Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

HEALER ni Drama safi kabisa hatimaye nimeimaliza, ilikuwa na story nzuri pia.



Nimefanikiwa kuimaliza WELCOME TO WAIKIKI 1. ilikuwa Drama safi kabisa, Ina-visa na mikasa ya kuchekesha na kufundisha juu ya urafiki mwema.
pamoja haso za marafiki hao.


Wakuu Naombeni list ya Historical Drama ambazo hazina sana romace au hazina kabisa romance.
 
Mbona huyu demu ni mzuri kiasi hichi aisee
 
Prison Playbook

Signal

Sky Castle

Secret Forest (Stranger)

Nilizoangalia hapa ni mbili tu sky na prison
 
Jamani ndugu zangu me huwa nina Tatizo moja Kwenye hizi Movies na Series yani huwa nina chukilia kwa ukaribu sana as me ndio muhusika kwenye Swala la Mahusiano yani endapo kutatokea Breakups [emoji174] among Character's kwenye Drama huwa na mimi Nafanya kuacha kiangalia Episode hiyo na series nzima hata kama Naipenda kiasi gani.
Kuna series kama HOTEL KING na ITAEWON CLASS nyingine sizikumbuki zishanikera Mpaka majina yamenitoka Kichwani sijazimaliza nazichukia sana huwa najiuliza au sababu hapo kabla nilishawahi Kutendwa???
Lakini lengo langu nataka Niepuke (NIISHINDE) hii hali hivyo basi Naombeni List Ya Series ambazo mnajua kuna Breakups nyingi zakutosha ambazo mpaks ninyi zinawakeraga huenda nitapona huu Ujinga wangu [emoji23][emoji23][emoji23].
#i want to be my own Doctor [emoji28].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani ndugu zangu kuna Chinese drama niliiona Mwaka Jana duuuh aisee sijawahi kupenda Romantic series kama hiyo yani watu wanapendana Mpaka unajihisi DUNIA bila MAPENZI haijakamilika kwa atakae penda kuiona inaitwa "I HEAR YOU" Nitamu asee kaangalieni hata trailer tu kwa ambao hamjawahi iona mtanipa mrejesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…