Silasuga mahinyila
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 209
- 114
recentlykaribuni ina maana pana sana
Mara ya mwisho niliangalia Hong Gildong picha inaitwa Rebel: Thief of the people...laia wakiimba song la spring of ikwari najiachia kwenye sofa pale kama muigizaji wa akiba yaani laha ajabusidhani labda urudi nyuma (2019 -2005)
Nilianza na blidal mask ya Gildong inakuwa kama ya 5 hivikwa makisio umeshangalia historical drama ngapi?
Kwamba Umeamua Kumtetea Mwanaume Mwenzio,uvumilivu umenishinda
wanawake wa humu ndani muache kumsema ovyo kaka mkubwa general mubaek from arthdal chronicles......
tulishampa nafasi yule ahjumma ahame mitaa ya GOSAN lakini anaendelea kuleta ubishi, kitakachomkuta atajuana na bwana kujifukiza....
tumevunja madirisha, tumekunywa pombe yake.....
kitakachofuata ni kuondoka na nguo zake zote za ndani (tukaweke kumbu kumbu)
asituchanganye tukazidi kuchanganyikiwa na mchanganyiko wa malimao na tangawizi ya kujifukiza......
View attachment 1433599
Naona Na Yule Mwengine Anakosa Ata Kutulia Nyumbani Kwake Na Mke Wake Mpya Kutwa Kumfata Fata Sun Woo.Yeah ni kweli
Mbaya zaidi wazazi wako busy kufanyiana revenge huku mtoto anazidi kuharibikiwa.
Nahisi atakuja kufanya tukio matata ndo washtuke
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ramadhan Kareem.kwa makisio umeshangalia historical drama ngapi?
Amiin,kwa sote....chingu
Oooh Corona Kumbe.dah! naogopa kuja mtaa wa pili......hali ni mbayaaaa.
nasubiria sikukuu ya IDDI
Ukieelewa Uniambie Nami Niivute.thanks.....
currently nafuatilia:
- the world of the married
- memorist = inamaliza wiki hii
- a piece of your mind = imemaliza usiku wa leo
- the king eternal monarch
- hospital playlist
- when my love blooms = imeanza vizuri
completed drama: nimeanza kuiangalia secret love affair
hadithi inayozungumzia mahusiano ya kimapenzi kati ya mwanamama aliyeolewa mwenye umri wa miaka 40 -49 na mvulana wa dar mwenye wastani wa umri wa miaka 20-29.
nahitaji kumfahamu zaidi huyu ahjumma kim hee ae, humo ndani yupo pamoja na Yoo Ah In.
Ni project ya mwaka 2014 kupitia station ile ile ya Jtbc
View attachment 1433914
Ivi Hospital Playlist Ni Nzuri Maana Naona Jukwaa Lake Soompi Linakimbiza!?thanks.....
currently nafuatilia:
- the world of the married
- memorist = inamaliza wiki hii
- a piece of your mind = imemaliza usiku wa leo
- the king eternal monarch
- hospital playlist
- when my love blooms = imeanza vizuri
completed drama: nimeanza kuiangalia secret love affair
hadithi inayozungumzia mahusiano ya kimapenzi kati ya mwanamama aliyeolewa mwenye umri wa miaka 40 -49 na mvulana wa dar mwenye wastani wa umri wa miaka 20-29.
nahitaji kumfahamu zaidi huyu ahjumma kim hee ae, humo ndani yupo pamoja na Yoo Ah In.
Ni project ya mwaka 2014 kupitia station ile ile ya Jtbc
View attachment 1433914
Iyo Ya Secret Love Affairipi hiyo?
Ngoja Siku Nitaijaribu.nzuri sana
Ina Episode Ngapi!?oooohhhh! nitafanya hivyo
nimefika episode 4
Oky Kiporo Icho.
Bila Kusahau Na Find Me In Your MemoryUkieelewa Uniambie Nami Niivute.
. Married Couple
Eternal Monarch
Born Again
Memorist Nipo Ya 13Episode
Piece Mind Ya 11Episode
Nipo na Za Wazungu.
Unataka Kusema Kwamba uku Kalipizwa!?humo ndani huyo ahjumma ni zamu yake kuchepuka
yes, ni overrated lakini inaeleweka kama utaiangalia kwa utulivu unaoambatana na kuunganisha matukio yaliopita.....halafu mkuu project kama zile ndio maeneo yake ya kujidai handsome boy MINOZ
endelea kuwa mvumilivu
- faith
- legend of the blue sea
Project ambazo nimezitazama Tangu January 2020 mpaka sasa-:muhuni wewe kwa kuangalia project mbovu unaongoza humu ndani......
perfume ya haji manara au ya mr harmorapa?