Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nmeiangalia nusu na ninayo hua naipita tu kwenye external
 
Kuna chupa za soju (hidden roots) nilikuwa naziwekea kipolo sasa jana nilipokosa kilevi nikaona ngoja nizipige tu Humu ndan nimekutana na bwana Lee bang won anaakili kama za Rais wa Iran aliweyekuwa ana wish kuwa I.G.P anakwambia ukiona unapanga watu hawapangiki toa wote alafu baki katikati peke yako na hapo utakuwa na uwezo wa kuendesha na kusikilizwa bila kupigwa na kila mtu.
 
yes, naiangalia kila wiki...
ilianza vizuri sana ila kadri siku zinavyokwenda mbele hadithi yake inaanza kupoteza mvuto...
ngoja tuone mwisho wake utakuwaje wiki hii inayofuata
Naomba unisaidie Kunitajia jina la series moja hivi inahusiana na mambo ya ndoa mumewe alimpigia simu mkewe nakumuuliza uko wapi mkewe akajibu sikutajii na siku ya Leo naenda kukucheat.Mkewe amefikia maamuzi hayo baada ya kutofurahishwa na mambo yanayoendea kwenye ndoa yake na mumewe.Cast wakuu wa hiyo drama ni kwon do Hun na Lee su Jin hiyo drama ya mwaka 2019.
 
teh teh teh
unaanza tena na mambo yako....
ila leo nimekuja kwa wema hivyo basi sitaongeza chochote.

chelsea oyeeee...
oh my god nilisema sito-ongeza chochote
Leo ni siku yenu ya kuchinjwa na majogoo wa jiji usimtuke mamba kabla ujavuka mto.
 
teh teh teh
unaanza tena na mambo yako....
ila leo nimekuja kwa wema hivyo basi sitaongeza chochote.
nasema sito-ongeza chochote

chelsea oyeeee...
diamond platnumz the boss oyee
oh my god nilisema sito-ongeza chochote
Sababu kubwa ya Mimi kutoangalia series nyingi za Korea ni kwasababu naangalia series za wazungu pamoja na movie zao sija focus pekee kwenye Korea me naangalia hata series za china,kidogo pia Japan pamoja na movie za Thailand.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…