Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nadhani hii ni miongoni mwa project bora nilizowahi kuziona [thou niko ep 12 season 1].At first time niliinza tu ilimradi niwe na drama ya kuona but for now ngoja nivute episode za mwanzo za season 2
 
Touch kazi nyingine nzuri ila kama kawaida 'ushosti' upo. Mpaka now nipo ep 14 couple sijaipenda. Hata haina umaridadi

Daemusin hio bye mom hata sijaiangalia ila daah katoto ka kiume kuwekwa nafasi ya mtoto wa kike hawa wakorea wapo kasi mno kuutangaza 'ushosti'
 
Filamu yoyote yenye ushoga ndani yake inakuwa ngumu Sana me kuangalia
 
Duh umbeya wako umeenda shule na hapo tu upo bongo vip Kama ungekuwa south Korea kwenyewe sijui ingekuaje
 
Nafikiri ni kwasababu wanafuata masharti ya mganga
 
Touch story ni nzuri, tatizo main cast hawana chemistry kabisaaaa yani nmemaliza ila haijani touch kabisa [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu zuri. Kwa upande wangu na net ya 3G huwa naweza download episode 66 au drama tatu za episode 16 na viporo kadhaa vya drama ninazofatilia kama family drama(family drama nyingi huwa nadownload nusu nusu mpaka namaliza episode zote 60 au 100)

Haya yote yanafanikishwa kwa kuwa na applications tatu za kudownload movies kwa wakati mmoja

Wakati huo huo nina katabia nikishaangalia movie kufuta ni dakika mbili tu
 
Inawezekana sema simu inachemka sana so nawekeza kwenye movies tu na kuperuzi mtandaon kuvuta muda zikiwa zinakuja. Bundle ni unlimited halotel
yes inawezekana kama dhamira yako itakuwa ni kudowload drama pekeee, ila kama ni mpenzi wa kuangalia video online sidhani kama itawezekana kudownload episode 60 kwa usiku mmoja
 
Huwa inauma hio. Ila kabla ya kujiunga usiku siku hizi nahakikisha nina salio ziro pote yaan MB hadi salio la kawaida. Ukiwa na night bundle pekee mambo yanakua mazuri kasi ya maana.
hao wajinga wanachukiza, ukiangalia salio unaletewa majibu ya kijinga unapojiunga kifurushi cha usiku...
salio lako ni mb 30.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…