samahani kwenye pc nimejaribu ila file type si mp4, nafanyaje ili iwe mp? nimejaribu ku convert ila bado siielewi
- bonyeza hapo kwenye link download (itategemea na video quality unayoitaka au itakayokuwepo)
Parasite ninayoifahamu mimi ni movie yenye mafanikio makubwa katika tuzo mbalimbali duniani hususani hivi karibuni.Kuna kazi inaitwa Parasite ni Korean drama naipataje?
Living my dreams
Handsome siblings hiv ni nzuri?
Aisee nimeshindwa hasa ninapofika baada ya kubonyeza kile kishare Cha pembeniKijana hujaleta mrejesho ulifanikiwa au ulishindwa?
Aisee nimeshindwa hasa ninapofika baada ya kubonyeza kile kishare Cha pembeni
huyu kijana inaonekana hata comment huwa hasomi
Kuna muda comment za Noona Numbisa na hyungnims Daemusin na Innocent dependent zinanifanya niimiss JF
Mwenye anaujua huo wimbo wa mwanzoni kabisa aniambie unaitwaje pliz
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv drama ya handsome siblings ni nzuri? Kama umeiona lakini.Unaitwa I miss you by So you
Ahsante sanayoon mi rae = you are my world.
legend of the blue sea drama.
sijui ndio kusudio lako?
Hiv drama ya handsome siblings ni nzuri? Kama umeiona lakini.
Sina hata drama my dear na kuangalia online sina bando. Mara ya mwisho nimeangalia Bride of habaekSaiv unaangalia drama gani nikuigilizie
Sina hata drama my dear na kuangalia online sina bando. Mara ya mwisho nimeangalia Bride of habaek
Sent using Jamii Forums mobile app