Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

kilingeni 2020 (muda si mrefu nitakuwa mkorea)..... niombeeni dua yule mwanamke mwenye macho makubwa kama ngisi anikubalie.

  1. romantic doctor Kim season 2 completed = nimeipa 8.8 / 10
  2. Itaewon class completed = nimeipa 8.3 (episode mbili za mwisho hazijanifurahisha sana)
  3. the game toward zero completed = nimeipa 4.5 /10
  4. money game completed = nimeipa 6.95 / 10 (hii drama imenitesa sana, sijui kwa nini nilifeli kidato cha nne, pengine muda huu ningelikuwa mrithi wa professor kwenye nyanja ya uchumi na fedha za kigeni pamoja na rushwa)
  5. kingdom season 2 completed = nimeipa 7.5 / 10 (hawa mazombie wanaweza kukuvua nguo wakasingizia wanahitaji damu yako)
  6. tell me what you saw = inamaliza leo (nimeipa 8.0 / 10)
  7. nobody knows = imefika episode 6 ....... nimeipa 6.5 / 10
  8. memorist = imefika episode 4 ....... nimeipa 6.3 (nimeanza kuangalia wakorea mnamo mwaka 2013 kama nitakuwa nipo sahihi, ndani ya drama hii nimekutana na kundi la waigizaji ambao sijawahi kuwaona kwenye drama yeyote ilee, sijui walikuwa wamejifichia wapi)
  9. doctor playlist = episode 1 kila wiki ni zaidi ya mateso jamani......... hii ni bonus drama kiupande wangu

Drama ambazo si za mwaka huu lakini nazifuatilia mdogo mdogo kadri ninapopata muda
  1. falsify: project ya mwaka 2017......... nimeipa 7.0 / 10
  2. what happens to my family: project ya mwaka 2014......... nimeipa 7.3 / 10
  3. marry me now : project ya mwaka 2018 ............ nimeipa 9.5 / 10 mpaka hapa nilipofikia episode 12: hii ndio drama inayonifanya niwazie kumuibia pesa mzazi wangu ili nipate kununua bando, nikitumwa chumvi pesa nabania, nikitumwa maandazi ya kwangu mimi pesa nabania.
=========================================

maswali ya kijinga jinga na mambo ya kufuatiliana kama CIA yaishe tafadhali
muwe na adabu na heshima wajinga nyie mulionyimwa malezi bora, acha kujifanya mdomo mrefu kama chupa ya mafuta ya nazi.
fanya upendalo nifanye nipendalo

View attachment 1396109
Umetisha sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marry me now daah nzuri

Family drama yangu ya kwanza ilikua sister is alive(japo sikuipenda sana) ikaja my golden life

Now nimekua mtaalamu wa family drama mbili zinaisha mwezi huu au ujao,mdogo mdogo naenda nazo.

1.beautiful love,wonderful life(ka kijana handsome ka kwenye secret boutique kalinishawishi kukaangalia zaidi kwenye hii drama kapo mwanzo mwisho). Jinsi inavyozidi kuelekea mwishoni ndo ugamu unakolea zaidi.

2. Gracious revenge(hii inahitaji watu wavumilivu,ukiwa very bored ndo utaelewa na kuipenda zaidi)

List ya kwanza ngoja nianze na itaewon kumbe imeisha ngoja niivute sasa nifaidi uhondo
kilingeni 2020 (muda si mrefu nitakuwa mkorea)..... niombeeni dua yule mwanamke mwenye macho makubwa kama ngisi anikubalie.

  1. romantic doctor Kim season 2 completed = nimeipa 8.8 / 10
  2. Itaewon class completed = nimeipa 8.3 (episode mbili za mwisho hazijanifurahisha sana)
  3. the game toward zero completed = nimeipa 4.5 /10
  4. money game completed = nimeipa 6.95 / 10 (hii drama imenitesa sana, sijui kwa nini nilifeli kidato cha nne, pengine muda huu ningelikuwa mrithi wa professor kwenye nyanja ya uchumi na fedha za kigeni pamoja na rushwa)
  5. kingdom season 2 completed = nimeipa 7.5 / 10 (hawa mazombie wanaweza kukuvua nguo wakasingizia wanahitaji damu yako)
  6. tell me what you saw = inamaliza leo (nimeipa 8.0 / 10)
  7. nobody knows = imefika episode 6 ....... nimeipa 6.5 / 10
  8. memorist = imefika episode 4 ....... nimeipa 6.3 (nimeanza kuangalia wakorea mnamo mwaka 2013 kama nitakuwa nipo sahihi, ndani ya drama hii nimekutana na kundi la waigizaji ambao sijawahi kuwaona kwenye drama yeyote ilee, sijui walikuwa wamejifichia wapi)
  9. doctor playlist = episode 1 kila wiki ni zaidi ya mateso jamani......... hii ni bonus drama kiupande wangu

Drama ambazo si za mwaka huu lakini nazifuatilia mdogo mdogo kadri ninapopata muda
  1. falsify: project ya mwaka 2017......... nimeipa 7.0 / 10
  2. what happens to my family: project ya mwaka 2014......... nimeipa 7.3 / 10
  3. marry me now : project ya mwaka 2018 ............ nimeipa 9.5 / 10 mpaka hapa nilipofikia episode 12: hii ndio drama inayonifanya niwazie kumuibia pesa mzazi wangu ili nipate kununua bando, nikitumwa chumvi pesa nabania, nikitumwa maandazi ya kwangu mimi pesa nabania.
=========================================

View attachment 1396109
 
Watoto walimpelekesha sana baba yao,ni full vituko na mzee nae ngangari basi mambo ni fireee
episode 12

dada mkubwa: hivi baba huwezi kuendelea kuishi peke yako kama ilivyokuwa mwanzoni, maneno ya machafu ya majirani hayakukeri, kama ulihitaji kuishi na mwanamke mwengine baada ya kifo cha mama yetu ungelichukua uamuzi huo tokea zamani (nyakati ndugu zangu bado ni wadogo). kwa nini muda huu umeshazeeka ndio unataka kutafuta mwanamke mwengine?

baba akamjibu:
ok, ok nitafanya kama ulivyoniambia, niliwahi kukaa na kujifikiria maisha yangu ya baadae pindi utakapokuwa umeshaolewa, jaehyung na pacha mwenzake wameshaoa na kuolewa pengine kazi yangu kubwa itakayobakia ni kulea wajukuu nikiwa ndani ya nyumba hii peke yangu na ndio uamuzi unaoamuliwa zaidi na watu wenye umri kama wangu. Ukiwa mtu mzima unatakiwa uishi kama mtu ambaye tayari ameshakufa...........

lakini kwa nini niishi maisha kama hayo?
kwa sababu nimeshazeeka?
jambo moja muhimu nililolitambua ni kwamba licha ya kuwa nimezeeka cha ajabu moyo wangu bado una umri wa ujanaaaa (moyo hauzeekii)

muhudumuuuuuuuuu kumbe juma kapuya alikuwa sahihi kuoa licha ya uzee wake.
moyo hauzeeki bwanaaaa
View attachment 1396398
 
Thanks for the link otho sometimes ina stuck sana sasa sijuii shida ni mimi au link yenyewe je kuna njia rahisi ya ku download hizi hii dram couse nilikuwa na stream ila naona ina stuck sana .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kilingeni 2020 (muda si mrefu nitakuwa mkorea)..... niombeeni dua yule mwanamke mwenye macho makubwa kama ngisi anikubalie.

  1. romantic doctor Kim season 2 completed = nimeipa 8.8 / 10
  2. Itaewon class completed = nimeipa 8.3 (episode mbili za mwisho hazijanifurahisha sana)
  3. the game toward zero completed = nimeipa 4.5 /10
  4. money game completed = nimeipa 6.95 / 10 (hii drama imenitesa sana, sijui kwa nini nilifeli kidato cha nne, pengine muda huu ningelikuwa mrithi wa professor kwenye nyanja ya uchumi na fedha za kigeni pamoja na rushwa)
  5. kingdom season 2 completed = nimeipa 7.5 / 10 (hawa mazombie wanaweza kukuvua nguo wakasingizia wanahitaji damu yako)
  6. tell me what you saw completed = (nimeipa 8.0 / 10)
  7. nobody knows = imefika episode 6 ....... nimeipa 6.5 / 10
  8. memorist = imefika episode 4 ....... nimeipa 6.3 (nimeanza kuangalia wakorea mnamo mwaka 2013 kama nitakuwa nipo sahihi, ndani ya drama hii nimekutana na kundi la waigizaji ambao sijawahi kuwaona kwenye drama yeyote ilee, sijui walikuwa wamejifichia wapi)
  9. doctor playlist = episode 1 kila wiki ni zaidi ya mateso jamani......... hii ni bonus drama kiupande wangu

