Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Aaah una yako mzenji au tuseme ndo wivu ee movie isiyo na handsome huwa hainogi. Raha ya drama handsome halafu awekwe na kabeauty,kiss za maana.


Boys over flower (sijui nimepatia jina)walikosea actress na ile style ya nywelee hata sikuipenda drama nzima.
vihandisome boyiii ndio vinatufanya jinsia ya wanaume tuonekana ni loseeerrrr......

mwanaume amejaa makeup, lipstick, powder...
kibaya zaidi amepewa mpaka dimples
alaahhhhh si utafute na matiti ujiwekeee
 
Queen:Love and war nzuri ila king kiss utadhani ananyonya embe ng'ong'o aah hata haijanoga hapo
Hata me naikubali Hiyo drama.Nimejaribu kudownload drama ya Damo kupitia maelezo ulionipa kila nikiidownload inaandika error alafu uoni ikitembea.Naomba msaada wako nipe njia nyingine
 
kwa sababu hukufanya uchunguzi wa hadithi hizo mbili ndio maana nikasema upunguze kuvuta bangi ahjumma mtarajiwa.

jaribu siku moja kuiangalia hiyo project ya dong yi japo ep 5 utagundua nilichokizungumza.....
chengine waliosimamia project mbili hizo ni watu wawili tofauti.
Hiyo Ptoject ya Dong Yi ni kiboko mzee mkubwa, ndio Drama yangu bora kabisa.
 
mjukuu punguza kuvuta bangi iliochanganywa na tangawizi.....
hiyo project ya chocolate amechagua ha ji won mwenyewe (ni nani aliyekwambia ya kwamba waigizaji wanachaguliwa kushiriki kwenye drama nyuma ya pazia)

unadhani ni uchaguzi wa CCM au CHADEMA?
hivi nursery bado hazijafunguliwa?
Hizi Bange unazovuta punguza 😁😁
 
wala sijakutukana ila nimekwambia ukweli bwana ziyech.....

ukienda library za zamani nina uhakika hiyo damo drama utaikuta.

kwa kuwa imewekwa maneno ya kiswahili basi itakuwa rahisi zaidi kwa watu wako wa karibu(kuweza kuiangalia na kuifahamu hadithi yake)

au tafuta mwenye pc akuazime then uipakue(downloads).

kama kuelekezwa kwa njia ya simu tayari umeshaelekezwa cha ajabu bado unakuja na lugha ile ile ya kushindwa kutimiza lengo.

  1. kanunue cd
  2. mtafute mwenye pc, mpe bando akupakulie(download)
  3. ungelikuwa unashabikia man utd basi ningelikupiga offer, then nikaiweka telegram....bahati mbaya unashabikia team mbovuu
Mashabiki wa Man u mnanichekesha sana mkishinda game moja tu mnajiona Kama mmechukua ubingwa.wewe kweli wakusema Chelsea mbovu Kama Chelsea ni mbovu team yako tutaiita jina gani?tukiachana na hayo naomba basi kwa Mara ya mwisho nielekeze kwa usahihi na baada ya hapo sitakusumbua Tena nipo chini ya miguu yako ebu nifanyie fair kwenye Hili.
 
Inno anavyohangaika ananikumbusha ninavyohangaika hapa kupata connection ya chimbo (app)la series sijui drama zile za Philippine
ninaponukuu comment (quote) au ninapolitaja jina la user kwa jambo lolote lenye faida kwake hupenda na yeye anijibu japo kwa kunipa dislike kama hajafurahishwa na nilichokiandika.....

inapotokezea ameshindwa kunijibu haliyakuwa mara kwa mara anapita kwenye thread husika basi kwenye nafsi yangu hubakiwa na fikra za kijinga zenye kuambatana na degree ya upumbavu ndani yake.

  • huenda nimeandika utumbo ndio maana sijajibiwa
  • huenda nimemkera kutokana na uandishi wangu
  • huenda amenipuuza (kwa sababu sio type yake kimazungumzo)
jumamosi hii iliopita nilikujibu swali lako ukiachana na yale maneno ya utani......... bahati mbaya mpaka muda huu sijapata jibu lolote kutoka kwako (umenipotezea, hujaiona, nimeandika utumbo, nimekukera?)

hata sielewi..........
jibu langu lilikuwa hivi (ukiachana na maandishi ya utani)
===============================================
View attachment 1363742
 
ninaponukuu comment (quote) au ninapolitaja jina la user kwa jambo lolote lenye faida kwake hupenda na yeye anijibu japo kwa kunipa dislike kama hajafurahishwa na nilichokiandika.....

inapotokezea ameshindwa kunijibu haliyakuwa mara kwa mara anapita kwenye thread husika basi kwenye nafsi yangu hubakiwa na fikra za kijinga zenye kuambatana na degree ya upumbavu ndani yake.

