Mwaka Huu unaitwaje Ni zamani? Zamani tunazungumzia years ago
Ila unaionaje Ni nzuri au mbaya?Covid 19 is really!!
Watu wanapiga ongoing ikianza episode moja tu ikiisha ni ya zamani hio wanaanza inayofuatia.
Pole sana inauma jamani gazeti lote lile kuwa old news
Ila unaionaje Ni nzuri au mbaya?
Me sijaimaliza ila mwanzo nimeipenda so inawezekana ukawa sahihi kuwa mwisho unaisha vibaya.that's why i hate you my friend
ndio maana nakupenda sana rafiki yangu kipenzi kwa sababu unachokipata unagawanya na wenzako....
muache numbisa na ubishi wake, kwa jinsi hiyo project ilivyokuwa nzuri basi nimeipa 4.5 / 10.
supplementary exam inahusika
mwanzo walianza vizuri sana, pumbavu zake muandishi
=============
Imagine nimeshusha usiku kumbe haijawa subbed ep 10...mi hadi sielew yaniJamani hii drama ya moto The World of Married Couples tunaijadili lini?
Ni mimi tu ndio nimepagawa nayo au?
Doctor Ji Sun Woo nampendaaaaa, ngoja niangalie Ep 9 Daemusin pls tuwekee ya 10 kule home kwetu [emoji1488][emoji1488]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Imagine nimeshusha usiku kumbe haijawa subbed ep 10...mi hadi sielew yani
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhusika Wake Ukiuleta Kwenye Maisha Yetu Halisia Sijui Niuweke Kwenye Daraja Lipi!Jamani hii drama ya moto The World of Married Couples tunaijadili lini?
Ni mimi tu ndio nimepagawa nayo au?
Doctor Ji Sun Woo nampendaaaaa, ngoja niangalie Ep 9 Daemusin pls tuwekee ya 10 kule home kwetu [emoji1488][emoji1488]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Uhusika Wake Ukiuleta Kwenye Maisha Yetu Halisia Sijui Niuweke Kwenye Daraja Lipi!
Kuna Scene Ile Alikuja Kuvamiwa Na Yule Ndezi (Nimekosa Neno Baya La Kuliweka) Nyumban Kwake Vile Alivyokua Anampiga Na Kumsukuma Kiukweli Nilijikuta Najisemea Moyoni, "Kwanini Wanamnyanyasa Ivyi Kama Mume Kawaachia Nini Tena Mnamtaka"
Nilijiskia Vibaya Sana Nilisahau Kama Naangalia Maigizo.
Uhusika Huyu Mama Kauvaa Ukamvaa, Nachompendea Hatetereki Licha Ya Chuki Zinazomkumba, We Watu Wote Alowaona Wema Wote Wamemgeuka Wamemkosea Na Bado Hawataki Kumuona Akiishi Kwa Amani.
Pole Kwa Uliyopitia, Pole Sana.Kumbe ile scene imetudisturb wengi?
Mimi imenikumbusha machungu/shurba nilizopitia nilipokumbwa na mkasa wa kufanana na ule ila ukiwa ktk mlengo tofauti, jinsi Dr. Ji alivyokuwa akipambana na yule dogo alivyokuwa akimkaba vilinipa taabu sana kisaikolojia.
Katika mambo niliyogundua ni utofauti wa kitamaduni na uwazi baina yetu na wao. Imagine mwanamke anacheat tena na rafiki wa mume wake halafu anaweza kumwambia mumewe bila hofu, haki ingekuwa huku tungeshazika zamani!
Kuna jambo naona kama silielewi, mwishoni mwa Ep 9 naona kama yule Dr. mpya wa hospitalini kwa Dr. Ji ni pandikizi la Mzee Chairman baba yake na Da Kyung, kwanini ampe ripoti ya Dr. Ji na ex husband wake Mr. Lee?
Natamani isiwe hivi ninavyohisi maana tayari nimeshaanza kuwapenda pamoja.
Katika mambo siyapendi ni ukaribu wa Dr. Ji na Mr. Lee
Wameshaachana kwanini Mr. Lee anaingia hovyo nyumbani, kazini na katika maisha ya Dr. Ji?
Sipendi kabisa drama za ma-ex, ila ndio drama yenyewe sasa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Pole Kwa Uliyopitia, Pole Sana.
