ni kwa sababu bado ombi lako limejaa udhaifu, hizo drama za kileo pia zipo zenye ladha tofauti (hapo kwenye bandiko lako hujaweka categories zinazokuvutia)
action, criminal and investigation, law, comedy, rom-comedy, romantic,medical, siasa n.k.
wakorea pia wana project nyingi sana,
ubora wa project huamuliwa zaidi na muangaliaji na si aliyependekeza (yawezekana bwana X amevutiwa na project A lakini bwana Y project A imegeuka chukizo kiupande wake)
cha kufanya ni kutia mkono kwenye shimo, ukibahatika utapata dhahabu na ukighafilika utatafunwa na nyoka.