Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

upo sawa "Innocent Defendant" nishaiona, ila kwa "VAGABOND" bado sana.
Kweli tumetofautiana kwa upande wangu "Innocent defendent" ni best kuliko drama yoyote niliyowahi kuona kwanza kabisa Ina matukio ambayo ni unpredictable alafu pia Ina matukio ambayo unaweza kujifunza katika maisha na kila episode inapoisha inakupa hamu ya kuangalia episode inayofuata.Hii ndio drama niliyoangalia episodes nyingi kwa siku moja Kuna siku niliangalia episode 11 kwa siku moja kitu ambacho sikuwahi kufanya.
 
Hata empress Ki uliisifia hivi hivi

Vagabond ni kali. Innocent defendant ukali wake ni pale tu wana mission ya kutoroka basi. Ila ukiamua kuipamba drama unaipamba wee mwisho wa siku ya kawaida mno.
Ni kweli woman of 9.9 billion haijaifikia vagabond ila "Innocent defendent" weka mbali kabisa was far better than vagabond
 
Hata empress Ki uliisifia hivi hivi

Vagabond ni kali. Innocent defendant ukali wake ni pale tu wana mission ya kutoroka basi. Ila ukiamua kuipamba drama unaipamba wee mwisho wa siku ya kawaida mno.
Ukawaida au ukali wa drama unategemea na mtazamo wa mtazamaji aina gani ya drama inayomvutia ndomaana inaweza drama Fulani ikashinda kuwa best drama lakini ikapata criticism ya baadhi ya watu.Lakini kwa mtu ambaye ame specialized na movies au drama atakuambia " Innocent defendent" ni best drama ukiangalia hii drama unaona kabisa aliyeandaa script ametumia akili kubwa sawa na yule aliyetengeneza " The empress ki" tofauti yake ni kwamba innocent defendent haina mambo ya mapenzi.
 
Jaman hii itakuwa Inaitwaje
Screenshot_20200305-212830.jpeg
Screenshot_20200305-212811.jpeg
Screenshot_20200304-173311.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niambie kitu gani vagabond imeizidi " Innocent defendent"?
VAGABOND inaizidi vingi mno INNOCENT DEFENDANT ambavyo itachukua muda mwingi kuvielezea. Bahati nzuri hizi DRAMA zote zipo kwenye Genre moja ya Thriller.
kikubwa zaidi VAGABOND haitabiriki matukio yake.
ila tukiacha maskhara ni aibu kuilinganisha VAGABOND na INNOCENT DEFENDANT, Ingawa mawazo yako yanahaki ya kuheshimiwa na lazima niyaheshimu, ila sidhani kama ni Mantiki.
au Wadau wa Humu ndani watusaidie
Wanaonaje kuhusu VAGABOND NA INNOCENT DEFENDANT? ipi Drama Bora?
 
money game drama:
kama umespecialize kwenye ulimwengu wa fedha (uchumi, benki, taxation n.k) hiyo drama itazidi kukuvutia

hiyo drama imenipa tabu sana kuielewa hususani termilogies zake.

BIS capital ratio
tobin tax
liquidation

............
nisikutishe
Hahahaha Basi mie hata hayo nimeshika kujua tu zile ofisi zimehusian vipi imenipa shida had ep3...
Nimepend uhusika wa mastaa wawil

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom