Umetisha sana mkuukilingeni 2020 (muda si mrefu nitakuwa mkorea)..... niombeeni dua yule mwanamke mwenye macho makubwa kama ngisi anikubalie.
- romantic doctor Kim season 2 completed = nimeipa 8.8 / 10
- Itaewon class completed = nimeipa 8.3 (episode mbili za mwisho hazijanifurahisha sana)
- the game toward zero completed = nimeipa 4.5 /10
- money game completed = nimeipa 6.95 / 10 (hii drama imenitesa sana, sijui kwa nini nilifeli kidato cha nne, pengine muda huu ningelikuwa mrithi wa professor kwenye nyanja ya uchumi na fedha za kigeni pamoja na rushwa)
- kingdom season 2 completed = nimeipa 7.5 / 10 (hawa mazombie wanaweza kukuvua nguo wakasingizia wanahitaji damu yako)
- tell me what you saw = inamaliza leo (nimeipa 8.0 / 10)
- nobody knows = imefika episode 6 ....... nimeipa 6.5 / 10
- memorist = imefika episode 4 ....... nimeipa 6.3 (nimeanza kuangalia wakorea mnamo mwaka 2013 kama nitakuwa nipo sahihi, ndani ya drama hii nimekutana na kundi la waigizaji ambao sijawahi kuwaona kwenye drama yeyote ilee, sijui walikuwa wamejifichia wapi)
- doctor playlist = episode 1 kila wiki ni zaidi ya mateso jamani......... hii ni bonus drama kiupande wangu
Drama ambazo si za mwaka huu lakini nazifuatilia mdogo mdogo kadri ninapopata muda
=========================================
- falsify: project ya mwaka 2017......... nimeipa 7.0 / 10
- what happens to my family: project ya mwaka 2014......... nimeipa 7.3 / 10
- marry me now : project ya mwaka 2018 ............ nimeipa 9.5 / 10 mpaka hapa nilipofikia episode 12: hii ndio drama inayonifanya niwazie kumuibia pesa mzazi wangu ili nipate kununua bando, nikitumwa chumvi pesa nabania, nikitumwa maandazi ya kwangu mimi pesa nabania.
maswali ya kijinga jinga na mambo ya kufuatiliana kama CIA yaishe tafadhali
muwe na adabu na heshima wajinga nyie mulionyimwa malezi bora, acha kujifanya mdomo mrefu kama chupa ya mafuta ya nazi.
fanya upendalo nifanye nipendalo
View attachment 1396109
kilingeni 2020 (muda si mrefu nitakuwa mkorea)..... niombeeni dua yule mwanamke mwenye macho makubwa kama ngisi anikubalie.
- romantic doctor Kim season 2 completed = nimeipa 8.8 / 10
- Itaewon class completed = nimeipa 8.3 (episode mbili za mwisho hazijanifurahisha sana)
- the game toward zero completed = nimeipa 4.5 /10
- money game completed = nimeipa 6.95 / 10 (hii drama imenitesa sana, sijui kwa nini nilifeli kidato cha nne, pengine muda huu ningelikuwa mrithi wa professor kwenye nyanja ya uchumi na fedha za kigeni pamoja na rushwa)
- kingdom season 2 completed = nimeipa 7.5 / 10 (hawa mazombie wanaweza kukuvua nguo wakasingizia wanahitaji damu yako)
- tell me what you saw = inamaliza leo (nimeipa 8.0 / 10)
- nobody knows = imefika episode 6 ....... nimeipa 6.5 / 10
- memorist = imefika episode 4 ....... nimeipa 6.3 (nimeanza kuangalia wakorea mnamo mwaka 2013 kama nitakuwa nipo sahihi, ndani ya drama hii nimekutana na kundi la waigizaji ambao sijawahi kuwaona kwenye drama yeyote ilee, sijui walikuwa wamejifichia wapi)
- doctor playlist = episode 1 kila wiki ni zaidi ya mateso jamani......... hii ni bonus drama kiupande wangu
Drama ambazo si za mwaka huu lakini nazifuatilia mdogo mdogo kadri ninapopata muda
=========================================
- falsify: project ya mwaka 2017......... nimeipa 7.0 / 10
- what happens to my family: project ya mwaka 2014......... nimeipa 7.3 / 10
- marry me now : project ya mwaka 2018 ............ nimeipa 9.5 / 10 mpaka hapa nilipofikia episode 12: hii ndio drama inayonifanya niwazie kumuibia pesa mzazi wangu ili nipate kununua bando, nikitumwa chumvi pesa nabania, nikitumwa maandazi ya kwangu mimi pesa nabania.
