Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

uvumilivu umenishinda
wanawake wa humu ndani muache kumsema ovyo kaka mkubwa general mubaek from arthdal chronicles......

tulishampa nafasi yule ahjumma ahame mitaa ya GOSAN lakini anaendelea kuleta ubishi, kitakachomkuta atajuana na bwana kujifukiza....

tumevunja madirisha, tumekunywa pombe yake.....
kitakachofuata ni kuondoka na nguo zake zote za ndani (tukaweke kumbu kumbu)
asituchanganye tukazidi kuchanganyikiwa na mchanganyiko wa malimao na tangawizi ya kujifukiza......
View attachment 1433599
Kwamba Umeamua Kumtetea Mwanaume Mwenzio,

Kwanini Ahame!? Hili Amkimbie Huyo Psycho, Yeye Si Alishaondoka Kilichomfanya Harudi Nini!? (Povu)

Mwenzie Kaamua Kuishi Maisha Yake Na Mtoto Wake Kwanini Anamsumbua Mpka Kumkodia Yule Psycho Mwenzie Kumja Kumkosesha Mwenzie Amani (Povu Lengine).
Yaani (Nishasahau Kama Maigizo)

Now Nipo Na BORN AGAIN Karibu.
 
Yeah ni kweli
Mbaya zaidi wazazi wako busy kufanyiana revenge huku mtoto anazidi kuharibikiwa.
Nahisi atakuja kufanya tukio matata ndo washtuke


Sent from my iPhone using JamiiForums
Naona Na Yule Mwengine Anakosa Ata Kutulia Nyumbani Kwake Na Mke Wake Mpya Kutwa Kumfata Fata Sun Woo.

Yule Mtoto Nimesoma Kua Kama Writernim Ataifata Ile Doctor Foster Basi Atakuja Kufukuzwa Shule Naona Apo Ata Sun Woo Atashtuka.
 
thanks.....
currently nafuatilia:
  1. the world of the married
  2. memorist = inamaliza wiki hii
  3. a piece of your mind = imemaliza usiku wa leo
  4. the king eternal monarch
  5. hospital playlist
  6. when my love blooms = imeanza vizuri

completed drama: nimeanza kuiangalia secret love affair
hadithi inayozungumzia mahusiano ya kimapenzi kati ya mwanamama aliyeolewa mwenye umri wa miaka 40 -49 na mvulana wa dar mwenye wastani wa umri wa miaka 20-29.

nahitaji kumfahamu zaidi huyu ahjumma kim hee ae, humo ndani yupo pamoja na Yoo Ah In.
Ni project ya mwaka 2014 kupitia station ile ile ya Jtbc
View attachment 1433914
Ukieelewa Uniambie Nami Niivute.

. Married Couple
Eternal Monarch
Born Again
Memorist Nipo Ya 13Episode
Piece Mind Ya 11Episode

Nipo na Za Wazungu.
 
thanks.....
currently nafuatilia:
  1. the world of the married
  2. memorist = inamaliza wiki hii
  3. a piece of your mind = imemaliza usiku wa leo
  4. the king eternal monarch
  5. hospital playlist
  6. when my love blooms = imeanza vizuri

completed drama: nimeanza kuiangalia secret love affair
hadithi inayozungumzia mahusiano ya kimapenzi kati ya mwanamama aliyeolewa mwenye umri wa miaka 40 -49 na mvulana wa dar mwenye wastani wa umri wa miaka 20-29.

nahitaji kumfahamu zaidi huyu ahjumma kim hee ae, humo ndani yupo pamoja na Yoo Ah In.
Ni project ya mwaka 2014 kupitia station ile ile ya Jtbc
View attachment 1433914
Ivi Hospital Playlist Ni Nzuri Maana Naona Jukwaa Lake Soompi Linakimbiza!?
 
Sijaiangalia nasubiri iishe ila natamani iwe kama faith kuliko legend of the blue sea(sikuipenda too much fantasy)
yes, ni overrated lakini inaeleweka kama utaiangalia kwa utulivu unaoambatana na kuunganisha matukio yaliopita.....halafu mkuu project kama zile ndio maeneo yake ya kujidai handsome boy MINOZ

endelea kuwa mvumilivu
  1. faith
  2. legend of the blue sea
 
muhuni wewe kwa kuangalia project mbovu unaongoza humu ndani......
perfume ya haji manara au ya mr harmorapa?
Project ambazo nimezitazama Tangu January 2020 mpaka sasa-:
3 Days
Princess' Man
Two Weeks
Healer
Vagabond
Waikiki
Waikiki 2
While you were sleeping
Damo
East Of Eden
Strong Woman Bong su
Modern Farmer
Shine Or Go Crazy
Perfume
Money Game


Haya asilimia ngapi ni mbovu au nzima?
 
Back
Top Bottom