Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

punguza bangi mjukuu wangu...
kila siku natumia kissasian kupakua drama, sielewi kiupande wako inagomaje..
hebu tiririka kwa sababu gani zinakugomea?
Acha majungu mzee baba mambo ya mjukuu yametokea wapi?by the way imekubali sasa hiv mwanzo ilikuwa na id nyingi ukitaka kudownload.
 
Juzi nilimsikia mwanasiasa mmoja akisema Watanzania ni washamba ndio maana wanajazana pale JK. Nyerere kwenye kupokea......
😁😁 Wanashindwa kujazana kwenye uzinduzi wa miradi ya maemdeleo sababu wanahofia kuitwa washamba. Hahaha Sometimes tujiulize Je! Haya maji machafu chanzo chake ni wapi na si kung'ang'ana kuyatoa wakati hujatazama chanzo.

Je wapo tayari kujifunza?.
Huwezi kujua kusoma kama hupendi kusoma (All learning starts with interest and Genuine) kwahiyo kabla ya kumfunza mtu lazima ajifunze namna ya kujifunza.

hahaha Karibu sana Pyeongyang.
 
Kijana MB zangu,SIMU yangu,Usingizi wangu na bado kiherehere cha kujua kilichomo ni changu. Huwa sina kawaida ya kuuliza uliza,navuta naangalia,kama mbaya naangalia mpaka mwisho kisha nalaumu kupoteza mb na muda inaisha ili mradi nimemaliza ile hamu ya kuiona movie husika

Jifunze kuishi bila maoni ya watu sio kila maoni ni mazuri,mengine yatakukosesha uhondo.
Ina maana hiyo jackpot umeangalia bila kusikiliza maoni ya wana Kama ni nzuri au la?Me binafsi siwezi kuangalia drama yoyote bila maoni ya watu kwanza.
 
Kwa umri wake ni first born wa mwanagu kabisa(ukubwa raha sana) huyo hajiwoni mbona sio mzuri kivileeee bora suzy,kim nana(jina lake halisi sijalishika)

Ila kijana ananifurahisha akiwa anga hizi na kule celebrity
weweeeee umesahau ya kwamba ahjumma ha ji won nimemchagulia mimi babu yake.
acha kumpotosha mjukuu wangu asiyetaka kukitambua cheo changu.
 
Hahaha aiseee hapa nasubiria amalize VIP aje aulize uzuri wa movie nyingine,sijui itakua ipi hio

My next target

Stove league
Crash landing on you
Queen love
Black dog
Diary of prosecutor

Aah wanazichelewesha,baadhi zingekua zimeshaisha
 
Hahahaha aiseee hapo kwa huyo handsome umenitamanisha pamoja na kwamba umempondea balaa ila nimejikuta naipenda,muhimu sana kuiangalia hii

Kuna movie ya the liar and his lover(sijui nimepatia jina,hii imenishinda kabisa kuiangalia,bahati nzuri nilivuta episode 2 tu) hio black dog ntaenda nayo hivyo hivyo.
 
Naona kule karaoke zipo nyingi kuliko vibanda vya kusajilia line bongo. Pombe wanakunywa mpaka mwenye bar anawatimua ili afunge biashara. Lazima sherehe za kupongezana kila dakika ziwepo
wakorea na wao wamejaza sherehe kwenye maisha yao kama wahindi...
 
1 mpaka 4 nitasubiria ziishe ili nizivute vizuri,namba 5 sijawahi kuiwaza na 6 kama ni criminal iniepuke sipendi presha mie

Hizo za 2019 nazisubiria kwa hamu ziishe nifaidi kilichomo maana ongoing moja tu inanipa tabu mpaka march 2020
 
Halafu wa kwanza kulalamika maisha magumu mara mishahara midogo ila kwenye kunywa wanasahau hilo,kila saa ofa za msosi au pombe. Mabingwa wa kushika mikasi ya kukatia nyama,kuagiza kuku
wakorea wanapenda kula
wakorea wanapenda kupeana offer ya vinywaji
wakorea hawawezi kunywa pombe bila ya nyama choma
 
Halafu wa kwanza kulalamika maisha magumu mara mishahara modogo ila kwenye kunywa wanasahau hilo,kila saa ofa za msosi au pombe. Mabingwa wa kushika mikasi ya kukatia nyama,kuagiza kuku
Naona leo mmetengeneza kikao Chenu cha majungu na uchochezi na mwenzako Daemusin kwa ajili ya kumzungumzia Mume halali wa Ha ji won Innocent dependent me nawaangalia tu ila nimependa kitu kimoja kwenye kikao Chenu mmenipa na drama za kuangalia maana sasa nimekomaa na drama zangu VIP pamoja na Woman of 9.9 billion nikizimaliza hizi nakuja huko.
 
Wakorea naomb niulize instant noodles kwa kwet n chakula kipi,

na soju kwa bongo tutaifannsha n bia gan, je manufacturer wake n mmoja nationalwide?

Asante[emoji1374]



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Instant noodles kwetu ni Tambi,sema sie tumezoea tambi za aina moja(santa nanii) ila ukienda supermarket zipo za aina nyingi.

Soju kama k vant,konyagi etc(huwa wanakunja sura kwa ukali wake). Maana naona wanalewa zaidi kuliko wakinywa bia za kawaida
Wakorea naomb niulize instant noodles kwa kwet n chakula kipi,

na soju kwa bongo tutaifannsha n bia gan, je manufacturer wake n mmoja nationalwide?

Asante[emoji1374]



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Soju is a clear, colorless distilled beverage of Korean origin. It is usually consumed neat, and its alcohol content varies from about 16.8% to 53% alcohol by volume. Most brands of soju are made in South Korea.

Soju, a Korean variation on vodka traditionally made from rice but more commonly from sweet potatoes these days. With 24% alcohol, soju is stronger than beer (4% to 5%) or wine (about 13%) but packs a weaker punch than virtually all vodkas, which are 40% alcohol.

Soju is, at it's most basic, a clear, 20-24 percent alcohol by volume spirit. It's from Korea, and is mostly consumed in Korea, Japan, and China. Soju is neutral-tasting like vodka, but doesn't have the harsh alcohol burn thanks to having around half the percentage of alcohol.

The Taste of Soju
Soju has a clean, neutral taste that makes it a good accompaniment to Korean food or Korean snacks. People often say that the taste reminds them of vodka, but most commercial soju sold today has a sweeter and less aggressive flavor than vodka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…