black dog : ilinishinda njiani tokea episode 4 (niliamua nipambane na diary of prosecutor kwa lengo la kupunguza ulevi)
queen love: nimeipotezea kwa sababu ya lead actor (wangelitafuta matured actor ningelipoteza muda wangu, ukiangalia supporting actors hususani wazee wapo vizuri sana)
mwanamme amejaa dimples mashavuni utadhani andazi la bakhressa.
ananifanya niwe uncomfortable kama mdogo wako
meok goo anaponyimwa fedha ya kununulia bakuli la wali na gavana
akinuna dimples
akicheka dimples
wengine dimples zetu zimeingia ndani zaidi kama vishimo vya kuchezea gololi
View attachment 1344569