Samsung grand prime mkuuunatumia device gani?
Ndio ni simu mkuu, shukranbrother umenitajia brand name ya device yako ila huenda ikawa ni simu (wengine tunatumia nokia ya tochi hivyo basi huko mbele hatujafika)
na kama ni simu basi acha nimwite huyu mwanadamu, natumai atakusaidia kwa haraka.
Numbisa
Ndio ni simu mkuu, shukran
Asante mkuu, Ngoja nijaribuMkuu kwa kianzio tafuta application hii,playstore utaipataView attachment 1349890 ukishaipata utaona G means google type kissiassian kisha ingia humo. Tafuta movie uipendayo fata steps bila kuchoka utaweza download,likija tangazo rudi mwanzo kisha anza upya.
Hebu fata kwanza hizo hatua ukishindwa kwenda mbele nijulishe ntakuelekeza mpaka mwisho. (Mie natumia tecno toleo la zamani)
N
Asante mkuu, Ngoja nijaribu
Mkuu kwa kianzio tafuta application hii,playstore utaipataView attachment 1349890 ukishaipata utaona G means google type kissiassian kisha ingia humo. Tafuta movie uipendayo fata steps bila kuchoka utaweza download,likija tangazo rudi mwanzo kisha anza upya.
Hebu fata kwanza hizo hatua ukishindwa kwenda mbele nijulishe ntakuelekeza mpaka mwisho. (Mie natumia tecno toleo la zamani)
Nii hii mkuu?Mkuu kwa kianzio tafuta application hii,playstore utaipataView attachment 1349890 ukishaipata utaona G means google type kissiassian kisha ingia humo. Tafuta movie uipendayo fata steps bila kuchoka utaweza download,likija tangazo rudi mwanzo kisha anza upya.
Hebu fata kwanza hizo hatua ukishindwa kwenda mbele nijulishe ntakuelekeza mpaka mwisho. (Mie natumia tecno toleo la zamani)
Nii hii mkuu?
Nii hii mkuu?
Nishaweza mkuu, ubarikiweVuta hata hio nayo ipo vizuri
application nyingine ukienda setting zinakubali movie kuingia kwenye memory card badala ya kwenye simu. Ila ukifuta application yenyewe na movie uliyovuta inafutika.Nishaweza mkuu, ubarikiwe
Hiyo nova hats haieleweki kabisa,,,,,baada ya installation what's next?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inahusiana na nini hiyo drama?Korea Imeweza Kiutani Utani Imeitawala Hollywood Kwenye Tuzo Zao Leo.
Imechukua Tuzo 4 Kupitia Movie ya Parasite na Ndo Imeongoza Kuchukua Tuzo Nyingi,
Kwa Lugha Yao(Kikorea) Kutoka Nchi Isiyo Yao, Kwenye Academy Isiyo Yao Na Tuzo Zisizo Zao Ila Leo Wamewatawala.
Kiukweli Natamn Kua Mkorea Kwa Dakika, Kumbe Inawezakana Kufanya Chakwenu Kwa Tamaduni Zenu Na Kikawa Moto Kwenye Nchi Za Kigeni.
Hongera Parasite Hakika Now Nahisi Itaanza Kua Movie Itakayoanza Kutazamwa Tena Zaidi.
View attachment 1352976
Best International Film Feature -Parasite
Best Director -Bong Joon Ho- Parasite
Best Picture -Parasite
Best Original Screenplay- Parasite
Familia Mbili zenye Hali ya Kifedha Tofauti, Moja Ya Ufukara Nyengine Inauwezo Wa Kifedha.Inahusiana na nini hiyo drama?
Gomawo.Familia Mbili zenye Hali ya Kifedha Tofauti, Moja Ya Ufukara Nyengine Inauwezo Wa Kifedha.
Mtoto Wa Fukara Ana Rafiki Yake Ambaye Alikua Mwalimu Wa Nyumban wa Mtoto Wa Iyo Familia Ya Kitajiri, Huyo Rafiki Akapata Safari Yakwenda Nje ya Korea Ikabidi Amuombe Uyo Mtoto Wa Fukara Awe Mwalimu Wa Uyo Mtoto Wa Tajiri.
Apo Kati Kati Vikatokea Vingi Vilivyopelekea Mauji.
Nzuri Zaidi Kama Utaiangalia.