Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

B
Hahah Haya mambo ni sehemu ya Historical Drama tunazotazama.
Halafu hili ndilo jukwaa langu pendwa na wala sijawahi kwenda wala kupita kwenye majukwaa mengine.
Basi pitia tena historia dunia

Uchumi ulishikiliwa na dola ya Roma kabla na baada ya yesu. Alitawala mataifa mengi hasa ya ulaya na mashariki ya kati ambayo ndiyo yalikuwa dunia nyakati hizo dola ya Roma iliangushwa na ottoman empire baada ya uwepo WA uislamu na baada ya vita vingi ambavyo vilipelekea nchi nyingi za ulaya kujitawala pia mashariki ya kati, hivyo ottoman akashika mashariki ya kati na roma akaendelea ulaya baadae uingereza aksibuka badala ya roma na badae wakatoshana na ujeruman japo haikuhimili kutokana na mgawanyiko mwingereza akatamba mpaka alipokabidhi kijiti kwa mmarekani.

Mashariki ya mbali walikuwepo ila walikuwa hawainteract na dunia mpaka pale mwingereza alipovamia marekan, wachina wakaanza biashara na afrika, ulaya, arabu.

Hatuna historia inaonesha waafrika tulikuwa tunasoma isipokuwa elimu ya uzoefu ya kushika madaraka ya familia kama baba au mama.

Ili uvunje minyororo ya utumwa nenda shule .

Mashariki ya kati na mbali ili wafanikiwe kama si viongozi WA nchi au makampuni ya kiuchumi yamesomesha watu ulaya, yameiba teknolojia ulaya marekan, wamewanunua wazungu waishi huko ili wawape uzoefu.

Rais WA S.Korea alisoma ulaya kwa majina matatu tofauti bila kujulikana.

Fuatilia nini Mao alifanya baada ya kutengwa na UNO
 
Kinachovutia na kufundisha ni namna aliyotumia kuwavuta kwake ili wampende( endelea nayo ) ni nzuri kuliko Mary me now
Afya yake imeelezwa pia kwenye drama hiyo kuwa ni cancer
What happens ukiingalia hadi mwisho mtajifunza kutujali sisi wazazi wenu nasi pia namna ya kuwashughulikia mnaposhindiksna
 
Kama six ni ya mwanamke basi kajitahidi japo hizi drama ya kihistoria ni mambo yaliyo kwenye historia ya Korea hivyo Jung do jeon ni muasisi WA mfumo bora WA siasa na umiliki WA ardhi kama inavyoelezwa humo. Inawafunza vijana na wanasiasa wa ulimwengu namna siasa inavyofanya kazi, mabadiliko yanavyopaswa kufanya na sadaka kutolewa inapohitajika bila kuathiri lengo husika licha ya lust of power.
Six flying dragons niliitazsma 2014 kabla ya kustaafu japo sikuimaliza, nimehihitimisha mwaka huu kwa vipi 20 vilivyokuwa vimebaki.

Msipende hisia za mapenzi, vichekesho na vimbwanga bali mfurahie elimu na maonyo yaliyomo yawafanye wazazi na viongozi wema
 
CIA na FBI kila mwaka wanatoa ripoti za pelelezi zilivyofanikiwa na zilizoshindwa kufanikiwa hasa FBI kwani sharia ya upelelezi marekani mwisho ni miaka 15 hivyo wakishimdwa, jalada linafungwa na kueleza namna walivypshindwa. Kesi nyingi hasa za mauaji na wizi zilishindikana kuwapata wahusika hata evidence za kutosha kuspeculate ukweli.
Kwa nchi zinazojiendea kinyumembele yote yataisha kinyume mbele, nawaomba nanyi msije kuishia kinyumembele
 
Woo Do Hwan Shows Off Duality By Portraying 2 Contrasting Characters In “The King: Eternal Monarch”

Woo Do Hwan portrays Jo Young, chief imperial bodyguard and Emperor Lee Gon’s best friend, as well as Jo Eun Seob, a public service worker at the National Police Agency’s civil service office.

Woo Do Hwan commented, “It’s difficult because it’s my first time portraying two characters, but I’m having fun filming.”
 
Mashariki ya kati na mbali ili wafanikiwe kama si viongozi WA nchi au makampuni ya kiuchumi yamesomesha watu ulaya, yameiba teknolojia ulaya marekan, wamewanunua wazungu waishi huko ili wawape uzoefu.
Eeh! Mfalme Daemusin utanipa kibali ili nipinge upotoshaji huu?!, au nitakuwa naenda kinyume na Kanuni za Nchi yetu?
 
Hata kwenye ITAEWON CLASS napo kuna ubaguzi wa Rangi (mtu mweusi) ambao ulinikera nikajitahidi tu kuimalizia mule kuna jamaa flani black alikuwa anabaguliwa mpaka unamwonea huruma sijui nani alimwambia akajichomeke mule ku act Daaaah pamoja nakuwa walionyesha kumtetea wengine lakini bado utaskia kauli "sawa we mkorea Lakini kwetu hatunaga Mkorea Mweusi we Rudi kwenu tu Guinea" Yanipaka nahisi kuacha kizipenda hizi series Dah.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka nahisi ku Like hichi uchokiandika nikukikosea Heshima daaah nilifikiri ni mimi mwenyewe ndio nakereka kumbe tupo wengi [emoji19].
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asilimia kubwa ya drama zinazosubiriwa kwa hamu huwa hazina viwango vikubwa pale zinapotoka. Kwenye hii drama tutafaidi mavazi tu mengine itakua story za kawaida
 
Tatizo jamii ya weusi inataka kujichomeka kila kona. Itaewon sikutaka kuiangalia ila machungu ya kuifuta bila kuiangalia ikanibidi niangalie. Jamaa alinishangaza halafu story yake wala haikua na mashiko.
 

Dah kwa ninavyo Isubiri hii drama I hope haita dissapoint kama chocolate lol


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sijaombea athari zozote maana wakifilisika tutakosa uhondo huku bali natamani iwe nzuri kama matarajio ya wengi. Nimechoka kuangalia movie huku kidole kikipeleka mbele badala ya kutulia na kuifaidi. Drama nzuri huwa inaleta burudani
 
Me mwenyewe sikuona umaana wa Yule jamaa Kuwepo mule maana haikusaidia chechote kwa upande wowote ,hata baada ya kufanikiwa kufungua kampuni lao ndio hakuonekana kabisa it means waliweka kipande kile kwa Lengo la kuonyesha wanashirikiana na watu weusi lakini Lengo lao Kuu ilikiwa ni kuwakejeri watu weusi kwa njia ya kuwapaka mafuta kwa mgongo wachupa na hakuna kingine.
Tatizo jamii ya weusi inataka kujichomeka kila kona. Itaewon sikutaka kuiangalia ila machungu ya kuifuta bila kuiangalia ikanibidi niangalie. Jamaa alinishangaza halafu story yake wala haikua na mashiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daemusin Mungu akubariki sana, nakosa namna ya kukushukuru vyema ila tambua mambo yetu uliyoweka kwenye channel yetu yamenikosha sana.
Nilikuwa nahaha nikiitafuta Married World nawe ukaiweka, furaha niliyoipata ni kama niliyekuwa na kiu kali nikapewa maji, haki umenikosha mnooo!
Bless ya [emoji1430]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…