hata Tanzania tunavyo.........
kituko cha jana nilichokutana nacho wakati nahudumiwa bakuli la urojo.
- kituko cha kwanza: mpishi wa urojo alikuwa ni dada kutoka huko kwenu (Tanzania ya nyerere)
- kituko cha pili: kuna tv inaitwa sinema zetu (king'amuzi cha azam).
teh teh teh
kuna jamaa alitekwa pamoja na wasichana.... alipigwa weeeeeeeeeeeeeee mpaka akachakaaa (akapoteza fahamu)
jamaa baadae wakamtupa baharini (cha ajabu zaidi walimtupa maji madogo).
dakika moja baadae jamaa akazinduka (basi hiyo speed yake aliyotoka nayo mhhhhhhh! utadhani kifaru)
nikabaki namshangao (huyu jamaa si alipigwa mpaka akazimia)
muda huo huo alijuaje sehemu waliotekwa wenzake?
kilichofuata
muhudumuuuu wa kitanzania baraaaa...... nipe chenji yangu.
ahsante kwa urojooo.