Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

nimeganda episode 5...... juzi kati nilikwenda mchomo (nilidownload episode 5 nikidhani ni ep 6)
nitasubiria kesho usiku niitafute ep 6 and 7.

raha ya korea drama zinazoonyeshwa na netflix (saa 3 usiku unaweza kuipakua huku ikiwa na subtitle ya uhakika).

tell me what you saw inafika mpaka saa 8 usiku haijawekwa subtitle..

hujikuta nakereka kama mjamzito aliyenyimwa ndimu, limao, chumvi, siki,bungo, mapera, embe.

sijui meno yao huwekewa ganzi?
Mi Netflix Inanitoa Ushamba Kila Nikijitahid Kujiunga Wapi.
 
yaani iko hivi:
netflix wanaingia/ wameingia ubia (mkataba) na wazalishaji wa korean drama (mfano studio j dragon) juu ya kuwa na hakimiliki ya kuonyesha drama (kupitia netflix streaming)

kikawaida episode inapoonyeshwa kupitia channel za korea huwa hazina subtitle (english, france, arabic etc)..

drama ambayo ipo chini ya mkataba wa netflix unakuta baada ya saa moja au mawili kupita tokea ionyeshwe na channel za korea utaikuta netflix ikiwa na subtitle (ikiwekwa netflix ndipo mitandao mengineo kama vile kissasian, dramanice wanapata kazi hizo)

kama utachunguza drama zifuatazo utazikuta au ulikuwa unazikuta zinawekwa subtitle mapema kwa sababu ya netflix
  1. crash landing on you ; nilikuwa naipakua mapema sana ikiwa na subtitle (haifiki saa 4)
  2. itaewon class drama
  3. my country: kama unakumbuka episode za mwishoni za drama hii zilikuwa zinachelewa kuwekwa subtitle na mitandao kwa sababu ya netflix kuchelewa kuziweka
  4. arthdal chronicles
  5. vagabond
  6. memories of alhambra
  7. e.tc
pia zipo drama zipo zinamilikiwa moja kwa moja na netflix (hakuna kituo cha korea kinachomiliki project), kwa mfano
  1. Kingdom
  2. love alarm
  3. e.t.c
pia zipo korean variety show zinazomilikiwa moja kwa moja na netflix.
  1. busted season 1, 2

kwa ufupi wenzetu wakorea baada ya kukutana na mgogoro wa kimaslahi dhidi ya wachina na hata wajapani walijikuta wakitafuta njia nyengine ya kujiokoa ikiwemo kuweka matangazo ya kibiashara ili watengeneze pesa na kupunguza gape la gharama za uzalishaji kila baada ya nusu saa (ndio maana drama zote zinazoonyeshwa na mashirika ya kiraia wanazigawanya episode na hayo ndio makubaliano yao walioyafikia)

hii ndio tofauti kubwa iliopo kati yetu sisi na wao (wenzetu hawachelewi kutafuta fursa)

View attachment 1364021
Anha Now Nimeelewa Nilijua Itaewon Unaiangalia Kupitia Netflix.
 
Netflix + Studio Dragon

Studio Dragon is South Korea’s largest scripted television production, marketing, and distribution studio under Korea’s largest entertainment company, CJ ENM Group. CJ ENM Group owns various film and music assets, operating 17 TV channels, including tvN, Mnet, and OCN, as well as cineplexes.


“As part of a three-year partnership beginning in 2020, Studio Dragon and its stellar roster of creators will produce original series that will be available to Netflix members all over the world,” Netflix said in a press release. “Netflix will also receive distribution rights to other select Studio Dragon titles.”


Netflix has already streamed Studio Dragon hits such as “Mr Sunshine,” “Stranger,” “Memories of the Alhambra,” “Romance is A Bonus Book,” and “Arthdal Chronicles.” It has also produced a Netflix original series, “Love Alarm,” which premiered last August.


The existing partnership has been enhanced through the new, three-year contract under which Studio Dragon will provide six to seven dramas a year, or at least 21 dramas in three years, to Netflix. Of these, two-three will be Netflix Originals.
View attachment 1364032
Love Alarm Nayo Nzuri.
 
wapo ahjummaaaa.....
wala huhitaji tochi kuwatafuta...

lakini mimi sie kati yao🚶‍♂️🚶‍♂️
Ni Watochi Sana Chingu.

We Sae-Ro-Yi Vile Anavyomuelewa Mdada (Soo-a) Na Kumpa Uhuru Vile Wa Kuishi Maisha Yake Vile Anavyoona Sawa Bila Kumuingilia Japo Ameside Na Wabaya Wake.

Tochi Yenyewe Zile Za Kwenye Meli.
 
Cellphone app Joalarm is created. If someone likes you and they are within 10 meters of you, the alarm for the app rings. The app also shows how many people like you, but the app doesn't reveal specific details on who likes you.

Kim Jo-Jo (Kim So-Hyun) is a high school student. She is pretty and smart. She seems like cheerful person, but her parents died when she was young. Since the death of her parents, Kim Jo-Jo has lived with aunt's family. Living there is not easy for Kim Jo-Jo. She doesn't download the app Joalarm.

Meanwhile, Hwang Sun-Oh is a popular male student at the same high school where Kim Jo-Jo attends. He is the son of a wealthy family, but he is not loved by his parents. His best friend Lee Hye-Young also attends the same high school. Hwang Sun-Oh notices that his best friend Lee Hye-Young likes Kim Jo-Jo. Hwang Sun-Oh wants to know if his friend really likes her, so he kisses her.
View attachment 1364121

season 1 imebeba episode 8..... season 2 inarudi mwaka huu
Hakumkis Tu, Walikua Kabisa Kwenye Mahusiano Wakati Sun-Oh Alikua Anajua Kua Rafiki Yake Anampenda Jo-Jo.

Ila Season Ya Kwanza Iliishia Kua Jo-Jo Yupo Kwenye Mahusiano Na Hye Young..

Nae Uyu Hye Young Yupo Kama Sae-Ro Yi Tu.
 
Ila tukiacha ushabiki hawa waigizaji wazee wanajua sana kuigiza kuliko Vijana.
Jinsi wanavyovaa uhusika si mchezo!.
Kuna wakati mtu unaangalia Drama mpaka akili inajisaulisha kama ni Drama, kwa jinsi watu walivyomakini, utadhani ni maisha halisi ya yao wameamua kuyaweka Mubashara.
Kuna wakati mtu unapotazama Taarifa ya Habari Korea Utadhani kama unaangalia Drama, ukiangalia Drama ni kama Habari na matukio ya mitaani kwao. yaani wanapita mulemule zilimopita nyayo ya miguu ya mbele, ndimo wapitishamo nyayo ya miguu ya nyuma.
Nilijaribu kufuatilia kwa ufupi sana nini moja ya siri ya mafanikio yao?
Niligundua kuwa wale watu wanaipenda sana sanaa yenyewe ya kuigiza na kucheza filamu, na sanaa hiyo imekuwa msaada kwa watu wengine ambao hawana Ajira, mfano juzi nilikuwa naitazama Al Jazeera walionyesha maelfu ya watu wamekwenda kuwapokea Waigizaji na Wazalishaji wa Drama ya "THE PARASITE" .
Nilishangazwa sana na wale watu jinsi walivyo na mapenzi na Tasnia hiyo, haswa kwa umati ule na ushirikiano walioutoa.
Wakorea na uigizaji hawana tofauti na Wabrazili na Soka.

Hahaha Ni ruhusa kwa kinywa kimoja kula vyakula vua aina mbili au zaidi kwa wakati mmoja. Kwahiyo tuvumiliane, kwa taibia ya kuanza kula ugaii kisanvu kisha nikaamia ugali kwa samaki.
 
Huyu mjinga hajawahi kuishiwa vituko Lee moon shik a.k.a Jook Bang.
Hapo yuko Pori anachuma dawa
Pic from "DAMO" the drama
Screenshot_20200222-113629.png
 
Huyu mjinga hajawahi kuishiwa vituko Lee moon shik a.k.a Jook Bang.
Hapo yuko Pori anachuma dawa
Pic from "DAMO" the drama
View attachment 1366214
Nimeona episode 1 sijavutiwa nayo kikweli hii imezidi uongo me nikionaga drama yenye uongo mwingi ninakuwa Sina hamu tena yakuangalia mtu karushiwa vitone vya maji vidogo eti anarusha as if karushiwa bomu.Kuna mambo yakupaa juu kiufupi uongo uongo mwingi mpaka inaboa.
 
Back
Top Bottom