Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mkuu kwa kianzio tafuta application hii,playstore utaipata
IMG_20200207_171328.jpg
ukishaipata utaona G means google type kissiassian kisha ingia humo. Tafuta movie uipendayo fata steps bila kuchoka utaweza download,likija tangazo rudi mwanzo kisha anza upya.

Hebu fata kwanza hizo hatua ukishindwa kwenda mbele nijulishe ntakuelekeza mpaka mwisho. (Mie natumia tecno toleo la zamani)
Ndio ni simu mkuu, shukran
 
N
Mkuu kwa kianzio tafuta application hii,playstore utaipataView attachment 1349890 ukishaipata utaona G means google type kissiassian kisha ingia humo. Tafuta movie uipendayo fata steps bila kuchoka utaweza download,likija tangazo rudi mwanzo kisha anza upya.

Hebu fata kwanza hizo hatua ukishindwa kwenda mbele nijulishe ntakuelekeza mpaka mwisho. (Mie natumia tecno toleo la zamani)
Asante mkuu, Ngoja nijaribu
 
Nii hii mkuu?
 
Attachments

  • Screenshot_20200207-201601.png
    Screenshot_20200207-201601.png
    48.3 KB · Views: 4
Amen

NB: hio inavuta hadi episode tano kwa mkupuo mmoja.

Ukishaiwezea hio tafuta nyingine ya pili(aina yoyote,nyingi zinavuta episode tatu)unakua unavuta episode za kutosha kwa muda mfupi
Nishaweza mkuu, ubarikiwe
application nyingine ukienda setting zinakubali movie kuingia kwenye memory card badala ya kwenye simu. Ila ukifuta application yenyewe na movie uliyovuta inafutika.
 
Korea Imeweza Kiutani Utani Imeitawala Hollywood Kwenye Tuzo Zao Leo.

Imechukua Tuzo 4 Kupitia Movie ya Parasite na Ndo Imeongoza Kuchukua Tuzo Nyingi,

Kwa Lugha Yao(Kikorea) Kutoka Nchi Isiyo Yao, Kwenye Academy Isiyo Yao Na Tuzo Zisizo Zao Ila Leo Wamewatawala.

Kiukweli Natamn Kua Mkorea Kwa Dakika, Kumbe Inawezakana Kufanya Chakwenu Kwa Tamaduni Zenu Na Kikawa Moto Kwenye Nchi Za Kigeni.

Hongera Parasite Hakika Now Nahisi Itaanza Kua Movie Itakayoanza Kutazamwa Tena Zaidi.

1581315362151.png

Best International Film Feature -Parasite
Best Director -Bong Joon Ho- Parasite
Best Picture -Parasite
Best Original Screenplay- Parasite
 
View attachment 1352976

Best International Film Feature -Parasite
Best Director -Bong Joon Ho- Parasite
Best Picture -Parasite
Best Original Screenplay- Parasite
Inahusiana na nini hiyo drama?
 
Inahusiana na nini hiyo drama?
Familia Mbili zenye Hali ya Kifedha Tofauti, Moja Ya Ufukara Nyengine Inauwezo Wa Kifedha.

Mtoto Wa Fukara Ana Rafiki Yake Ambaye Alikua Mwalimu Wa Nyumban wa Mtoto Wa Iyo Familia Ya Kitajiri, Huyo Rafiki Akapata Safari Yakwenda Nje ya Korea Ikabidi Amuombe Uyo Mtoto Wa Fukara Awe Mwalimu Wa Uyo Mtoto Wa Tajiri.

Apo Kati Kati Vikatokea Vingi Vilivyopelekea Mauji.

Nzuri Zaidi Kama Utaiangalia.
 
Gomawo.
 
Naam, miye ni mzima wa afya na jambo la Kufurahisha ni kuwa Nchi kwetu Corona Virus haijaripotiwa kuwepo.
Mwaka 2020 niliuanza na Drama zifuatazo;
Princess' Man ep. 24✅
Three Days ep. 16✅
Emperor Wang Gun ep. 160/200 ⏯
Damo ep. 4/16⏯
The Legend (The King Of Four gods) ep.24✅
TWO WEEKS ep. 16✅
 
Huyu mzee mkubwa karibia kila Drama nayomuona kacheza ni mzinguaji tu, Nikajua Damo hii ni ya zamani(2003) labda alikuwa jamaa ni mstaharabu lakini wapi.
Main character wa kwenye hii Damo ndio yule aliyecheza Empress Ki.
Muhuni( JUKBAN)wenu na yeye yumo.

Screenshot_20200211-121834.png

Unaweza kujiuliza kwanini Nchi yetu ( N.K) hatujatangaza kuwepo kwa virusi vya corona, ni kwa sababu serikali yetu imetoa bure Rare Ginseng za miaka 2000 kwa raia wote.
Ujue hizi Ginseng zimegawanyika mara 2 zipo ambazo ni,
Comphoric Ginseng & Rare Wild Ginseng
Karibuni sana ndugu tutupie hizi rare roots.
 
Back
Top Bottom