Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Crash landing on you mmh tofauti na inavyosifiwa kwangu ya kawaida mno.
Dah leo ndo nimeweza kudownload Damo kumbe tatizo lilikuwa app ninayotumia kudownload leo nimejaribu kutumia UC browser imekubali bila shida tena kiurahisi.Big up kwenu wewe pamoja na mwenzako Daemusin pamoja na kuwasumbua Sana lakini mmenivumilia hivyo hivyo Asanteni wakuu.
 
Nimeona episode 1 sijavutiwa nayo kikweli hii imezidi uongo me nikionaga drama yenye uongo mwingi ninakuwa Sina hamu tena yakuangalia mtu karushiwa vitone vya maji vidogo eti anarusha as if karushiwa bomu.Kuna mambo yakupaa juu kiufupi uongo uongo mwingi mpaka inaboa.
Actions zake ni za uongo sana hata miye sivutiwi nazo, lakini mambo mengine iko safi.
 
Nitajie drama zipi Kali mwanadada ha ji won amecheza ukitoa The empress ki na secret garden
Tofauti na drama, huyo kacheza movies nyingi pia. Kama wewe ni mpenzi wa movies utamkuta huko amejaa tele!

Ziko nyingi tu ila mojawapo ni kama hii hapa, inaitwa The Huntresses ya mwaka 2014.

Unaweza kuitafuta!

1582674971612.png

1582674837662.png

1582674858575.png

1582674908715.png
 
Hi Bye, Mama” Explains Why The Role Of Kim Tae Hee’s Daughter Is Played By A Boy
The drama premiered on February 22 and it tells the story of a woman (played by Kim Tae Hee) who died in a tragic accident but is miraculously able to return to her husband (Lee Kyu Hyung) and daughter for 49 days as a ghost. The role of the daughter is played by male actor Seo Woo Jin, and many viewers have been curious about why a boy was chosen to play the role.
A source from the production team told SpoTV News on February 25, “We cast him because he looks identical to Kim Tae Hee and because of his stable acting skills.” YTN reports that a source also told them that even some of the production team hadn’t been aware that he is a boy and were surprised to find out

View attachment 1369658
Umepata shukrani zangu za dhati kwako kupitia Numbisa?
 
hatujaonana mpaka muda huu kwa sababu ya location....
mimi naishi kwa wajanja wa mwanzoni...
yeye anaishi kwa wasukuma
Duh! kumbe kutumia dramanice ilikuwa rahisi hasa ukitumia uc browser sema maelezo ya numbisa yalifanya iwe ngumu Kama unatafuta uzima wa milele ila nimefuata maelezo yako atimae nimeweza kufanikiwa.Mwisho kabisa wakorea wanasema Gomawo mzee baba.
 
Love Alarm Cast Reunites For First Script Reading Of 2nd Season

Based on a popular webtoon of the same name, “Love Alarm” is a romance drama set in an alternate reality where people find love through an application that alerts users when someone within a 10-meter radius has feelings for them. The first season began the story of Kim Jo Jo (Kim So Hyun), Hwang Sun Oh (Song Kang), and Lee Hye Yeong (Jung Ga Ram) as they face a world in which people can only express their love through the app.

On February 21, Kim So Hyun, Song Kang, and Jung Ga Ram gathered for a script reading session ahead of filming for the second season.

View attachment 1369676

innocent dependent bado unaamini ya kwamba muigizaji hana mamlaka ya kimaamuzi linapokuja suala la kazi?
Msanii anaweza kushiriki drama au series hata Kama haipendi kwa sababu ya hela ndo maana nakuambia ho ji won alishiriki ile drama ya chocolate kwa kuangalia maslahi sizani Kama yeye binafsi aliipenda.
 
hiyo comment yako ya juu imenichekesha sanaaa...... basi juzi moja nyakati za usiku nilitaka kuijaribu hiyo drama ya DAMO...
pumbavu zake director..... mara paap namuona binti yupo juu ya mti....
kiasi kidogo namuona anafukuzana na mwenzake wakiwa angani....

muhudumuuuu hiyo drama imenichosha tafadhali nirudishie hela yangu.
niliwachukia wachina na project zao kwa sababu ya tabia zao za kuruka ovyo angani kama ndege za boeing
😆😆😆😆😆😆 Me iliniacha hoi pale ambapo ha ji won amerusha vitone vya maji kwa jamaa ila namna jamaa alivorushwa utazani zile action za kihindi yaani uwongo mwingi mpaka inaboa kiukwel yule director haendi mbinguni aisee
 
So sad comment imenichoma balaa. Ama kweli shukrani ya punda Mashuzi
Duh! kumbe kutumia dramanice ilikuwa rahisi hasa ukitumia uc browser sema maelezo ya numbisa yalifanya iwe ngumu Kama unatafuta uzima wa milele ila nimefuata maelezo yako atimae nimeweza kufanikiwa.Mwisho kabisa wakorea wanasema Gomawo mzee baba.
 
Dah leo ndo nimeweza kudownload Damo kumbe tatizo lilikuwa app ninayotumia kudownload leo nimejaribu kutumia UC browser imekubali bila shida tena kiurahisi.Big up kwenu wewe pamoja na mwenzako Daemusin pamoja na kuwasumbua Sana lakini mmenivumilia hivyo hivyo Asanteni wakuu.
What a joke daah

Back
Top Bottom