Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Crash landing on you mmh tofauti na inavyosifiwa kwangu ya kawaida mno.
Dah leo ndo nimeweza kudownload Damo kumbe tatizo lilikuwa app ninayotumia kudownload leo nimejaribu kutumia UC browser imekubali bila shida tena kiurahisi.Big up kwenu wewe pamoja na mwenzako Daemusin pamoja na kuwasumbua Sana lakini mmenivumilia hivyo hivyo Asanteni wakuu.
 
Actions zake ni za uongo sana hata miye sivutiwi nazo, lakini mambo mengine iko safi.
 
Nitajie drama zipi Kali mwanadada ha ji won amecheza ukitoa The empress ki na secret garden
Tofauti na drama, huyo kacheza movies nyingi pia. Kama wewe ni mpenzi wa movies utamkuta huko amejaa tele!

Ziko nyingi tu ila mojawapo ni kama hii hapa, inaitwa The Huntresses ya mwaka 2014.

Unaweza kuitafuta!

Umepata shukrani zangu za dhati kwako kupitia Numbisa?
 
hatujaonana mpaka muda huu kwa sababu ya location....
mimi naishi kwa wajanja wa mwanzoni...
yeye anaishi kwa wasukuma
Duh! kumbe kutumia dramanice ilikuwa rahisi hasa ukitumia uc browser sema maelezo ya numbisa yalifanya iwe ngumu Kama unatafuta uzima wa milele ila nimefuata maelezo yako atimae nimeweza kufanikiwa.Mwisho kabisa wakorea wanasema Gomawo mzee baba.
 
Msanii anaweza kushiriki drama au series hata Kama haipendi kwa sababu ya hela ndo maana nakuambia ho ji won alishiriki ile drama ya chocolate kwa kuangalia maslahi sizani Kama yeye binafsi aliipenda.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Me iliniacha hoi pale ambapo ha ji won amerusha vitone vya maji kwa jamaa ila namna jamaa alivorushwa utazani zile action za kihindi yaani uwongo mwingi mpaka inaboa kiukwel yule director haendi mbinguni aisee
 
So sad comment imenichoma balaa. Ama kweli shukrani ya punda Mashuzi
Duh! kumbe kutumia dramanice ilikuwa rahisi hasa ukitumia uc browser sema maelezo ya numbisa yalifanya iwe ngumu Kama unatafuta uzima wa milele ila nimefuata maelezo yako atimae nimeweza kufanikiwa.Mwisho kabisa wakorea wanasema Gomawo mzee baba.
 
What a joke daah

Mbona nimekusifia especially pamoja na kukusumbua lakini ukuchoka kunielekeza pamoja na yote maelezo yako yalikuwa marefu na hayakunisaidia kwa kweli ila kwa Daemusin alinieleza kwa kifupi Na yakueleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…