View attachment 1396109
muda huu episode 16 ilikuwa inanitesa (kila tovuti ninayoitembelea nakutana na full hd mwendo wa mb 600)
bonge la zari nimekutana na tovuti hii
Watch online and download free Asian drama, movies, shows
kissasian na wajinga wengineo nitawakimbia kwa baadhi ya drama
episode 12
dada mkubwa: hivi baba huwezi kuendelea kuishi peke yako kama ilivyokuwa mwanzoni, maneno ya machafu ya majirani hayakukeri, kama ulihitaji kuishi na mwanamke mwengine baada ya kifo cha mama yetu ungelichukua uamuzi huo tokea zamani (nyakati ndugu zangu bado ni wadogo). kwa nini muda huu umeshazeeka ndio unataka kutafuta mwanamke mwengine?
baba akamjibu: ok, ok nitafanya kama ulivyoniambia, niliwahi kukaa na kujifikiria maisha yangu ya baadae pindi utakapokuwa umeshaolewa, jaehyung na pacha mwenzake wameshaoa na kuolewa pengine kazi yangu kubwa itakayobakia ni kulea wajukuu nikiwa ndani ya nyumba hii peke yangu na ndio uamuzi unaoamuliwa zaidi na watu wenye umri kama wangu. Ukiwa mtu mzima unatakiwa uishi kama mtu ambaye tayari ameshakufa...........
lakini kwa nini niishi maisha kama hayo?
kwa sababu nimeshazeeka?
jambo moja muhimu nililolitambua ni kwamba licha ya kuwa nimezeeka cha ajabu moyo wangu bado una umri wa ujanaaaa (moyo hauzeekii)
muhudumuuuuuuuuu kumbe juma kapuya alikuwa sahihi kuoa licha ya uzee wake.
moyo hauzeeki bwanaaaa
View attachment 1396398
Thanks for the link otho sometimes ina stuck sana sasa sijuii shida ni mimi au link yenyewe je kuna njia rahisi ya ku download hizi hii dram couse nilikuwa na stream ila naona ina stuck sana .episode 12
dada mkubwa: hivi baba huwezi kuendelea kuishi peke yako kama ilivyokuwa mwanzoni, maneno ya machafu ya majirani hayakukeri, kama ulihitaji kuishi na mwanamke mwengine baada ya kifo cha mama yetu ungelichukua uamuzi huo tokea zamani (nyakati ndugu zangu bado ni wadogo). kwa nini muda huu umeshazeeka ndio unataka kutafuta mwanamke mwengine?
baba akamjibu: ok, ok nitafanya kama ulivyoniambia, niliwahi kukaa na kujifikiria maisha yangu ya baadae pindi utakapokuwa umeshaolewa, jaehyung na pacha mwenzake wameshaoa na kuolewa pengine kazi yangu kubwa itakayobakia ni kulea wajukuu nikiwa ndani ya nyumba hii peke yangu na ndio uamuzi unaoamuliwa zaidi na watu wenye umri kama wangu. Ukiwa mtu mzima unatakiwa uishi kama mtu ambaye tayari ameshakufa...........
lakini kwa nini niishi maisha kama hayo?
kwa sababu nimeshazeeka?
jambo moja muhimu nililolitambua ni kwamba licha ya kuwa nimezeeka cha ajabu moyo wangu bado una umri wa ujanaaaa (moyo hauzeekii)
muhudumuuuuuuuuu kumbe juma kapuya alikuwa sahihi kuoa licha ya uzee wake.
moyo hauzeeki bwanaaaa
View attachment 1396398
Romantic doctor, teacher kim 2 naitazama nzurikilingeni 2020 (muda si mrefu nitakuwa mkorea)..... niombeeni dua yule mwanamke mwenye macho makubwa kama ngisi anikubalie.
