Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

umekunywa chai ya moto imekuunguza mdomoni cha ajabu unavunja kikombe kwa hasira kanakwamba ndicho kilichokushauri unywe maji ya moto.

wewe muhuni kwa nini unapenda sana uchochezi dhidi yangu?
happy new year brother.
Hahaha, Asante sana Mkuu, Kheri ya Mwaka Mpya pia kwako.
 
ge of warriors drama imejengwa na episodes 156, yaani kuangalia age of warriors drama ni sawa sawa na kuangalia jumong drama mara mbili.

kiupande wangu nimeangalia age of warriors mpaka episode ya 100, imagine adhabu nitakayokutana nayo pindi nitakapoanza tena kuipakua episode 1 mpaka nitakapofikia then nikaihifadhi kwenye channel ya telegram (hata yesu, mohammad, budha na viumbe vyenginevyo vilivyoacha athari kwenye huu ulimwengu wasingelifanya wema huo kwenye huu ulim
Hiyo Age Of Warriors mimi mwenyewe nimeiweka Pending(episode 7/158), sababu mpaka nikiimaliza Emperor Wang Gun ambayo nilianza kuitazama mwezi wa 6.
 
Hivi season za kikorea wapi naweza kuzidownload bila miyeyusho? List ya sites Kama zipo nyingi mnaweza nisaidia wakuu
 
Baada ya kuangalia Queen seondeok na great kings' dream nimegundua zote zinaelezea history ya eneo moja kwa wakati mmoja ,lakini mwandishi ama mtunzi wa Queen seondeok kidogo aliweka uwongo mwingi has a kwa wahusika,,,,kama mishil inaonesha yupo hai mpaka 632AD ilihali real history inaonesha alikufa mwaka 612AD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
age of warriors drama imejengwa na episodes 156, yaani kuangalia age of warriors drama ni sawa sawa na kuangalia jumong drama mara mbili.

kiupande wangu nimeangalia age of warriors mpaka episode ya 100, imagine adhabu nitakayokutana nayo pindi nitakapoanza tena kuipakua episode 1 mpaka nitakapofikia then nikaihifadhi kwenye channel ya telegram (hata yesu, mohammad, budha na viumbe vyenginevyo vilivyoacha athari kwenye huu ulimwengu wasingelifanya wema huo kwenye huu ulimwengu uliojaa miujiza ya ubishi na roho mbaya)
=======================

kutoka oktoba nilipojiunga na telegram mpaka mwishoni mwa mwezi december ambao ndio mwezi wa mwisho kuweka video kwenye ile channel nimefanikiwa kuweka project zifuatazo hapo chini, unaonaje ukatafuta project inayokufaa ukaendelea kuangalia...
  1. my country drama (completed)
  2. arthdal chronicles drama (completed)
  3. vagabond drama (completed)
  4. when the camellia blooms drama (completed)
  5. melting me softly drama (completed)
  6. graceful family drama (completed)
  7. Money Flower drama (completed)
  8. hymn of death drama (short drama, completed)
  9. Desert Spring (short drama, completed)
  10. the most beautiful goodbye in the world (short drama, completed)
  11. The Crowned Clown drama (completed)
  12. Hotel del Luna drama (completed)
  13. signal drama (completed)
  14. tunnel drama (completed)
  15. kingdom season 1 (completed)
  16. Life on Mars drama (completed)
  17. life drama (completed)
  18. Designated Survivor: 60 Days (completed)
  19. VIP drama (completed)
  20. Different Dreams drama (completed)
  21. My Mister (my ajussi) drama (completed)
  22. because this is my first life drama (completed)
  23. Encounter / Boyfriend (completed)
  24. Doctor Prisoner drama (completed)
  25. The Land of the Wind drama (completed)
  26. lawless lawyer drama (completed)
  27. criminal mind drama (completed)
  28. The Tale of Nokdu drama (completed)
  29. Extraordinary You drama (completed)
  30. Secret Boutique drama (completed)
  31. Chief of Staff season 1 (completed)
  32. the fiery priest drama (completed)
  33. One Spring Night drama (completed)
  34. Angel's Last Mission: Love (completed)
  35. Chicago Typewriter drama (completed)
  36. fates and furies drama (completed)
  37. I miss you drama (completed)
  38. Suits drama (completed)
  39. Jeong do jeon drama (30 episodes)
  40. chocolate drama (going on,10 episodes)
  41. crash landing on you drama (going on, 5 episodes)
  42. dae jo yeong drama (5 episodes)
  43. diary of prosecutor ( going on, 4 episodes)
  44. black dog drama (going on, 4 episodes)
  45. stove league drama (going on 5 episodes)
  46. woman of 9.9 billion (going on, 8 episodes)
hizo nilizoziweka bolds nimeota ndoto ya mchana bwana Great Conqueror ataziendeleza.....
mkuu nimezicheki ila hiyo age of warriors ndio nikadhan uliisahau kuiweka kumbe unasababu mujarabuu kabisa za kutokuiweka.