Drama ambazo si za mwaka huu lakini nazifuatilia mdogo mdogo kadri ninapopata muda
  1. falsify: project ya mwaka 2017......... nimeipa 7.0 / 10
  2. what happens to my family: project ya mwaka 2014......... nimeipa 7.3 / 10
  3. marry me now : project ya mwaka 2018 ............ nimeipa 9.5 / 10 mpaka hapa nilipofikia episode 12: hii ndio drama inayonifanya niwazie kumuibia pesa mzazi wangu ili nipate kununua bando, nikitumwa chumvi pesa nabania, nikitumwa maandazi ya kwangu mimi pesa nabania.
=========================================

View attachment 1396109
Romantic doctor, teacher kim 2 naitazama nzuri
Bae kwenye tell me what you saw kama kanidissapoint kidogo nimeishia ep ya 10

Itaewon nimependa lakin da nlikua team soo ah
Money game ilikua tam mpaka najiona nishakua muhasibu [emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itaewon class episodes mbili za mwisho director amezingua sana.
kilingeni 2020 (muda si mrefu nitakuwa mkorea)..... niombeeni dua yule mwanamke mwenye macho makubwa kama ngisi anikubalie.

  1. romantic doctor Kim season 2 completed = nimeipa 8.8 / 10
  2. Itaewon class completed = nimeipa 8.3 (episode mbili za mwisho hazijanifurahisha sana)
  3. the game toward zero completed = nimeipa 4.5 /10
  4. money game completed = nimeipa 6.95 / 10 (hii drama imenitesa sana, sijui kwa nini nilifeli kidato cha nne, pengine muda huu ningelikuwa mrithi wa professor kwenye nyanja ya uchumi na fedha za kigeni pamoja na rushwa)
  5. kingdom season 2 completed = nimeipa 7.5 / 10 (hawa mazombie wanaweza kukuvua nguo wakasingizia wanahitaji damu yako)
  6. tell me what you saw completed = (nimeipa 8.0 / 10)
  7. nobody knows = imefika episode 6 ....... nimeipa 6.5 / 10
  8. memorist = imefika episode 4 ....... nimeipa 6.3 (nimeanza kuangalia wakorea mnamo mwaka 2013 kama nitakuwa nipo sahihi, ndani ya drama hii nimekutana na kundi la waigizaji ambao sijawahi kuwaona kwenye drama yeyote ilee, sijui walikuwa wamejifichia wapi)
  9. doctor playlist = episode 1 kila wiki ni zaidi ya mateso jamani......... hii ni bonus drama kiupande wangu

Drama ambazo si za mwaka huu lakini nazifuatilia mdogo mdogo kadri ninapopata muda
  1. falsify: project ya mwaka 2017......... nimeipa 7.0 / 10
  2. what happens to my family: project ya mwaka 2014......... nimeipa 7.3 / 10
  3. marry me now : project ya mwaka 2018 ............ nimeipa 9.5 / 10 mpaka hapa nilipofikia episode 12: hii ndio drama inayonifanya niwazie kumuibia pesa mzazi wangu ili nipate kununua bando, nikitumwa chumvi pesa nabania, nikitumwa maandazi ya kwangu mimi pesa nabania.
=========================================

View attachment 1396109
 
Hizo link walizokupa pia unaweza kudownload,angalia post za nyuma za mwezi huu kuna maelekezo ya kudownload
Aise sijawahi ku download korean drama kwa kweli ila huwa na stream kwa kutumia,link ambazo huwa napewa na wadau humu ndani,ila kwa sasa ina stuck sana sana yani episode moja ye dk 59 naangalia for two hours

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jaribu kutembelea tovuti hii
Six Flying Dragons Ep 1 – Dramahood

