Kwa upande wangu hiyo ndio type yangu ya drama ninazozipenda especially zikiwa Kama za historical.
Ukishindwa uje kwa maelekezo zaidi
bila shaka..nasubiri muda niunge bundle la usiku nijaribu takupa feedback
Daah unacheza kamari hatari maana ikikugomea ni hasara. Ila ni rahisi pale dramanice ukiisaka drama utaona mshale wa download ufate kisha sasa chagua kiboks cha kwanza toka juu(yaan acha cha juu kilicho peke yake)
Ukijiongeza kwenye uc browser utawezaset idownload episode 6 kwa wakati mmoja.
All the best
Nimeweza kwa kutumia uc browser.. kiss assian. ila kwenye ku set hapo haha nimeanza na episode 3 moja tayari zingine zinajivuta..
hopefully with time ntamasta kabisa. asante my dear
Kwa upande wangu hiyo ndio type yangu ya drama ninazozipenda especially zikiwa Kama za historical.
Poleni na majukumu wakuu naomba kusaidiwa jinsi ya kudownload movies kutoka dramanice kwa kutumia simu then niziweka kwenye flash. Mwanzoni nilitumia UC browser ila sa hivi inazingua
Muda wote inaandika speeding up kama inavionekana hiyo screen shortInazingua nn?
Hapo speed up bonyeza hapo kwenye sawa sawa mbili itasimama kisha bonyeza tena itaanza kudownloadPoleni na majukumu wakuu naomba kusaidiwa jinsi ya kudownload movies kutoka dramanice kwa kutumia simu then niziweka kwenye flash. Mwanzoni nilitumia UC browser ila sa hivi inazingua
Ila umechagua chaguo lenye mb nyingi ndo maana inazingua,,chaguo lenye mb chache huwa linamvurugiko wa nambaMuda wote inaandika speeding up kama inavionekana hiyo screen short View attachment 1393682
Sante mkui Natumia uc browser kubwa mwanzoni ilifanya kaz but now inagoma nikii-pause baadae nika-resume bado inagomaJe unatumia uc browser ile kubwa?sio mini(maana min ni ndogo haifai)
Hapo speed up bonyeza hapo kwenye sawa sawa mbili itasimama kisha bonyeza tena itaanza kudownload
Ila umechagua chaguo lenye mb nyingi ndo maana inazingua,,chaguo lenye mb chache huwa linamvurugiko wa namba
Sante mkui Natumia uc browser kubwa mwanzoni ilifanya kaz but now inagoma nikii-pause baadae nika-resume bado inagoma
Movie hata ya mb 200 bado haikubali kudownload
Jaribu njia hii mkuu japo episode moja inakua mb 300 ukipata bahati unapata ya mb 190. Huwa natumia hii option ya pili hapo kwenye alamaView attachment 1393960hii ina matangazo kibao ila ukifanikiwa kuyakwepa itakupeleka hapaView attachment 1393961hio mb 939 ukiclick download itahesabu namba mpaka mwisho itakuletea rwsolutions za kuivuta ukichagua 360 au 480 ,inaaanza kudownload kwa mb 300
Thanks ngoja nijaribJaribu njia hii mkuu japo episode moja inakua mb 300 ukipata bahati unapata ya mb 190. Huwa natumia hii option ya pili hapo kwenye alamaView attachment 1393960hii ina matangazo kibao ila ukifanikiwa kuyakwepa itakupeleka hapaView attachment 1393961hio mb 939 ukiclick download itahesabu namba mpaka mwisho itakuletea rwsolutions za kuivuta ukichagua 360 au 480 ,inaaanza kudownload kwa mb 300
Thanks ngoja nijarib
Muda wote inaandika speeding up kama inavionekana hiyo screen short View attachment 1393682
Mrejesho muhimu. Pia njia hio episode ikidownload haleti namba ep 1 bali jina linakua na namba nyingi. Kurahisisha zoezi kaa na kalamu ikivuta episode moje unaiandika(fanya hivyo mpaka episode zote). Ukimaliza kuvuta zote unazipanga sawa(rename)ili kuangalia vizuri