haushangai wakorea wakienda tapika wanakimbilia chooni kichwa choye kwenye tundu la choo badala ya kwenye sink la kunawia uso
innocent dependent
mkuu huko kwenye channel mbn hujaiweka hiyo age of warriors? iweke bwana.
Telegram Hiyo ndio channel yetu kama haujajiunga link ndio hiyo.
Kule kuna drama nyingi, pia kama una project nyingi za kikorea si vibaya ukasema ili upewe u- admin ili utupie Vitu.
"SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO, KWA MAELEZO ZAIDI ENDELEA KUVUTA"