Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

(1) Shopping King Louis
(2) The Smile Has Left In Your Eyes
(3) Encounter
(4) Emergency Love
(5) Because This Is My First Life

images.jpg

unnamed.jpg

images-1.jpg
 
Msaada jamani siku hz nashindwa kupakua series kupitia drama nice au dramacool ilihali zamani nilikuwa naweza kama kawaida ,,,,sielewi tatizo nn shida ina anzia kwenye kidude kilichochini upande wa kulia kile cha Ku download ia uki click kinaleta vitu havielewekeki ..msaada jamani bila shaka wazoefu mmenielewa
Kama una tumia PC,download torch browser harafu install,utapakuwa poa kabisa kupitia framanice na dramacool,
 
hivi una undugu na le professor lipumba (mtanganyika wa kwanza kupendwa na wazanzibari hususani kutoka pemba)?
kipindi kile nailalamikia hiyo drama hukuweza kuziona comment zangu?

pambana na money game yako ( si unataka kuwa mfujaji fedha za walalahoi)
Haya mkuu.

Kuna mtu ananisumbua sana kuhusu Season 2 ya Vagabond, je! Kuna Dalili za Mwendelezo wake?
 
Waungwana natamani sana kujaribu kufatilia series hizi za Kikorea zinazohusu, u-spy na mavitavita tu lakini nashindwa nikiangalia moja ya pili nasinzia!
.
kamekuwa katabia hata za kizungu na China ninasinzia na bahati mbaya nijue zipo 62 au 48 ndo kabisaa nakata moto.
msaada wenu nyie mmewezaje?
 
Ukitaka kuwapenda watanzania jifunze Tamaduni zao
 
me too.....nasubiria tiketi ya simba, corona imenikosesha futari ya tambi na njugu mawe....
when my love blooms inaendelea kuniliza, kuniliwaza, kuniumiza, kunikosoa na hata kunipa moyo kwenye safari yangu,
sijui mwenzangu upo wapi muda huu?
Nipo EP.12
Maisha Ya Mahusiano Yana Siri Sana Na ni Kitu Kisichotegemewa Kuwa Hivyo Hivyo Maisha Yote.

Kila Mtu Alishaoa Na Kuolewa Kwengine Na Watoto Juu, Ila Upendo Kati Yao Bado Upo Vile Vile.

Kwaiyo Ajushi Nafasi Bdo Unayo.
 
ahsante sana...
mkuu muda umejengwa na sifa kuu 3 ambazo ni past, present na future na sifa zote hizo zimeelezwa kwa uwazi ndani ya hiyo project (the king and eternal monarch).

Lee Gon ni muumini mkubwa sana wa sayansi lakini kadri hadithi inavyosogea mbele tunagundua mabadiliko ya kitabia(now amekuwa muumini mkubwa sana wa ile firimbi ya manpasikjeok).

baadhi ya muda hadithi inatufunza ya kwamba kumbe future, present na past vinaweza kutegemeana, imagine mapinduzi yalitokezea mwaka 1994 wakati lee gon akiwa ni kijana mdogo lakini kile kitambulisho cha jung tae ul alichokichukua kinaonyesha hilo tukio ni la mbeleni (2019).

episode 13 ndio imekuja kutupa jibu kumbe ni kweli lee gon mkubwa amemuokoa lee gon mdogo dhidi lee rim.
time, time, time
hata wachawi wanacheza na muda, wakikosea muda tu ndio huadhirika
Bila kusahau ile bookstore aliyoiona mwaka 2022 kwa CCTV camera... Yaan sijui ile record aliipata wapi hadi sasa[emoji848][emoji848][emoji848]
 
ni kweli bado ninayo nafasi ila mke wangu ameendelea kuwa king'ang'anizi wa mahusiano yetu yaliokwisha korogeka na dumu la petroli (labda anataka kunichoma moto).