kama vipi achia access bas kwa channel kuweza kuweka zingine.
shukran.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye nimeimaliza Drama ya Princess' Man. ilikuwa nzuri. Nilichojifunza ni kuwa "YEYE ANAEWADHURU WENGINE MARANYINGI HUJIDHURU MWENYEWE" haya yalimtokea Bwana mkubwa(Grand Prince Suyang).


images.jpeg.jpg

3 Days ni Drama Swafih Kabisa! Imenivutia sana, muhimu zaidi hakuna cha Romance humu ndani ni mwendo wa Kazi kazi. Nilichojifunza baada kuitazama ni kuwa " MWISHO WA UBAYA NI FEDHEHA"

Naam, nakwenda kuitazama Two Weeks kizuri zaidi huyu Park Ha Seun( 👆huyo wa Kwanza kushoto) alifanya vizuri kwenye hii 3 Days na zingine kama Dong Yi King and I. Yupo kwenye Two weeks Drama .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna Gracious revenge nilikua naenda nayo sambamba aah nikaona mateso haya nimeishia ep 24 nasubiria iishee niivute yote,hapo hapo naivutia pumzi want a taste na mother of mine
wala sikupi pole...
umejiingiza kwenye betting kwa hiari yako isiyoambatana na shinikizo lolote la kimawazo.

  • Episodes: 100
  • Release Date: September 28, 2019 - 2020
  • Runtime: Saturday & Sunday 19:55
korean family drama nitaendelea kuzipotezea mpaka nitakapofunga ndoa na mwanamke asiye na kazi ya kufanya mnamo mwaka 2040...
tutakuwa tunakaa ndani muda wote tuna angalia drama.​
 
Hatimaye nimeimaliza Drama ya Princess' Man. ilikuwa nzuri. Nilichojifunza ni kuwa "YEYE ANAEWADHURU WENGINE MARANYINGI HUJIDHURU MWENYEWE" haya yalimtokea Bwana mkubwa(Grand Prince Suyang).


View attachment 1332775
3 Days ni Drama Swafih Kabisa! Imenivutia sana, muhimu zaidi hakuna cha Romance humu ndani ni mwendo wa Kazi kazi. Nilichojifunza baada kuitazama ni kuwa " MWISHO WA UBAYA NI FEDHEHA"

Naam, nakwenda kuitazama Two Weeks kizuri zaidi huyu Park Ha Seun( 👆huyo wa Kwanza kushoto) alifanya vizuri kwenye hii 3 Days na zingine kama Dong Yi King and I. Yupo kwenye Two weeks Drama .
Series yangu ya muda wote hii.. naikubali sana.. Han tae kyong alikiwasha.
 
Mkuu Daemusin naweza pata wapi hii series A Beautiful Daughter-in-law Era
Ilikua inaonyeshwa miaka ya nyuma kwenye vituo vyetu. Tulikua twaiangalia TBC1 wanaiita Mao Dou Dou na wakwe zake. Ni ya kichina, je naweza pata yenye Subtitles za English
 
hii weekend imekuwa mbaya sana kiupande wangu.

no stove league drama
no crash landing on you drama

manchester united
imekuwa ovyoooo.
sijui nikajaribu kunywa pombe?
View attachment 1334140
Kweli yaani hii weekend bila crash landing on you ni mbaya kwangu pia. May be I should start watching stove league, hope it's gud.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom