Nyinyi wote hamjuagi kuona drama Kali ofcourse Vagabond ni moja ya drama Kali ili sipingi hata me mwenyewe nimeikubali lakini unapofananisha na drama Kama Innocent defendent na Empress ki ni kuwakosea heshima waandaji wa hizi drama cos wametumia akili kubwa na ubunifu mkubwa na mtu yoyote amespecialized na mambo ya movie or series atakubaliana na me akiziona hizo drama.Ukisifia hii unatajiwa hebu itafute empress Ki ukisema kile ni empress ki. Nasubiria aje atakavyolalamika sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]