Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Jamani msaada nikitaka kupata hio series ya jumong.. nikienda kwenye link mwanzoni mwa uzi unanipeleka kwenye site yao lakini siwez kuiangalia
 
Hiyo hapana. Thriller na mimi mbalimbali.

Ila mwaka huu mzuri hapa soon kinachanganya. Kim Taehee, Lee minho, Goeun, Shin minah, haein, minyoung wana drama mwaka huu
[emoji23][emoji23] eti nikuigilizie maana napitia uzi huu kuangalia inayosifiwa Sana niigilizie.
Basi anza tell me what you saw, nijue Kama yafaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…