Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mkuu hna group la series za kikorea kule telegram?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha VAGABOND
Hii Drama wametisha, ni Drama ambayo iko Hot kila episode, unilipokuwa naitazama si tamani episode iishe kila scene hot, Lakini pia imekuwa ikinishangaza kila wakati, yaani kumjua adui mkuu Mr. Samael ( Park Edward) lilikuwa jambo ambalo sikitegemea.
Nadhani hii kitu bado inaendelea kama itaendelea Daemusin nipe ratiba yake.
kiukweli Yi Sung Gi na Bae Suji ( Suzu Bae), hawajawahi kukosea, nawakumbuka hawa enzi hizo kwenye GU FAMILY BOOK. Kiukweli nilikuwa nimemiss madude kama haya.



zifuatazo ni Drama zangu 10 za mjini.
Genre🙁 Action, War &Thriller).

1. VAGABOND

2. BRIDAL MASK

3. LEGEND OF PATRIOTISM

4. IRIS

5. THREE DAYS

6. FUGITIVE PLAN B

7. CITY HUNTER

8. A MAN CALLED GOD

9. TWO WEEKS

10. THE K2
 
Kuna zingine Kama mbili hiv ni zaidi ya hizo inaitwa Innocent defendent na nyingine inaitwa Last
 
Wewe kijana acha hizo ya kawaida mno. Ile ya bilion hata sijaipenda haijaifikia vagabond hata robo
Mzee baba nisahihishe kidogo drama niliyokutajia Kali inaitwa Innocent defendent sio innocent dependent hiyo ukiangalia kwa umakini utajuta kumaliza bando.Ina matumizi ya akili, Ina ngumi na story yenye kuvutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…