- romantic doctor Kim season 2 completed = nimeipa 8.8 / 10
- Itaewon class completed = nimeipa 8.3 (episode mbili za mwisho hazijanifurahisha sana)
- the game toward zero completed = nimeipa 4.5 /10
- money game completed = nimeipa 6.95 / 10 (hii drama imenitesa sana, sijui kwa nini nilifeli kidato cha nne, pengine muda huu ningelikuwa mrithi wa professor kwenye nyanja ya uchumi na fedha za kigeni pamoja na rushwa)
- kingdom season 2 completed = nimeipa 7.5 / 10 (hawa mazombie wanaweza kukuvua nguo wakasingizia wanahitaji damu yako)
- tell me what you saw completed = (nimeipa 8.0 / 10)
- nobody knows = imefika episode 6 ....... nimeipa 6.5 / 10
- memorist = imefika episode 4 ....... nimeipa 6.3 (nimeanza kuangalia wakorea mnamo mwaka 2013 kama nitakuwa nipo sahihi, ndani ya drama hii nimekutana na kundi la waigizaji ambao sijawahi kuwaona kwenye drama yeyote ilee, sijui walikuwa wamejifichia wapi)
- doctor playlist = episode 1 kila wiki ni zaidi ya mateso jamani......... hii ni bonus drama kiupande wangu
Drama ambazo si za mwaka huu lakini nazifuatilia mdogo mdogo kadri ninapopata muda
=========================================
- falsify: project ya mwaka 2017......... nimeipa 7.0 / 10
- what happens to my family: project ya mwaka 2014......... nimeipa 7.3 / 10
- marry me now : project ya mwaka 2018 ............ nimeipa 9.5 / 10 mpaka hapa nilipofikia episode 12: hii ndio drama inayonifanya niwazie kumuibia pesa mzazi wangu ili nipate kununua bando, nikitumwa chumvi pesa nabania, nikitumwa maandazi ya kwangu mimi pesa nabania.
View attachment 1396109
Mie nashindwa kuvuta romantic doctor2 ina 1.2gbmuda huu episode 16 ilikuwa inanitesa (kila tovuti ninayoitembelea nakutana na full hd mwendo wa mb 600)
bonge la zari nimekutana na tovuti hii
Watch online and download free Asian drama, movies, shows
kissasian na wajinga wengineo nitawakimbia kwa baadhi ya drama
kilingeni 2020 (muda si mrefu nitakuwa mkorea)..... niombeeni dua yule mwanamke mwenye macho makubwa kama ngisi anikubalie.
- romantic doctor Kim season 2 completed = nimeipa 8.8 / 10
- Itaewon class completed = nimeipa 8.3 (episode mbili za mwisho hazijanifurahisha sana)
- the game toward zero completed = nimeipa 4.5 /10
- money game completed = nimeipa 6.95 / 10 (hii drama imenitesa sana, sijui kwa nini nilifeli kidato cha nne, pengine muda huu ningelikuwa mrithi wa professor kwenye nyanja ya uchumi na fedha za kigeni pamoja na rushwa)
- kingdom season 2 completed = nimeipa 7.5 / 10 (hawa mazombie wanaweza kukuvua nguo wakasingizia wanahitaji damu yako)
- tell me what you saw completed = (nimeipa 8.0 / 10)
- nobody knows = imefika episode 6 ....... nimeipa 6.5 / 10
- memorist = imefika episode 4 ....... nimeipa 6.3 (nimeanza kuangalia wakorea mnamo mwaka 2013 kama nitakuwa nipo sahihi, ndani ya drama hii nimekutana na kundi la waigizaji ambao sijawahi kuwaona kwenye drama yeyote ilee, sijui walikuwa wamejifichia wapi)
- doctor playlist = episode 1 kila wiki ni zaidi ya mateso jamani......... hii ni bonus drama kiupande wangu
Drama ambazo si za mwaka huu lakini nazifuatilia mdogo mdogo kadri ninapopata muda
=========================================
- falsify: project ya mwaka 2017......... nimeipa 7.0 / 10
- what happens to my family: project ya mwaka 2014......... nimeipa 7.3 / 10
- marry me now : project ya mwaka 2018 ............ nimeipa 9.5 / 10 mpaka hapa nilipofikia episode 12: hii ndio drama inayonifanya niwazie kumuibia pesa mzazi wangu ili nipate kununua bando, nikitumwa chumvi pesa nabania, nikitumwa maandazi ya kwangu mimi pesa nabania.
View attachment 1396109
Itaewon class episodes mbili za mwisho director amezingua sana.
Jamani anayeweza nipa njia rahisi ya ku download six flying dragon na mb ziwe reasonable nitashukuru sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise sijawahi ku download korean drama kwa kweli ila huwa na stream kwa kutumia,link ambazo huwa napewa na wadau humu ndani,ila kwa sasa ina stuck sana sana yani episode moja ye dk 59 naangalia for two hoursZamani ulikua unatumia njia gani?
Aise sijawahi ku download korean drama kwa kweli ila huwa na stream kwa kutumia,link ambazo huwa napewa na wadau humu ndani,ila kwa sasa ina stuck sana sana yani episode moja ye dk 59 naangalia for two hours
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu ngoja nijaribujaribu kutembelea tovuti hii
Six Flying Dragons Ep 1 – Dramahood
View attachment 1398196
- ili usiteseke hapo kwenye link utakuwa unabadilisha no of episodes (inategemea unayoihitaji)
- baadae utachagua video 2 (ndio pekee ambayo nimeijaribu muda huu na imekubali kuplay)
- nenda kwenye setting, badilisha video quality (pendelea zaidi kutumia 360 kuliko 480 na 720 kwa sababu ya internet zetu za kajamba nani)
usiku mwema
Poa mkuu asanteHizo link walizokupa pia unaweza kudownload,angalia post za nyuma za mwezi huu kuna maelekezo ya kudownload
nimefika episode 20, now nimeamua kuiweka kiporo kwa muda usiojulikana
family drama na somo la food chain
park family + yeon family + chae family + cha family (familia zote zinategemeana)
Park Yoo-Ha vs Chae Sung-Woon
baadhi ya nyakati wanawake munafanya makosa ya kujitakia wenyewe kwa sababu ya kupenda kwenu kunakoambatana na wingu zito la huruma dhidi yetu..... si vibaya kuolewa na mwanaume uliyevutiwa naye iwe anatokea kwenye familia yenye heshima zaidi yako au kinyume chake na ni ndoto ya wanawake wengi kuolewa au kuwa na mahusiano na wanaume waliojaaliwa neema ya kipato, jambo muhimu zaidi unalopaswa kulipa kipaombele kwenye mahusiano yako ni hili kabla ya kuangalia vigezo vyenginevyo:
huyu mwanamme atakuwa tayari kujitoa kwa shida na raha dhidi yangu?
imagine binti alizima ndoto zake za kuwa daktari ili apate wasaa au muda zaidi wa kuwa karibu na boyfriend wake huku akifahamu familia zote mbili hazifurahishwi na mahusiano yao, cha ajabu bwana yule kwa jinsi alivyo taka taka, dhaifu na muoga hakuwa na uwezo hata wa kumlinda mke wake ( mke wake alifikia hatua ya kuwa mtumishi wa ndani) na mwisho alimtelekeza kwa sababu ya ushawishi wa familia yake
jamaa hakuwa na uwezo wa kupata mtoto(infertile, infecund) hivyo basi kivyovyote walikubaliana pamoja na mke wake wafanye adoption ya mtoto ( ambaye ni eunsoo) au watumie njia za kimaabara, maajabu yalitokezea pale familia ilipohitaji paternity test ili kupata vithibitisho vya uhalali wa mtoto bwana yule akaanza kubweka ovyo, mara aje na wazo la kumpeleka nje mtoto wao ili siri yake isijulikane.
licha ya udhaifu wao wanawake sidhani kwenye dunia hii kama yupo mwanamke aliye tayari kumsafirisha au kutengana na mtoto wake aliye chini ya miaka mitano, nilivutiwa sana na uamuzi wa mwanadada park yoo ha wa kutokuwa tena tayari kuwa mtumwa wa familia kwa kutenganishwa na mtoto wake kwa hoja dhaifu ya kuficha siri ya mume wake hatua ambayo hatimaye ilipelekea apoteze haki ya kurithi au kupata gawio lolote la mali baada ya talaka (alimony).
licha ya kuachwa pia sheria haikumruhusu kutoka mbele ya hadhara kutangaza kuvunja kwa ndoa yake (nasubiri episode za mbeleni ateme cheche dhidi ya familia ile)
ndoa za tajiri na masikini zimejaa utumwa na manyanyaso (si ndoa zote)
View attachment 1398470
mama na binti yake wakikutana ni full raha.......
nampenda sana huyu ahjumma, anaonekana ni mpole sana kwenye maisha ya kila siku ndio maana hata kwenye drama mara nyingi anakuwa meek, humble.
picha ni kwa hisani ya camera za bongo movies
View attachment 1398485