Mi Netflix Inanitoa Ushamba Kila Nikijitahid Kujiunga Wapi.nimeganda episode 5...... juzi kati nilikwenda mchomo (nilidownload episode 5 nikidhani ni ep 6)
nitasubiria kesho usiku niitafute ep 6 and 7.
raha ya korea drama zinazoonyeshwa na netflix (saa 3 usiku unaweza kuipakua huku ikiwa na subtitle ya uhakika).
tell me what you saw inafika mpaka saa 8 usiku haijawekwa subtitle..
hujikuta nakereka kama mjamzito aliyenyimwa ndimu, limao, chumvi, siki,bungo, mapera, embe.
sijui meno yao huwekewa ganzi?
Siumeandika Apo Juu Kua Unaitumia.hata mimi sijafika huko kwa netflix
Anha Now Nimeelewa Nilijua Itaewon Unaiangalia Kupitia Netflix.yaani iko hivi:
netflix wanaingia/ wameingia ubia (mkataba) na wazalishaji wa korean drama (mfano studio j dragon) juu ya kuwa na hakimiliki ya kuonyesha drama (kupitia netflix streaming)
kikawaida episode inapoonyeshwa kupitia channel za korea huwa hazina subtitle (english, france, arabic etc)..
drama ambayo ipo chini ya mkataba wa netflix unakuta baada ya saa moja au mawili kupita tokea ionyeshwe na channel za korea utaikuta netflix ikiwa na subtitle (ikiwekwa netflix ndipo mitandao mengineo kama vile kissasian, dramanice wanapata kazi hizo)
kama utachunguza drama zifuatazo utazikuta au ulikuwa unazikuta zinawekwa subtitle mapema kwa sababu ya netflix
pia zipo drama zipo zinamilikiwa moja kwa moja na netflix (hakuna kituo cha korea kinachomiliki project), kwa mfano
- crash landing on you ; nilikuwa naipakua mapema sana ikiwa na subtitle (haifiki saa 4)
- itaewon class drama
- my country: kama unakumbuka episode za mwishoni za drama hii zilikuwa zinachelewa kuwekwa subtitle na mitandao kwa sababu ya netflix kuchelewa kuziweka
- arthdal chronicles
- vagabond
- memories of alhambra
- e.tc
pia zipo korean variety show zinazomilikiwa moja kwa moja na netflix.
- Kingdom
- love alarm
- e.t.c
- busted season 1, 2
kwa ufupi wenzetu wakorea baada ya kukutana na mgogoro wa kimaslahi dhidi ya wachina na hata wajapani walijikuta wakitafuta njia nyengine ya kujiokoa ikiwemo kuweka matangazo ya kibiashara ili watengeneze pesa na kupunguza gape la gharama za uzalishaji kila baada ya nusu saa (ndio maana drama zote zinazoonyeshwa na mashirika ya kiraia wanazigawanya episode na hayo ndio makubaliano yao walioyafikia)
hii ndio tofauti kubwa iliopo kati yetu sisi na wao (wenzetu hawachelewi kutafuta fursa)
View attachment 1364021
Love Alarm Nayo Nzuri.Netflix + Studio Dragon
Studio Dragon is South Korea’s largest scripted television production, marketing, and distribution studio under Korea’s largest entertainment company, CJ ENM Group. CJ ENM Group owns various film and music assets, operating 17 TV channels, including tvN, Mnet, and OCN, as well as cineplexes.
“As part of a three-year partnership beginning in 2020, Studio Dragon and its stellar roster of creators will produce original series that will be available to Netflix members all over the world,” Netflix said in a press release. “Netflix will also receive distribution rights to other select Studio Dragon titles.”
Netflix has already streamed Studio Dragon hits such as “Mr Sunshine,” “Stranger,” “Memories of the Alhambra,” “Romance is A Bonus Book,” and “Arthdal Chronicles.” It has also produced a Netflix original series, “Love Alarm,” which premiered last August.
The existing partnership has been enhanced through the new, three-year contract under which Studio Dragon will provide six to seven dramas a year, or at least 21 dramas in three years, to Netflix. Of these, two-three will be Netflix Originals.
View attachment 1364032
Nzuri Ina Malove Love Na Nini.sikubahatika kuiangalia season 1.
Ni Watochi Sana Chingu.wapo ahjummaaaa.....
wala huhitaji tochi kuwatafuta...
lakini mimi sie kati yao🚶♂️🚶♂️
Unapenda Siasa Hadi Raha.mbona inawezekana....
kafulila amehamia CCM.... mke wake yupo CHADEMA 🚶♂️ 🚶♂️
majibu yako yote yatakuja baadae inshaallahUnapenda Siasa Hadi Raha.
Inawezekana Kwa Tochi Sana Za Migodini Tena.
Hakumkis Tu, Walikua Kabisa Kwenye Mahusiano Wakati Sun-Oh Alikua Anajua Kua Rafiki Yake Anampenda Jo-Jo.Cellphone app Joalarm is created. If someone likes you and they are within 10 meters of you, the alarm for the app rings. The app also shows how many people like you, but the app doesn't reveal specific details on who likes you.
Kim Jo-Jo (Kim So-Hyun) is a high school student. She is pretty and smart. She seems like cheerful person, but her parents died when she was young. Since the death of her parents, Kim Jo-Jo has lived with aunt's family. Living there is not easy for Kim Jo-Jo. She doesn't download the app Joalarm.
Meanwhile, Hwang Sun-Oh is a popular male student at the same high school where Kim Jo-Jo attends. He is the son of a wealthy family, but he is not loved by his parents. His best friend Lee Hye-Young also attends the same high school. Hwang Sun-Oh notices that his best friend Lee Hye-Young likes Kim Jo-Jo. Hwang Sun-Oh wants to know if his friend really likes her, so he kisses her.
View attachment 1364121
season 1 imebeba episode 8..... season 2 inarudi mwaka huu
InshaAllah.majibu yako yote yatakuja baadae inshaallah
Yah Nishaiangalia.kumbe umeiangalia
Nipo na Forest Sa Ivi Nasubir Wasub Episode Ya Jana Nayo Ni Cheche.kumbe umeiangalia
Pitia link hapo chini:Jamani msaada nikitaka kupata hio series ya jumong.. nikienda kwenye link mwanzoni mwa uzi unanipeleka kwenye site yao lakini siwez kuiangalia
Nataka niuone ufundi tena wa Haemosuu..😂😂Pitia link hapo chini:
Msalimie Mo Palmo, bila kumsahau Sorceress Yeo Mi Eul.
Dramacool: Asian Drama, Movies and KShow English Sub in HD (2023)
Dramacool official: Browse all Korean dramas and other Asian shows at Dramacool. Dramacool for everyone!www.dramacool9.co
Nimeona episode 1 sijavutiwa nayo kikweli hii imezidi uongo me nikionaga drama yenye uongo mwingi ninakuwa Sina hamu tena yakuangalia mtu karushiwa vitone vya maji vidogo eti anarusha as if karushiwa bomu.Kuna mambo yakupaa juu kiufupi uongo uongo mwingi mpaka inaboa.Huyu mjinga hajawahi kuishiwa vituko Lee moon shik a.k.a Jook Bang.
Hapo yuko Pori anachuma dawa
Pic from "DAMO" the drama
View attachment 1366214