Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ni mimi tu nimepitwa au mbona Pasua kichwa ( The King eternal Monarchy) imetoka episode moja wiki iloisha?

Nimemaliza Hospital Playlist dah sijui kwanini imeisha[emoji26] moyo una furaha sana kuitazama
 
Aaah hizi series za kikorea zishanikataga stimu tangu enzi za jumong

Wamevaa mavazi ya kuonesha kijijini nikajua hapa mkono utaochezwa humu ni zaidi ya taichi. Mwisho wa siku naona wanarukaruka tu na mashuka yao
 
Nakuunga mkono.

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 eti mashuka yao
Aaah hizi series za kikorea zishanikataga stimu tangu enzi za jumong

Wamevaa mavazi ya kuonesha kijijini nikajua hapa mkono utaochezwa humu ni zaidi ya taichi. Mwisho wa siku naona wanarukaruka tu na mashuka yao
 
Una ubaguzi siku hz kwamba post yangu hukuiona😏😁......mweeeeh ila Asante kupitia hii post nimepata what I wanted.
 
Dae Niliishia Episode Ya 4 When Camellia is Blooms Sijajua Kwanini Nimekua Mzito Kuimalizia

Naona Inzidi Kuchukua Tuzo Tu Imeongoza Kwa Kuzichukua Usiku Wa Leo Kwenye Tuzo Za BaekSang Arts Awards 2020.

Grand Prize
Best Screenplay
Best Actor
Best Supporting Actor
 
Swali Naombeni Mnisaidie Majibu.

Kipimo Cha Muigizaji Bora Na Mzuri Ni Uhusika Wake, au Director (Namaanisha Muongozaji Wa Drama/Movie) ambaye Anawaongoza Namna Ya Kuuvaa Uo Uhusika!?

Nimenasa Naomben Mnisaidie Majibu.
 
Tumewaza Pamoja.

Baada ya Kuona Wamempa Ha Neul Best Actor Nikasema Hata Best Director Angetoka Kwenye Drama Hii Na Ata Best Drama Ingechukua.

Kama Ulivyoandika Itakua Wamefanya Ivyo Ili Kutowavunja Moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…