swala na katika wasap pia tuwe karibu incase humu atupo mijadala iwe inafanyika ata wasap tu. nazungumzia social networks labda kama kufungua uzi mwingie kweli ingekuwa jauHili swala lina kera sana na ninaona lina kuwa kwa kasi sana humu Jf.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kaka samsun...
Me nazikubali sana zile ambazo wanavaa MAPAZIA..!
Zile za wavaa suti na tai sizielewagi kabisa..!
[emoji16] [emoji16] Mpaka unanishawishi nikutafute mkuu mana si kwa nondo hizo [emoji2] [emoji2]Huwa napenda kuchek movie za Korea na mataifa mengine kila niwapo huru... View attachment 408208 hizo ni baadhi ya Korean drama
http://kissasian.com/Drama/The-LegendJamani mi kuna moja inaitwa 4 gods niliangalia season 1 tu nimejaribu kutafuta zingine nimekosa kama kuna aliyewahi iona au anayo plz msaada.
Tumia dramacool.com ipo poa zaidNimeicheki, ila naona episodes tu. Na kama ni ku-download, inabidi nidownload parts. Site ambayo unashusha full season(s) ni ipi?
Mkuu unaweza kunipatia baadhi ya series hapo[emoji4] [emoji4]Huwa napenda kuchek movie za Korea na mataifa mengine kila niwapo huru... View attachment 408208 hizo ni baadhi ya Korean drama
Aiseee wewe ni noma.Uko mkoa gani?Series Nilizonazo
2 weeks
3 days
A gentleman dignity
A love to kill
A man called god
Arrow
Bad boys
Beautiful day
Bichunmu
Blood
Boys over flowers
Bridal mask
Brilliant
Cheese in the trap
City hunter
Coffee Prince
Destined to love you
Doctor stranger
Dong Yi
Empress Ki
Faith
Fated to love you
Good doctor
Gu family book
Healer
Hear my heart
Heart string
Hero
Hiden identity
High society
Iljumae
Iris
Jackpot
Kill me or heal me
Kim so ro
Kingdom of wind
King dou chogo
Legend
Level 7 civil servants
Love rain
Mandate of heaven
Mask
My girlfriend is gumiho
My love from another star
Myung wol the spy
Playful kiss
Princess ja Myung go
Queen seon deok
Secret garden
Seven sword of Mt. Tian
Six flying dragons
Steal my heart
Stranger hero
The heir
The man from nowhere
The sun
Trees with deep roots
Triangle
Worriers
Yong pal
You are beautiful
Kundo
War of arrows
Psychic
Puzzle
No mercy
Hapo TB 2 znakalibia kuajaa na bado za nchi nyngene nje ya Korea...Aiseee wewe ni noma.Uko mkoa gani?
Jamani nikutafute unipe hizo series japo kuna ambazo nimeangaliaHapo TB 2 znakalibia kuajaa na bado za nchi nyngene nje ya Korea...
Npo Dar
Ukinitafuta jua tunakuja kubadilishana na si kuchukua tu.... yani unachukua unazotaka ambazo huna nam pia hvy hvtJamani nikutafute unipe hizo series japo kuna ambazo nimeangalia
OK usijali ninazo kama 20 hiviUkinitafuta jua tunakuja kubadilishana na si kuchukua tu.... yani unachukua unazotaka ambazo huna nam pia hvy hvt
Ukiwa huru ni PMOK usijali ninazo kama 20 hivi
OK poaUkiwa huru ni PM
Nakuunga mkono mkuu...hiyo Empress Ki ni kwikwi nyuma ya Jumong Kwa upande wanguEmpress ki hii mambo ni kwikwi
naipa number 2 after gu-family book