Cover ya hiyo drama inaitwaje?no updating (hakujawa na taarifa rasmi ya muendelezo wa season 2) mpaka muda huu.
inategemea na maudhui yanayokuvutia kwenye nafsi yako, huenda kuna uhaba wa maudhui yanayokuvutia ndio maana umejiaminisha kuna uhaba wa drama nzuri.
jumla = episode 16 (dozi yangu ya wiki)
- itaewon class drama
- criminal : tell me what you saw drama
- sports and management: stove league drama
- rom-comedy: crash landing on you drama
- medical: romantic doctor teacher kim season 2 drama
- economy and finance: money games drama
- crime and mystery: the game toward zero drama
- legal: diary of prosecutor drama
View attachment 1347507
Cover tu imenivutia nitaitafuta baada ya kumaliza VIP ambayo nimebakiza episodes 2 tu kwani inahusiana na Nini?itaewon class drama
Vipi ngumi zipo?zifanye ndoto zako kuwa ni tukio la ukweli kwa kuzigeuza shida zako na kuwa fursa kama diamond platinamu
The story of Park Sae-ro-yi who opens a restaurant in Itaewon after his father's death and all the hardships.
Haya nimekupata.kwani diamond alipigana ngumi mpaka kufikia hapa alipo?
nimekutolea mfano wa diamond platnumz na bado unaniuliza habari ya ngumi...
ningelitoa mfano wa mayweather ungeliniuliza mapenzi yamo?
teh teh nipo kwenye utani
Same to youusiku mwema
Asanteno updating (hakujawa na taarifa rasmi ya muendelezo wa season 2) mpaka muda huu.
inategemea na maudhui yanayokuvutia kwenye nafsi yako, huenda kuna uhaba wa maudhui yanayokuvutia ndio maana umejiaminisha kuna uhaba wa drama nzuri.
jumla = episode 16 (dozi yangu ya wiki)
- itaewon class drama
- criminal : tell me what you saw drama
- sports and management: stove league drama
- rom-comedy: crash landing on you drama
- medical: romantic doctor teacher kim season 2 drama
- economy and finance: money games drama
- crime and mystery: the game toward zero drama
- legal: diary of prosecutor drama
View attachment 1347507
itaewon class drama
Hata me mwenyewe naboreka na huo upuuzi.Hizi steps huwa zinaboa ila ndo mvumilivu hula mbivuView attachment 1348161View attachment 1348162
Hata me mwenyewe naboreka na huo upuuzi.
Mara ya kwanza nilikuwa sijui baadae nikaja kujua ninatakiwa ni skip Fe server baada ya utundu wangu.Zamani zilikua zinaboa ila saiv nimeshazizoea hasa net ikiwa kasi kubwa hizo hatua unazipita haraka mno
Hapo kwenye captcha unabonyeza skip captcha (FE server)haina haja ya kubonyeza hizo picha.
hiyo ndio serever ninayoipenda (asilimia 95 ya video nazipakua kwa kutumia server hiyo)
nimesema utafiti uchwara
- inakupa uhakika wa machaguo (video quality) ukilinganisha na server nyenginezo
- bando linapungua (niliwahi kufanya utafiti uchwara nikagundua hilo)
Inawezekana upo sahihi maana me naangalia episode moja tu kwa mb 158 tena kwa quality ya juu Sana.hiyo ndio serever ninayoipenda (asilimia 95 ya video nazipakua kwa kutumia server hiyo)
nimesema utafiti uchwara
- inakupa uhakika wa machaguo (video quality) ukilinganisha na server nyenginezo
- bando linapungua (niliwahi kufanya utafiti uchwara nikagundua hilo)
maudhi ya server hiyo inakuja pale ambapo video haijawa converted, kwa mfano leo asubuhi kuna episode nimeikuta bado ipo HD na imebeba 500 MB (nimeipotezea)
Upo sahihi kwa asilimia 💯 hata me nimeliona hilo.ni ongoing drama (mara nyingi inakuwa ni bahati nasibu hivyo basi ni bora uisubuirie kwa muda)...
dramanice baadhi ya episodes zimekuwa converted different quality (webiste nyingi wanaitegemea dramanice)
ukibonyeza hapo sehemu iliyoandikwa donwload itafunguka link ambayo imebeba video quality na baadhi ya server zake.
View attachment 1349240
hii ndio episode niliyoikuta ina mb 500 alfajiri ya leo, kwa sasa imekuwa converted only 480 video quality
View attachment 1349241
ukienda kissasian wameiconvert hadi 360 video quality na imebeba mb 170 kwa sever ya FE na mb 113 kwa sever ya kissasin beta.
View attachment 1349246
View attachment 1349243
utafiti wangu uchwara unaendelea kuwa sahihi