Inavyoonekana Dr Kim Alikutana Na Chairman Yeo Wakati Anamsema Mtoto Wa Sun Woo Baada Ya Kumbamba Analichora Gari La Chairman Yeo, Hawakua Wakijuana Kabla Na Iyo Itaelezewa Mwanzon Wa Episode 10 Japo Hawajatupa Hasa Ilikuaje Mpaka Wakawa Karibu Vile.
Stalker(Sun Woo Husband) Bado Ana Hisia Na Sun Woo, Ile Taraka Ni Sun Woo Ndo Alieitaka Ila Huyu Psycho Hakua Tayari Kuicha Familia Yake Naona Ni Hulka Za Kiume Kutaka Vyote Kwa Pamoja.
Kurudi Gosan, Karud Kulipiza Visasi, Karudi Kumtingisha Sun Woo, Kaja Kumuonyesha Kua Bila Ya Yeye Sun Woo Hawezi Kuishi Ndomana Akarud Kwa Kujimwambafy Hasa Ila Kakuta Mwanmke Kisiki Hatetereki Yule Mama Licha Ya Machungu Yote Anayopitia,
Husband Ndo Anayefosi Ukaribu Na Dr Labda Kwa Kigezo Cha Mtoto Wao Yule,
Kuna Ile Scene Sun Alikua Anaangalia Video Zao Za Harusi Psycho Akagonga Kuingia Ndani Akamimina Wine Alokua Anakunywa Sun Akanywa Nilicheke Iyo Scene Then Akamuuliza Sun Ulikua Unaangalia Izi Video Hujafuta Tu Inaonekana Bado Unanipenda Sana Na Ile Sura Alivyoiweka Hahahahaha Nilicheka Nikasema Huyu Baba Kapagawa Kweli Kweli.
Uhusika Wake Ukiuleta Kwenye Maisha Yetu Halisia Sijui Niuweke Kwenye Daraja Lipi!
Kuna Scene Ile Alikuja Kuvamiwa Na Yule Ndezi (Nimekosa Neno Baya La Kuliweka) Nyumban Kwake Vile Alivyokua Anampiga Na Kumsukuma Kiukweli Nilijikuta Najisemea Moyoni, "Kwanini Wanamnyanyasa Ivyi Kama Mume Kawaachia Nini Tena Mnamtaka"
Nilijiskia Vibaya Sana Nilisahau Kama Naangalia Maigizo.
Uhusika Huyu Mama Kauvaa Ukamvaa, Nachompendea Hatetereki Licha Ya Chuki Zinazomkumba, We Watu Wote Alowaona Wema Wote Wamemgeuka Wamemkosea Na Bado Hawataki Kumuona Akiishi Kwa Amani.
Dah Dr mi namkubali aysee ila naona kama anaishiwa pumzi
It’s like the whole town kama wamemgeuka vile
Anapambana mwenyewe tu, Halaf yule mtoto wake nataman niingie nimpe mabanzi ya kutosha kanaboa kale kadogo
Sent from my iPhone using JamiiForums
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimechekaaaaaaa
Watoto wale sijui wanalelewaje jamani? Eti anatoroka shule hataki kuulizwa, daaaaaamn!
Damu ingeshamwagika, lol
Sent from my iPhone using JamiiForums
HEALER ni Drama safi kabisa hatimaye nimeimaliza, ilikuwa na story nzuri pia.
Nimefanikiwa kuimaliza WELCOME TO WAIKIKI 1. ilikuwa Drama safi kabisa, Ina-visa na mikasa ya kuchekesha na kufundisha juu ya urafiki mwema.
pamoja haso za marafiki hao.
Wakuu Naombeni list ya Historical Drama ambazo hazina sana romace au hazina kabisa romance.View attachment 1399952
Tafuta “My Country: The New Age” na “Arthdal Chronicles.”
Sent from my iPhone using JamiiForums
Naona Wanataka Kutuonyesha Madhara ya Talaka Yanaasiri Na Maisha Ya Wanaowazunguka Hasa Watoto.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] madai yake divorce imemchanganya smh
Sent from my iPhone using JamiiForums
Naona Wanataka Kutuonyesha Madhara ya Talaka Yanaasiri Na Maisha Ya Wanaowazunguka Hasa Watoto.
Naona Pia Wanatuonyesha Kwenye Malezi Kuna Umuhimu Wa Kuwepo Wazazi Wote Wawili (Kama Wote Wapo Hai).