Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Daemusin Hi Chingu.

Sijajua Kama Unaangalia World of Married Couple Ila Nina Uhakika Umeiangalia au Utaiangalia King Eternal Monarch Maana Si Kwa Kuisubir Kule.

Kuna Vita ya Rating Kati Ya Married Couple na King Eternal, Japo Married Bado Ipo Juu Kwa Rating Ukizingitia Ipo Kwa Cable's Tv.

Au Ukubwa Wa King Kabla Ya Kuonyeshwa Imekua Tofauti Baada Ya Kuanza Kutazamwa.

Nimeangalia Episode 2 Za Mwanzo Za King Sikutarajia Nilichokiona Kutokana Na Ukubwa Wake Japo Naipa Muda.

Ila THE WORLD OF MARRIED COUPLE, Writernim Na Directornim Na Producernim Na Actor's Wake Na Yeyote Anaeshiriki Ichi Kitu Kukipika Na Mpaka Tunakitazama Chukae Zao Zakutosha Sana Sana. Sikukosea Kuanza Kuangalia.

Nilifanya Kuibahatisha Tu Wakati Ina Episode 2, Naanza Kuangalia Tena Ilikua Usiku Sana(Kosa Usingizi) Ikabidi Niijaribu, Ooh Allah Ina Haki Ya Kupata Hizi Ratings Ina Haki, Inastahili.
 
Piece of Mind Inaenda Kuzuri,

Karibu Kwenye Ulimwengu Wa Kipenzi Cha Wadada (Najua Unamjua) Mwenye Kdrama Zake Mwenyewe ItaKuja Kukimbizi Rating Ile Hatari.
 

Duh kweli wewe ndo umejua kuiangalia hii drama [emoji1487] , na mm nmekuwa convinced yawezekana ni Lee min ho


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimerudi Tena baada kimya Cha muda mrefu kwenye jukwaa hili kwa kimya changu Kuna watu walikuwa wananiteta ila majina yao nimeyaifadhi.Nina habari nzuri nimekuja nayo na drama inaitwa "The game towards zero" hii inahusu jamaa mmoja ambaye amezaliwa na uwezo wakuona future ya mtu akikutazama tu au kuona picha yako anajua unakufa muda gani au unakufaje?watu wachache pekee wanamfahamu huyo jamaa pamoja na kuweza kuona kifo Cha mtu kwenye future ya mtu Cha ajabu mtu mmoja pekee ambaye ni binti ambaye ni polisi anashindwa kuona future yake pindi tu anapomtazama je unajua Ni kwanini?

Mtihani mwingine anaupata huyo mtoa maono Ni kuzuia hatima ya kifo Cha mtu kisitokee baada ya kuona tukio linaloweza kutokea kwa muda mfupi.Mtoa maono alionywa na baba yake asiowaoneshe watu maono yao cos yanaweza kumletea madhara ya kuwindwa na watu wabaya kwa kuofia mtoa maono anaweza kuwaharibia mipango yao je atafuata ushauri wa baba yake na je Kama hatafuata Nini kitatokea baadae usikose kuangalia drama hii Kali na yenye mvuto wa aina yake Daemusin Numbisa Nifah Aminas
 
Natamani ungekaa huko huko kwenye kimya kirefu looh kijana umerudi na mzigo mwingine. Hapa kila comment utaipachika drama yako
Welcome back kaka yake zuchu
 
Sema tu unapenda ubishi jamani. Episode ya mwisho imeruka march 2020 now tupo april tena 24,2020 Kwani zamani kwako huwa inachukua masaa,miezi au miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…