  1. ili usiteseke hapo kwenye link utakuwa unabadilisha no of episodes (inategemea unayoihitaji)
  2. baadae utachagua video 2 (ndio pekee ambayo nimeijaribu muda huu na imekubali kuplay)
  3. nenda kwenye setting, badilisha video quality (pendelea zaidi kutumia 360 kuliko 480 na 720 kwa sababu ya internet zetu za kajamba nani)
View attachment 1398196
usiku mwema
Asante sana mkuu ngoja nijaribu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bahati nzuri sina tabia ya ukiroporopo maana ningeshakuhadithia yoote ila nakuacha uje upate uhondo mbeleni maana huko mambo ni motooo. Halafu kila family drama akiwepo huyu binti kuna kijana lazima awepo.l,mfano kwenye secret garden na nyingine nimeisahau kidogo
nimefika episode 20, now nimeamua kuiweka kiporo kwa muda usiojulikana
family drama na somo la food chain
park family + yeon family + chae family + cha family (familia zote zinategemeana)

Park Yoo-Ha vs Chae Sung-Woon
baadhi ya nyakati wanawake munafanya makosa ya kujitakia wenyewe kwa sababu ya kupenda kwenu kunakoambatana na wingu zito la huruma dhidi yetu..... si vibaya kuolewa na mwanaume uliyevutiwa naye iwe anatokea kwenye familia yenye heshima zaidi yako au kinyume chake na ni ndoto ya wanawake wengi kuolewa au kuwa na mahusiano na wanaume waliojaaliwa neema ya kipato, jambo muhimu zaidi unalopaswa kulipa kipaombele kwenye mahusiano yako ni hili kabla ya kuangalia vigezo vyenginevyo:

huyu mwanamme atakuwa tayari kujitoa kwa shida na raha dhidi yangu?
imagine binti alizima ndoto zake za kuwa daktari ili apate wasaa au muda zaidi wa kuwa karibu na boyfriend wake huku akifahamu familia zote mbili hazifurahishwi na mahusiano yao, cha ajabu bwana yule kwa jinsi alivyo taka taka, dhaifu na muoga hakuwa na uwezo hata wa kumlinda mke wake ( mke wake alifikia hatua ya kuwa mtumishi wa ndani) na mwisho alimtelekeza kwa sababu ya ushawishi wa familia yake

jamaa hakuwa na uwezo wa kupata mtoto(infertile, infecund) hivyo basi kivyovyote walikubaliana pamoja na mke wake wafanye adoption ya mtoto ( ambaye ni eunsoo) au watumie njia za kimaabara, maajabu yalitokezea pale familia ilipohitaji paternity test ili kupata vithibitisho vya uhalali wa mtoto bwana yule akaanza kubweka ovyo, mara aje na wazo la kumpeleka nje mtoto wao ili siri yake isijulikane.

licha ya udhaifu wao wanawake sidhani kwenye dunia hii kama yupo mwanamke aliye tayari kumsafirisha au kutengana na mtoto wake aliye chini ya miaka mitano, nilivutiwa sana na uamuzi wa mwanadada park yoo ha wa kutokuwa tena tayari kuwa mtumwa wa familia kwa kutenganishwa na mtoto wake kwa hoja dhaifu ya kuficha siri ya mume wake hatua ambayo hatimaye ilipelekea apoteze haki ya kurithi au kupata gawio lolote la mali baada ya talaka (alimony).

licha ya kuachwa pia sheria haikumruhusu kutoka mbele ya hadhara kutangaza kuvunja kwa ndoa yake (nasubiri episode za mbeleni ateme cheche dhidi ya familia ile)

ndoa za tajiri na masikini zimejaa utumwa na manyanyaso (si ndoa zote)
View attachment 1398470
 
Kuna drama ukiangalia kila episode ina radha yake tamu unajisahau kama ni drama ndefuu yenye episode 50 hivi
mama na binti yake wakikutana ni full raha.......
nampenda sana huyu ahjumma, anaonekana ni mpole sana kwenye maisha ya kila siku ndio maana hata kwenye drama mara nyingi anakuwa meek, humble.

picha ni kwa hisani ya camera za bongo movies

View attachment 1398485
 
Back
Top Bottom