Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!


Nimeangalia Yi San Ndani Ya Wiki Kama Sijakosea

Unaona Ni Jinsi Gani Soju Ilivyonoga!

Sijawai Mjua Seo Jin Ila Baada Ya Yi San Nimejikuta Nae Namuita Boo, Ama Kweli Sijui Nimchague Nani Maana.

Nyuko Kwenye Same Management Na Seung Gi, Ndomna Wako Karibu

Ivyi Ulishawai Nishtukiza Na Little Forest!

Nimejikuta Nmpenda Brooke Eti (Nikatmn Kua Mkorea Kwa Dakika Jamani)
 
Daah Ila Hii Soju Huez Amin Nilistop Kila Kitu Kuangalia Hii Kitu, Nikajisemea Kumbe Ji-Min Kwenye Spring Night Hakukosea.
 
Kwa mujibu wa maelezo yako, jaribu kutafuta project moja hivi ya kituo cha JTBC ya mwaka huo ulioutaja wa 2019 yenye jina; The Wind Blows.

Ukiingia katika tovuti mbalimbali utakutana pia na That Winter, the Wind Blows, achana nayo. Tafuta The Wind Blows.

Ukiipata, itazame kisha utatupatia mrejesho.
 
Yeah! Ndiyo hiyo hiyo mkuu.

Na ndiyo ambayo ndugu innocent dependent atakuwa akiitafuta.
 
Kamsahminda.

Umetusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…