  • huenda nimeandika utumbo ndio maana sijajibiwa
  • huenda nimemkera kutokana na uandishi wangu
  • huenda amenipuuza (kwa sababu sio type yake kimazungumzo)
jumamosi hii iliopita nilikujibu swali lako ukiachana na yale maneno ya utani......... bahati mbaya mpaka muda huu sijapata jibu lolote kutoka kwako (umenipotezea, hujaiona, nimeandika utumbo, nimekukera?)

hata sielewi..........
jibu langu lilikuwa hivi (ukiachana na maandishi ya utani)
===============================================
View attachment 1363742
Je nitumie Google au app ya kudownload?
 
Je nitumie Google au app ya kudownload?
Unaweza ingia kwa google pia ukaandika dramanice.movie ikaja
Screenshot_20200220-140828_Chrome.jpeg
 
nimeganda episode 5...... juzi kati nilikwenda mchomo (nilidownload episode 5 nikidhani ni ep 6)
nitasubiria kesho usiku niitafute ep 6 and 7.

raha ya korea drama zinazoonyeshwa na netflix (saa 3 usiku unaweza kuipakua huku ikiwa na subtitle ya uhakika).

tell me what you saw inafika mpaka saa 8 usiku haijawekwa subtitle..

hujikuta nakereka kama mjamzito aliyenyimwa ndimu, limao, chumvi, siki,bungo, mapera, embe.

sijui meno yao huwekewa ganzi?
Ndo Nimemaliza Episode 6,

Nimempenda Bure Jo Yi-Seo- Ni Uhusika Ninao Utamn Anaenihusu Kidogo Kidogo Sana Aje Kuiishi.

Kumbe Hero Wetu (Park Seo Joon) Ni Mmoja Wa Shareholders Wa Janggag Company (Kama Nimeiandika Sawa),Aliziwekeza Baada ya Kupokea Mapato Ya Bima (Kifo cha Baba) Ndo Ilipoishia Episode 6 Kwani Ata Dae-Hee CEO Mwenyewe Hakujua Ndo Amejua Mwishon Wa Episode Hii.

Daemusin Korea Wanavipaji Acha Acha..
 
Hatimaye "The legend (The King of Four Gods)" nimeimaliza.
Ilikuwa Drama Swafih kabisa, huyu👇 dada alinivitia kwa sehemu kubwa kabisa kwenye hii Drama. Ni Drama ambayo inauchawi, Action, Romace, History, & comedy.
Udhaifu wa hii Drama ni kufanywa fupi, angalau ingekuwa na Episode 60+. Ndio ingependeza zaidi, lakini kwa hizo 24 ni kama imeminywa mno.
Yote kwa yote nimejifunza mengi na nimefurahishwa na mengi.
Asante sana.


Bado nasonga na Mfalme Wang gun, Damo, Healer.
Soon nitaianza Vagabond.
photo48975.jpg
 
hata Tanzania tunavyo.........
kituko cha jana nilichokutana nacho wakati nahudumiwa bakuli la urojo.
  1. kituko cha kwanza: mpishi wa urojo alikuwa ni dada kutoka huko kwenu (Tanzania ya nyerere)
  2. kituko cha pili: kuna tv inaitwa sinema zetu (king'amuzi cha azam).
teh teh teh
kuna jamaa alitekwa pamoja na wasichana.... alipigwa weeeeeeeeeeeeeee mpaka akachakaaa (akapoteza fahamu)

jamaa baadae wakamtupa baharini (cha ajabu zaidi walimtupa maji madogo).
dakika moja baadae jamaa akazinduka (basi hiyo speed yake aliyotoka nayo mhhhhhhh! utadhani kifaru)

nikabaki namshangao (huyu jamaa si alipigwa mpaka akazimia)
muda huo huo alijuaje sehemu waliotekwa wenzake?

kilichofuata
muhudumuuuu wa kitanzania baraaaa...... nipe chenji yangu.
ahsante kwa urojooo.
Vipaji Vipo Shida Ni Nini?? Tatizo Liko Wapi? Uwekezaji? au Kutochukulia Kwa Ukubwa Kuhusu Hii Kazi au Ni Nini Hasa?
 
Back
Top Bottom