Pole Kwa Uliyopitia, Pole Sana.
Inavyoonekana Dr Kim Alikutana Na Chairman Yeo Wakati Anamsema Mtoto Wa Sun Woo Baada Ya Kumbamba Analichora Gari La Chairman Yeo, Hawakua Wakijuana Kabla Na Iyo Itaelezewa Mwanzon Wa Episode 10 Japo Hawajatupa Hasa Ilikuaje Mpaka Wakawa Karibu Vile.
Stalker(Sun Woo Husband) Bado Ana Hisia Na Sun Woo, Ile Taraka Ni Sun Woo Ndo Alieitaka Ila Huyu Psycho Hakua Tayari Kuicha Familia Yake Naona Ni Hulka Za Kiume Kutaka Vyote Kwa Pamoja.
Kurudi Gosan, Karud Kulipiza Visasi, Karudi Kumtingisha Sun Woo, Kaja Kumuonyesha Kua Bila Ya Yeye Sun Woo Hawezi Kuishi Ndomana Akarud Kwa Kujimwambafy Hasa Ila Kakuta Mwanmke Kisiki Hatetereki Yule Mama Licha Ya Machungu Yote Anayopitia,
Husband Ndo Anayefosi Ukaribu Na Dr Labda Kwa Kigezo Cha Mtoto Wao Yule,
Kuna Ile Scene Sun Alikua Anaangalia Video Zao Za Harusi Psycho Akagonga Kuingia Ndani Akamimina Wine Alokua Anakunywa Sun Akanywa Nilicheke Iyo Scene Then Akamuuliza Sun Ulikua Unaangalia Izi Video Hujafuta Tu Inaonekana Bado Unanipenda Sana Na Ile Sura Alivyoiweka Hahahahaha Nilicheka Nikasema Huyu Baba Kapagawa Kweli Kweli.