akae akitambua happy ending dhidi ya mpendwa wangu aliyeibiwa na haji manara haiepukiki.
nimependa ost zake, nimependa flow ya drama (kama upo nyakati za winter, umetulia ndani ya apartment yako, pembeni unapigwa na mvuke wa moto).

dah maisha ya kitajiri yana raha sana

ost namba 5 imekuja kushindilia msumari wa upendo na matumaini
tuachane na hilo, lee bo young ni mrembo (huwezi amini kama ameshakuwa mzazi wa watoto wawili), wenzetu wanajuwa kujitunza kuanzia kula yenye kueleweka, mazoezi hadi utumiaji wa vipodozi

ji sung ameoa mrembo

Sikujua Kama Ni MKe Wa Ji Sung Duh Kapata Mrembo Hasa Hongera Zake,

Mazingira Yao, Na Nahisi Hali Ya Hewa Ya Kwao Pia Inawasaidia Japo Sina Uhakika.

Uku Mama Chanja Ukiwa Na Wawil tu Basi.

Mpendwa Wako Mbona Hajaibiwa Na Manara (Mbona Kama Kaibiwa Na We Mwenyewe) Kama Le Gon Alivyojiokoa

Na Mke Mbishi Yule Hataki Kuachia Kijiti Japo Anaona Kabisa Hawezi Kukishika Tena.
 
ni kweli bado ninayo nafasi ila mke wangu ameendelea kuwa king'ang'anizi wa mahusiano yetu yaliokwisha korogeka na dumu la petroli (labda anataka kunichoma moto).

akae akitambua happy ending dhidi ya mpendwa wangu aliyeibiwa na haji manara haiepukiki.
nimependa ost zake, nimependa flow ya drama (kama upo nyakati za winter, umetulia ndani ya apartment yako, pembeni unapigwa na mvuke wa moto).

dah maisha ya kitajiri yana raha sana

ost namba 5 imekuja kushindilia msumari wa upendo na matumaini
tuachane na hilo, lee bo young ni mrembo (huwezi amini kama ameshakuwa mzazi wa watoto wawili), wenzetu wanajuwa kujitunza kuanzia kula yenye kueleweka, mazoezi hadi utumiaji wa vipodozi

ji sung ameoa mrembo

Sasa Naangalia When My Love Blooms Na Handsome Minoz.

Nairudia Na Jumong Kwa Mara Ya Tatu Sasa Naiangalia.
 
Ngoja tuone kinachofuata, kama binti anaihitaji kweli ndoa yake basi amgeuke baba yake na awe upande wa mume wak....
hmmmmmmmm! hata mimi nisingelichukua uamuzi huo.

kupatwa kwa kulinda ndoa,
Hata Kama Akimgeuka Sina Uhakika Kama Jae Hyun Ataendelea Kua Nae.

Nimpenda Sana Namna Walivyotuonyesha Nguvu Ya Upendo Wa Kweli Hua Pale Siku Zote.
 
iruhusu nafsi yako ikutawale na si kipande cha moyo wako.....
mwaka jana niliangalia search: www drama mpaka episode 4 nikashindwa kuiendeleza, mwaka huu nimeirudia mwanzo mwishoooooo.

moyo ulishindwa kuikubali project hiyo, nikairuhusu nafsi nayo iamini hivyo.

nilikuwa siwezi kuangalia family drama lakini kwa sasa nimejizowesha.
nilikuwa siangalii project za kimagharibi ila ndani ya mwaka huu nimeshangalia series 5 (changamoto kubwa ni mfumo wa series unanipa tabu, nahitaji niangalie series imalize na si kupigwa kalenda)
Nitajaribu Sir
 
ondoa khofu muheshimiwa, captain henderson atakata kiu yenu iliodumu kwa takribani miaka 30....
corona ni kaugonjwa kadogo sana....ni mafua yanayotokana na unywaji wa maji baridi
Dah kwani Henderson anacheza peke yake?
Ila sawa tu ili mradi tunabeba
 
Back
Top Bottom