Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna Gracious revenge nilikua naenda nayo sambamba aah nikaona mateso haya nimeishia ep 24 nasubiria iishee niivute yote,hapo hapo naivutia pumzi want a taste na mother of mine
Kuna mtu amenirushia episodes za drama ya VIP Kama umeiona hii drama vipi ni nzuri au mizinguo ili nijue kabisa
 
Dhumuni kuu la movie ni biashara. Wanaonyesha jinsi wenye hela wanavyotumia hela mpaka hela zinaomba msamaha. Kwa hapo ni nzuri utaona jinsi tabaka la juu la korea linavyofaidi huduma za kiwango bora kabisa.

Movie ni nzuri ukitaka kuona maisha ya matajiri wanavyonyenyekewa
So imejikita Sana kwenye kuchepuka kwahiyo Haina visa vingine tofauti?
 
Hahahaha shuain zake messi jana kipigo leo maswali na bado jioni kipute kingine lazima uchoke
ubongo wangu umechoka.... kila nikivuta maneno hayaji

ishu nyengine ni biashara kwa kutarget tabaka maalumu la wateja (VIP)
unajua tena wateja wakubwa wana miiko yao, wanahitaji huduma bora kabla na baada ya kununua
 
Dhumuni kuu la movie ni biashara. Wanaonyesha jinsi wenye hela wanavyotumia hela mpaka hela zinaomba msamaha. Kwa hapo ni nzuri utaona jinsi tabaka la juu la korea linavyofaidi huduma za kiwango bora kabisa.

Movie ni nzuri ukitaka kuona maisha ya matajiri wanavyonyenyekewa
Asante Sana umetoa maelezo mafupi na yamejitosheleza umemaliza kila kitu hapa ndo napowapendea wanawake Kuna jitu lililonitumie episodes za hiyo drama nikamuuliza ikoje hiyo drama alichonijibu sijakielewa kabisa sisi wanaume sijui tukoje kwenye kueleza mambo.
 
Ni kama six flying dragons na the great seer
Baada ya kuangalia Queen seondeok na great kings' dream nimegundua zote zinaelezea history ya eneo moja kwa wakati mmoja ,lakini mwandishi ama mtunzi wa Queen seondeok kidogo aliweka uwongo mwingi has a kwa wahusika,,,,kama mishil inaonesha yupo hai mpaka 632AD ilihali real history inaonesha alikufa mwaka 612AD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Michembe(viazi vitamu vilivyokaushwa) Korea pia ipo awesome nimeona kwenye chocolate ni dried sweet potato
Drama ya VIP nimeikubali Hadi sasa nishaangalia episodes 3 ila nimependa pale yule boss ambaye ana mke ni mfanyakazi wake alivyomdanganya mkewe anaenda kumsindikiza President wa company kumbe alienda hotelini kukutana na mchepuko naye mkewe akamua amfuatilie mumewe ili ajue je kweli mumewe kumsindikiza President wakati anamfuatilia akaona mumewe anaingia hotelini alafu akampigia simu akamuliza tena uko wapi mumewe akaendelea kumdanganya Mara wakakutana uso kwa uso.Hiki kipengele kimenigusa Sana yaani sisi wanaume tuna shida sana.
 
wewe muhuni wa the blues
mwenzako nimefeli kidato cha nne kwa ujinga wangu ulioambatana na ucheza lakini namshukuru mungu elimu ya uandishi wenye viwango nimeondoka nayo.

mwenzangu kidato cha sita umefaulu daraja la kwanza ila cha kusikitisha muandiko wako hauna utofauti wowote na muandaaji wa risala za mazishi ya wahindi .... no comma, no full stop, no paragraph.

halafu ndio nini kutusimulia mkasa mzima wa tukio kama babu bombaa na wajukuu zake.

nakusalimia kaka mkubwa niliyemfunga magoli 6 msimu huu
Naona leo umeamua Kunipa madongo kwel kwel au sio, tukiachana na Hilo naomba unipe app ya kudownload Korean drama maana kissasian inazingua dramanice nayo hivyo hivyo please
 
Aende play store aandike downloader achague mbili atakazoona nzuri azitumie kuvutia movie ila kissiassian siku hizi inazingua ukiingia na down loader yoyote lazima iconfirm kila muda(step) inakutaka usubiri
kwenye ulimwengu wa simu mtaalamu wa application za kuangalia korean drama ni jirani yako kipenzi.....
Numbisa
 
Back
Top Bottom