Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Inakufundisha Kupenda na kutetea penzi lako licha ya vikwazo.
Inatufundisha pia maisha ya familia namna ya kuishi yaani kutegemea

Usisahau part two take. What happens to my family

Unaona sasa? Penye wengi pana mengi, sikuwa nikifahamu kama kuna muendelezo wake, Asante Mkuu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Top management
Cheese in the trap
Yi san na want a taste(navuta episode chache chache mpaka ntafika mwishon tu)

Pasaka murua

Kama unatumia simu jaribu kuvuta kupitia chrome kisha kissiassia.sh huku pia ukitumia uc browser au browser yoyote kupitia kissiassian pia. (Unapiga ndege wawili(movies)kwa jiwe moja(simu). Kila browser unavutia movie yake hadi asubuhi una movies zako mbili tatu complete
 
Yi San niliimaliza January mwaka huu, ipo vizuri.
Nataka nimalize hii Itaewon Class ili nizame moja kwa moja kwenye Marry Me Now [emoji91][emoji91]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yi san inanipa uvivu urefu wake ila ntaimaliza tu

Itaewon ninayo episode zote 16 tatizo kila nikiianza episode 1 nashindwa ndani ya dakika 2 na kuifuta hasara imebidi niiweke kando siku nikiwa bored sana ntaiangalia.

Marry me now nzuri sana.

Naona kuna mtu kakudokeza kuhusu what happened to my family ile ni nzuri ila ina kiwango kikubwa cha umbea hatari ndani ya nyumba hawana siri hata pin ikidondoka chumban wajikoni keshajua ilidondokaje[emoji23][emoji23]
 
simu inavyopata moto unaweza kuitupa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Top management
Cheese in the trap
Yi san na want a taste(navuta episode chache chache mpaka ntafika mwishon tu)

Pasaka murua

Kama unatumia simu jaribu kuvuta kupitia chrome kisha kissiassia.sh huku pia ukitumia uc browser au browser yoyote kupitia kissiassian pia. (Unapiga ndege wawili(movies)kwa jiwe moja(simu). Kila browser unavutia movie yake hadi asubuhi una movies zako mbili tatu complete
 
Yi san inanipa uvivu urefu wake ila ntaimaliza tu

Itaewon ninayo episode zote 16 tatizo kila nikiianza episode 1 nashindwa ndani ya dakika 2 na kuifuta hasara imebidi niiweke kando siku nikiwa bored sana ntaiangalia.

Marry me now nzuri sana.

Naona kuna mtu kakudokeza kuhusu what happened to my family ile ni nzuri ila ina kiwango kikubwa cha umbea hatari ndani ya nyumba hawana siri hata pin ikidondoka chumban wajikoni keshajua ilidondokaje[emoji23][emoji23]

Nzuri mnooooo, ila umbea hata huku umo jamani nachekaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Itaewon mbona nzuri tu? Icheki inani inspire sana kupigania ndoto zako na kusimamia unachokiamini [emoji1430][emoji1430]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tupo wengi huwa naumia pale ninapoimaliza movie nzuri,ninapoianza nyingine ikawa haieleweki,muda wa kufuta. Movies ambazo sijazifuta na siwezi kuzifuta ni the heirs na descendants of the sun hizi narudia rudia hazichoshi.
sana..halafu muda wa kufuta huwa naumia sijui ni peke yangu..hhahah
 
Ntaiangalia. Korea kwa comedy hawajambo yaan hata serious movies za crime unaweza jikuta unacheka either kwa vitendo vyao au maneno

Mbeleni utapata burudani zaidi na uzuri haina mwisho mbaya hivyo utaimaliza ukiwa na mood uliyoanza nayo
Nzuri mnooooo, ila umbea hata huku umo jamani nachekaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Itaewon mbona nzuri tu? Icheki inani inspire sana kupigania ndoto zako na kusimamia unachokiamini [emoji1430][emoji1430]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hizi ni za kuzipakua leo leo..nimezitamani.
Yi san inanipa uvivu urefu wake ila ntaimaliza tu

Itaewon ninayo episode zote 16 tatizo kila nikiianza episode 1 nashindwa ndani ya dakika 2 na kuifuta hasara imebidi niiweke kando siku nikiwa bored sana ntaiangalia.

Marry me now nzuri sana.

Naona kuna mtu kakudokeza kuhusu what happened to my family ile ni nzuri ila ina kiwango kikubwa cha umbea hatari ndani ya nyumba hawana siri hata pin ikidondoka chumban wajikoni keshajua ilidondokaje[emoji23][emoji23]
 
Park anatufundisha kuheahimu baba zetu na kuwajali.
Kama una jambo/kazi inayohitaji concentration nakuasa usijaribu kuangalia Marry Me Now utaharibu.
Mimi almanusra kibarua kiote nyasi [emoji28][emoji28]

Sent from my iPhone using JamiiForums
Akina baba tunawachukulia poa sana hivyo tunaweza zima ndoto zao au wanavyovipenda ( wazazi waheshimiwe
 
Back
Top Bottom