Inakufundisha Kupenda na kutetea penzi lako licha ya vikwazo.
Inatufundisha pia maisha ya familia namna ya kuishi yaani kutegemea
Usisahau part two take. What happens to my family
Si muendelezo japo ni story zinazoelekea chini ya Mr. Park huyohuyo na wanayeUnaona sasa? Penye wengi pana mengi, sikuwa nikifahamu kama kuna muendelezo wake, Asante Mkuu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Si muendelezo japo ni story zinazoelekea chini ya Mr. Park huyohuyo na wanaye
Korean Dramas Tz Fans
Link hiyo hapo Mkuu, ingia upakue drama bure huko kwingine naona mnauziwa [emoji1787][emoji1787][emoji1430]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Habari yako Nifah:
Nawezaje pata link ya kupata move ya Hotel Rwanda, na Every year ni April,
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani sana, ila nilihitaji ni- downloadNi unataka kudownload au kuangalia tu? Kama kuangalia pekee hii hapa link nimeipata YouTube
Enjoy
Sent from my iPhone using JamiiForums
Top management
Cheese in the trap
Yi san na want a taste(navuta episode chache chache mpaka ntafika mwishon tu)
Pasaka murua
Kama unatumia simu jaribu kuvuta kupitia chrome kisha kissiassia.sh huku pia ukitumia uc browser au browser yoyote kupitia kissiassian pia. (Unapiga ndege wawili(movies)kwa jiwe moja(simu). Kila browser unavutia movie yake hadi asubuhi una movies zako mbili tatu complete
Naona kuna mtu kakudokeza kuhusu what happened to my family ile ni nzuri ila ina kiwango kikubwa cha umbea hatari ndani ya nyumba hawana siri hata pin ikidondoka chumban wajikoni keshajua ilidondokaje[emoji23][emoji23]Yi San niliimaliza January mwaka huu, ipo vizuri.
Nataka nimalize hii Itaewon Class ili nizame moja kwa moja kwenye Marry Me Now [emoji91][emoji91]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Top management
Cheese in the trap
Yi san na want a taste(navuta episode chache chache mpaka ntafika mwishon tu)
Pasaka murua
Kama unatumia simu jaribu kuvuta kupitia chrome kisha kissiassia.sh huku pia ukitumia uc browser au browser yoyote kupitia kissiassian pia. (Unapiga ndege wawili(movies)kwa jiwe moja(simu). Kila browser unavutia movie yake hadi asubuhi una movies zako mbili tatu complete
Yi San niliimaliza January mwaka huu, ipo vizuri.
Nataka nimalize hii Itaewon Class ili nizame moja kwa moja kwenye Marry Me Now [emoji91][emoji91]
Sent from my iPhone using JamiiForums
simu inavyopata moto unaweza kuitupa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiachana na simu kupata moto uc browser inaanzaga maringo bado memory ya simu inajaa. Wavuta movies kwa simu tunapata tabu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yi san inanipa uvivu urefu wake ila ntaimaliza tu
Itaewon ninayo episode zote 16 tatizo kila nikiianza episode 1 nashindwa ndani ya dakika 2 na kuifuta hasara imebidi niiweke kando siku nikiwa bored sana ntaiangalia.
Marry me now nzuri sana.
Naona kuna mtu kakudokeza kuhusu what happened to my family ile ni nzuri ila ina kiwango kikubwa cha umbea hatari ndani ya nyumba hawana siri hata pin ikidondoka chumban wajikoni keshajua ilidondokaje[emoji23][emoji23]
sana..halafu muda wa kufuta huwa naumia sijui ni peke yangu..hhahah
sana..halafu muda wa kufuta huwa naumia sijui ni peke yangu..hhahah
Nzuri mnooooo, ila umbea hata huku umo jamani nachekaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Itaewon mbona nzuri tu? Icheki inani inspire sana kupigania ndoto zako na kusimamia unachokiamini [emoji1430][emoji1430]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yi san inanipa uvivu urefu wake ila ntaimaliza tu
Itaewon ninayo episode zote 16 tatizo kila nikiianza episode 1 nashindwa ndani ya dakika 2 na kuifuta hasara imebidi niiweke kando siku nikiwa bored sana ntaiangalia.
Marry me now nzuri sana.
Naona kuna mtu kakudokeza kuhusu what happened to my family ile ni nzuri ila ina kiwango kikubwa cha umbea hatari ndani ya nyumba hawana siri hata pin ikidondoka chumban wajikoni keshajua ilidondokaje[emoji23][emoji23]
hizi ni za kuzipakua leo leo..nimezitamani.
Akina baba tunawachukulia poa sana hivyo tunaweza zima ndoto zao au wanavyovipenda ( wazazi waheshimiweKama una jambo/kazi inayohitaji concentration nakuasa usijaribu kuangalia Marry Me Now utaharibu.
Mimi almanusra kibarua kiote nyasi [emoji28][emoji28]
Sent from my iPhone using JamiiForums