Ningependa kuuliza swali moja;
Ni wangapi wamewahi kuitazama movie moja hivi ya mwaka 2016 inayokwenda kwa jina la
"Train to Busan"?
Mimi niliyeuliza swali hilo ni mmoja wa waliowahi kuitazama movie hiyo.
Hiyo ni filamu au movie yenye maudhui fulani hivi ya kutisha kwa wastani.
Ni movie ya 'mazombi' (zombies) na kama wewe ndugu msomaji wa andiko hili ni mpenzi wa 'mazombi' basi hiyo movie si ya kukosa.
Sasa,
Kwa wale wapenzi wa projects mbalimbali kutoka
tvN, mwandishi wa hiyo movie kali kabisa niliyoitaja hapo mwanzoni anakuja na project nyingine mpya kabisa yenye maudhui kama hayo hayo ya kutisha tisha (Supernatural/Thriller).
Project hii mpya inakwenda kwa jina la
“The Cursed”.
Hii project ya “The Cursed” inamuhusu msichana mmoja mwenye roho fulani ndani yake inayomfanya kuwa na uwezo wa ajabu sana.
Je, ni uwezo gani huo?
Swali kama hilo na mengineyo yatapatiwa majibu au majawabu pale project hii itakapoanza kurushwa hewani panapo mwezi Februari 10 mwaka huu katika siku mbili za wiki, yaani Jumatatu na Jumanne kupitia kituo chako pendwa kabisa cha tvN.
Tunamalizana na 'Black Dog' kisha inafuata hiyo.
Kaa tayari!
====
News Alert: New Supernatural Thriller Drama “The Cursed” From Writer Behind “Train To Busan”
The new drama is about a teenage girl who has the ability to curse others with death using the characters of someone’s official name written in hanja (Chinese characters), a picture, and a personal belonging.
The girl, alongside a reporter with a strong sense of justice, stands to fight against an immense evil hidden behind a major IT company.
“The Cursed” is writer Yeon Sang Ho’s first foray into the drama world, who penned the hit 2016 zombie film “Train to Busan.” At the helm of the drama will be director Kim Yong Wan (“Champion,” 2018).
The new teaser shows clips of the young girl with this mysterious power, to which the narrator says, “A photo, a name written in hanja, and a personal belonging. It begins now.”
“The Cursed” is set to premiere on February 10. [Soompi]
View attachment 1325371
====
Watch the spine-chilling new teaser trailer below: