Sana Sana!
Wadau kwema! Kama kuna mtu ameiangalia different dreams naomba inijuze kama ipo fresh.
Sent using Jamii Forums mobile app
wakorea nimeamua niwape likizo ya bila ya malipo (nimeanza Ijumaa ya wiki hii), udhaifu wangu napenda sana stori za wakorea (kusoma na kuchangia hatimaye nimejikuta nipo hapa).
a piece of your mind drama: hiyo project raha yake uiangalie ukiwa umepumzika ukiwa kwenye mazingira ya kipekee, hali ya hewa ya baridi kidogo (ikiwezekana umejikalia ukumbini), pembeni yako umeweka gilasi ya kinywaji chochote kisicho na kilevii, mita 15 mbeleni umeweka jokofu lenye matunda ndani yake, bila ya kusahau playlist ya park hyo shin, mc the max, julio iglesia and any divas (celine, whitney or mariah carey) pindi unapojihisi bored
kama utaiangalia hiyo drama huku kichwani mwako umejaza mzigo wa mawazo, pembeni yako umeweka sahani ya wali na maharage, shelisheli la pemba, sembe la wasukuma basi hiyo drama itakushinda.
ipo slow sana kuliko mwendo wa jongoo kuanzia sound track, hadithi yake na mijadala yake
natumai harakati zako za kimaisha zinakwenda vizuri licha ya kuvamiwa na gonjwa hatari la COVID-19 kwenye hii dunia yetu.
bogoshipda chingu
Mi Sijui Ni Mpenzi Wa Aina Hii ya Drama,teh teh teh
when the weather is fine drama niliwahi kuifuatilia wiki ya mwanzo nayo pia ilikuwa slow sana halafu mandhari yake yana akisi maisha ya nje ya mji.
wiki ya pili nikaitafuta mwendelezo wake (nilipokuwa naiangalia episode 3 ikaganda njiani basi ndio nikapata sababu ya kuachana nayo, teh teh teh hatimaye episode 4 pia nikaifuta kwa hasira za mkizi).
park jin young hana bahati kwenye nafsi yangu, binti anajitahidi kuigiza mara kwa mara ila nashindwa kuzifuatilia project zake
nimeangalia
Her private life nakumbuka niliihifadhi yote lakini nikaishia kuangalia episode 2 tu
Hahahahaha Kama Mimi Ninavyopenda Avatar Zako Unazozibadirisha Badirisha Kila Leo.Chae soo bin anazidi kuimprove kwenye sekta ya uigizaji (tofauti na mwanzoni nilipomuona ndani ya moonlight drawn by the clouds drama)
seo woo ananivutia sana, kwanza anaipenda sana kazi yake inayohusiana na utengeneza wa muziki, style yake ya uzungumzaji imejaa nidhamu, heshima na utiifu kwa rika zote. Ukaribu wake na mwanadada Ji soo ulikuwa ni wa kipekee kana kwamba wawili hao walifahamiana tokea udogoni kwao kumbe ni tofauti kabisa (nilijawa na huzuni baada ya kushuhudia mwisho wa Ji soo.
sikutegemea ya kwamba tutashuhudia mwisho wake ndani ya muda mfupi (nilifikiri utakuwa ni mwendo wa love triangle baada ya Ji soo kufahamu udhaifu wa matendo ya mume wake (nahisi mume wake alihusika kwa namna fulani kwenye kifo cha mama yake ha- won, sina uhakika) na pengine binti angelihitaji kurudisha upya upendo kwa Ha- won, kitendo cha ha won kutengeneza device yenye uwezo wa kuhifadhi mazungumzo ya muhusika ni uthibitisho tosha ya kwamba jamaa alikuwa bado ana hisia dhidi yake licha ya kuolewa baada ya kukimbia maeneo ya Norway
hahahahahaaaaaa!!!! nilikuwa natabasamu muda wote pindi ninamuona seo woo anazificha hisia zake za kimapenzi dhidi ya ha-won (kumbe baadhi ya nyakati inatokezea hali ya kumpenda mtu fulani bila ya kufahamu ya kwamba hisia ulizonazo kwake ni za kimapenzi zaidi kuliko upendo unaotokana na profile yake)
naipenda avatar ya member fulani
navutiwa na user name ya mtu fulani
navutiwa na comment za mtu fulani
nisipomuona member fulani najihisi bored
kumbe mwenzetu unasumbuliwa na unrequited love (one side love)
hahahahaaaaa....... nimecheka tena mwishoni mwa episode ya 4 baada ya siri ya seo won kuwekwa wazi na A1 device ya kwamba binti anavutiwa (secret crush) na ha-won, kwa mazingira yetu haya ya kila siku imagine hali ile inakukuta, kivyovyote utajisikia aibu inayoambatana na fedheha, lakini binti wala hakujali na hakuona uoga wa kuweka wazi kilichomo nafsini mwake na alikiri ya kwamba anavutiwa na Ha won tena mbele yake.
natumai Ha- won naye atazisheshimu hisia za mwanadada ndani ya muda mfupi (hatomfanya asubiri kwa muda mrefu kuzipokea hisia zake)
nataka nikamate chatu, kenge, nyoka, kijusi muislamu na kijusi kafiri , nataka niwaweke sokoni then mauzo yake nikamchumbie chae soo bin.
hii taarifa isimfikie kigwangwala
favourite ost ndani ya hii drama
NImekutana Na Uzi Uko Yule Mjukuu Wako Anabishana Na Watu Nusu Nikutag.Chae soo bin anazidi kuimprove kwenye sekta ya uigizaji (tofauti na mwanzoni nilipomuona ndani ya moonlight drawn by the clouds drama)

Mi Nimemsoma Kwenye Ule Unaotoa Taarifa Ya Kutoka Kwa Money Heist Basi We Nikawa Nacheka Uku Nakukumbuka.😀😀😀 mjukuu nimempa uhuru wa kujimwambafy.
nilimuona kwenye thread ya scoffield vs professor..
vurugu lake kama mane
Hua Zinamaana Yeyote Kwako!?omo omo omo
leo nimedownload nyengine 3
kama unavutiwa na avatar pekee basi vizuri (usije ukafikia kiwango cha seo woo)
hazina athari yoyote kubwa kiupande wangu...... ikitokezea picha fulani imenivutia kwenye mitandao ninayotembelea huwa naihifadhi (baadae naiweka kwenye kwenye profile yangu bila ya kuangalia jinsia, sifa za kiumbe husika), mvuto ukipungua nafsini mwangu naiondoa na kuifuta kabisa kwenye device niliyoihifadhi (either PC or kimeo cha mchina)Hua Zinamaana Yeyote Kwako!?
mjukuu mstahafu akipenda lake huwa hakubali kupoteza pambano kirahisiMi Nimemsoma Kwenye Ule Unaotoa Taarifa Ya Kutoka Kwa Money Heist Basi We Nikawa Nacheka Uku Nakukumbuka.
Nikasema Mjukuu Tatizo Eti!
Kawa Mstaafu Tena, Hahahahahamjukuu mstahafu akipenda lake huwa hakubali kupoteza pambano kirahisi
Hyperthymesia: also known as a piking or hyperthymic syndrome, is a condition in which an individual possesses a superior autobiographical memory, meaning he or she can recall the vast majority of personal experiences and events in his or her life.
ni hali inayompatia faida kubwa sana anchor lee katika utekelezaji wa shughuli zake za kila siku (utangazaji wa habari), akiwa nje ya ofisi inakuwa kinyume chake (anashindwa kusahau kumbukumbu nzuri na mbaya alizozipitia pamoja na mpenzi wake wa mwanzoni, kumbu kumbu hizo zinabaki kuwa ni maumivu yasioweza kusahaulika hata kwa dakika moja kwenye ubongo wake...
I like the idea of this drama inapojaribu kuangazia zaidi athari za kumbukumbu (memory) kupitia mfumo wetu wa kimaisha, lipi ni bora zaidi kati ya kupoteza kumbukumbu zako baada ya muda fulani au kuendelea kuwa na kumbukumbu zisizofutika nafsini mwako milele. Kiupande wangu naamini kupoteza kumbu kumbu juu ya tukio fulani ni bora zaidi na ni zawadi kutoka kwa Mungu kwa sababu upotevu wa kumbu kumbu juu ya tukio moja au jengine hukusaidia kusonga mbele zaidi kwenye harakati zako za kimaisha .kuliko kuendelea kuzishikilia kumbu kumbu hizo (muda wote unajikuta unawaza jambo fulani mwisho wa siku unakaribisha msongo wa mawazo).
jaalia Mungu angelitujaalia sote tuna uwezo wa kuyakumbuka kwa ufasaha matukio yote tulioyafanya nyuma, dah kivyovyote ingelikuwa ni mtihani mkubwa sana kiupande wetu (ubongo ungelibeba taarifa kuliko uwezo wake), si ajabu akiitwa Juma Pombe Matambiko kwa sababu ya kihere here chako kama mfuko wa suruali ilioshonwa mwaka 1970 na overloading ya ubongo unaitikia wewe bwana Punguani kasoro sina.
niwape pole wale wote wenye tatizo hili la Hyperthymesia, inasemekana duniani watu wenye tatizo hili hawafiki 100
ukija kwenye drama Ha-jin amepoteza kumbu kumbu zake kwa sababu ya tukio la kusikitisha lililomfika rafiki yake anayeitwa seo yeo ambaye pia alikuwa ni girlfriend wa anchor lee, bado nimebakiwa namshangao inakuwaje tukio hilo limfanye bidada awe katika hali ya kupoteza hamu ya kuishi kwenye huu ulimwengu mpaka kufikia kupoteza kumbukumbu zake (I hope drama itatupa uhalisia wa tukio zima lilivyokuwa kuanzia kutekwa kwa seo yoo mpaka kufariki kwake na kivipi ha jin amehusika na tukio hilo kama anavyojiona ni responsible).
halafu hii couple ukiangalia uhusiano wao wa kimapenzi (japokuwa sio rasmi mpaka sasa)unagundua utofauti mkubwa sana uliopo wa kitabia, mienendo na mifumo yao ya kimaisha, appearance zao, sifa na haiba zao kwenye jamii (cha kufurahisha zaidi ni wapenzi waliokutana na kufahamiana kwa muda mfupi sana, lack of physical attraction ukilinganisha na couples za drama nyenginezo).
mwanaume yupo serious sana muda wote while mwanamke muda wote yupo na ucheshi fulani unaoambatana zaidi na kulinda brand yake mbele ya hadhira (si ajabu unaweza kumshuhudia msanii akiwa mbele ya mashabiki anafurahia uwepo wao,atasaini vitabu vyao vya kumbu kumbu ila akiingia ndani ya gari yake anaanza kuwatusi na kuwadhihaki kwa kumpotezea muda wake), ndivyo walivyo wasanii na maisha yao (wazee wa brand)
tuache utani wa kigwangwala na chatu wake, huyu binti moon ga yeong ni mrembo (anang'ara kama taa ya boda boda)
nimepata taarifa baba wa babu yangu ameacha shamba la mikarafuu, nipo kwenye mipango ya kuliweka mnadani kisiri siri, mauzo ya shamba hilo nitayatumia kwa ajili ya uchumbiaji wa binti huyo, sijui kama itawezekana lakini kwa sababu babu ameacha watoto 9, wajukuu wanakaribia 120, vitukuu 30 na vilembwe 15 (sisi watu wa pwani tunazaa sana utadhani tumefungwa mashine kwenye sehemu zetu zinazotofautisha gender).
mpenzi wa ukweli
hupambana kwa ajili yako,mwenzangu na mimi tafuta mpenzi mwenye sifa za mamba, muda wote anawaza nyama (nimekusudia kitoweo)
yupo tayari kuvuka barabara kama nyumbu kwa ajili yako,
muda mwingi huwa na wasiwasi juu yako
akizidiwa na majukumu atawatumia wengineo wakuangalie ufanyacho,
favourite ost kupitia drama hii (nazipenda zote ila hii imezidi)
Umeiba Ost Yangu Kwanini!?Hyperthymesia: also known as a piking or hyperthymic syndrome, is a condition in which an individual possesses a superior autobiographical memory, meaning he or she can recall the vast majority of personal experiences and events in his or her life.

Washamba.unatokea kabila gani?
kati ya washamba, wajinga, wapenda sifa, wapenda kujimwambafy, walevi, wapenda pesa, wafugaji ng'ombe?
nataka nikuachie mfuko wa pesa pindi tutakapomaliza kufanya muamala.
Series zingine za kisiasa je, ukiacha president, Athena,strange doctor, city hunterusaliti kwenye ulimwengu pendwa wa wanandoa, jinsi gani usaliti huo unaweza kugeuka na kuwa kisasi kwa mmoja wao.
ni remake ya BBC series inayoitwa Doctor Froster.
nikimnukuu producer mo anasema: utofauti wa series hizi mbili ni kwamba original version imeangazia zaidi upande wa wahusika wakuu ila hii mpya (korean)imeangazia na taathira zinazowakumba watu wa karibu na hao lead actors (marafiki zao, mashoga, vishakunuku, vitimba kwiri)
Director Mo pia amesimamia project inayoitwa Misty.