Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Simkumbuki vizuri nitajie uhusika wake kwenye the empress ki?
 
Inaitwa my heart kaitafsir Dj skills


Ebu Elezea Maelezo Mengine Ya Hiyo Drama, Ichi Ulichokielezea Kwangu Bado Sijakielewa.

Kuna Drama Nyingi Za Maudhui Haya, Kuijua Moja Kwa Moja Ni Ngumu Chingu Labda Unipe Jina La Mshiriki Mmoja Kwenye Iyo Drama.
[/QUOTE]
 
Ohoo main character wa Damo ( Ha ji won) pia ndiye👇 alikuwa Main character wa Empress Ki, akivaa uhusika wa Lady Ki.View attachment 1354826
Kama ha ji won yupo sitaichewesha hii kuangalia zingine zote nitaweka kapuni.Huyu dada ninavyompenda natamani kila mwaka awe anakuwa kwenye drama yoyote na anapokuwa anacheza za porini ndo anakuwa wa Moto kwelikweli pia na scene za kupigana Kama the empress ki ila walimkosea sana kumweka kwenye drama ya kiboya ya chocolate.Asante mkuu kwa taarifa hapa nilipo nimefurahi ile mbaya kwangu ha ji won ndio muigizaji ninayempenda kuliko wote.
 
U-Crezi.
 
Naam, umemuona huyo mtaalam kwenye hiyo cover pic. Ndiye aliyecheza Wind of the Palace akiwa kama Yi San, na alicheza kwenye Gybaek akiwa kama General Gybaek.
 
Black dog haina amsha amsha,mwanga wamebania,ina matukio mengi ya huzuni kuliko furaha,maisha magumu kwa wanandoa na wasio na ndoa. Changamoto nyingi kazini.
 
Naomba link nidownload episodes za hii drama yako ya Doma
 
Ni kweli bwana kama ninyi mlivyotaka kunikosesha uhondo wa Bride of Water God

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimesema hivyo kutokana na comment ya Numbisa, sijajua vinahusiana vipi na kuvuta bangi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa updates, mbali lakin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nielekeze namna ya kudownload
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…