Exo next door nimeivuta tu baada ya kuvutiwa na mb zakechache yaan episode moja ina mb 47 kushuka 30 au 28. Hope itakua nzuri. Wapenda hasara tuna kazi sana.(tunavuta yote kisha tunaanza kujilaumu)
umeionaje
Naomba nielekeze jinsi ya kujiunga huko telegram na mimi niweze kuchukuwa muvi hizo
currently watching:
uvivu umekuwa ni mwingi sana ila pia ni jambo zuri sana kwa sababu nazidi kupata muda wa kupunguza huu ulevi.
sijui wenzangu munafuatilia project zipi.
- wind cloud and rain (the king maker): ni mwendo wa kupeleka mbele, ukishaziangalia sana historical drama za joseon unajihisi kama unafanya mrejeo wa matukio ya zamani (steringi anauliwa baba yake kwa kusingiziwa uhaini, anateseka, baadae anapata nguvu ya kupambana na wapinzani wake, anakutana na binti wa kifalme anaogopa kumpiga busu..)
- my unfamiliar family: hizi familia zetu zimejaa siri sirini.
Mbona km wananikwaza hiviπThe production of tvN drama 'Arthdal Chronicles 2' has been postponed due to COVID-19
It was revealed that they were supposed to start filming in October this year
sina uelewa mkubwa sana wa hizo ishu nyeti za uzalishaji ila:
ishu kubwa inakuwa ni gharama za uzalishaji ndio inayopelekea episodes kupungua, kuna utofauti mkubwa sana wa kigharama kati ya family drama na hizi drama tulizojijengea mazoea ya kuziangalia kila siku.
kwa mfano family drama na daily drama zinakuwa na gharama ndogo sana kiuzalishaji ndio maana si ajabu kuzikuta zinagonga mpaka episode 50 (film location kwanza hazibadiliki hata kama episode zitakuwa 10000).
usisahu wakorea wana sheria yao inasema:
- pia drama nazo zina sifa ya betting, hakuna project yeyote ambayo kampuni au televisheni husika inakuwa na uhakika wa kufanya vizuri, imagine drama ina episode 40 au zaidi halafu ndio hivyo inafanya vibaya kila wiki, ina maana itawalazimu mashabiki wasubirie wiki 20 ili project hiyo imalizike......
- wakati wewe unaendelea kusubiri project mbovu imalizike huku upande wa pili wenzako wanaingiza project mpya huku watazamaji na wafanya biashara wanakimbilia huko ili watangaziwe biashara zao. kwa mfano princess jamyung haikufanya vizuri kipindi kile jambo lililopelekea production team wapunguze kiwango cha episodes, mfano mwengine drama ya jumong ilipaswa iwe na episode 60 tu lakini baada ya kufanya vizuri kila wiki ilipelekea episodes ziongezwe mpaka kufikia 81 kwa sababu ya faida ya matangazo
- risk factor: shirika la SBS walishindwa kuichukua project ya mr sunshine iliokuwa na episode 24 kwa sababu ya gharama zake kuwa kubwa (inasemekena gharama zake ilikuwa ni won billion 40, dollar millioni 36) ndipo TVN wakaichukua na baadae wakala shavu ya kuiuza Netflix ......kuna taarifa fulani nimeiona wameandika hivi: When combined with Netflix sales, VOD sales, and indirect advertising, "Mr. Sunshine" is estimated to have made 57 billion won in total revenue.(ina maana SBS hawakujiamini ya kwamba hiyo project itawalipa)
- ratiba nayo pia ni kikwazo: ni ngumu sana kwa sasa kumshawishi muigizaji na wengineo kufanya kazi moja kwa takribani miezi 6 kama zamani, kibaya zaidi wakorea na wao wana tatizo kubwa sana la ulipaji baada ya kazi
siruhusa kuweka tangazo katikati ya kipindi ndio maana siku hizi ili kuweka balance ya gharama za uzalishaji mashirika ya korea (KBS, SBS, MBC) wameamua kuzifanya episode ziwe na dakika 30 (wanaweka matangazo) baadae wanamalizia part 2 ya episode.
wenzetu pindi wanapokumbwa na shida basi hutafuta njia ya kujiokoa na shida hizo tofauti na sisi wazee wa kutembeza bakuli na manang'uniko(migogoro yao ya mara kwa mara dhidi ya china na japan ambao ndio wateja wao wakubwa wa masuala yao ya kitamaduni ndio imewafanya watafute solutions zitakazowaokoa na utegemezi wa soko la majirani)
currently watching:
uvivu umekuwa ni mwingi sana ila pia ni jambo zuri sana kwa sababu nazidi kupata muda wa kupunguza huu ulevi.
sijui wenzangu munafuatilia project zipi.
- wind cloud and rain (the king maker): ni mwendo wa kupeleka mbele, ukishaziangalia sana historical drama za joseon unajihisi kama unafanya mrejeo wa matukio ya zamani (steringi anauliwa baba yake kwa kusingiziwa uhaini, anateseka, baadae anapata nguvu ya kupambana na wapinzani wake, anakutana na binti wa kifalme anaogopa kumpiga busu..)
- my unfamiliar family: hizi familia zetu zimejaa siri sirini.
Lee Seung-gi officially confirmed to star in tvN drama Mouth,
he will act as Jung Ba-reum who is a newly police constable of police substation. His life was totally changed after a confrontation with a natural Bourne psychopath killer.
lee hee joon will appear in the drama as detective Goo Moo-chi who is paired with Jung Ba-reum in investigations.
Broadcast in 1st half of 2021.
==================
nimeikumbuka comment ya member fulani, alizungumzia hii ishu ya waandishi wa korea kwenda na mdundo wa psycho
wale munaosubiria season 2 ya vagabond bado mupo?
teh teh teh
View attachment 1480939
teh teh teh
huwa huchagui genres, muigizaji mkuu wala mwaka husika pindi unapotafuta drama?
drama nyingi unazoangalia na ulizowahi kuziangalia basi kiupande wangu sijawahi kuzitazama (2016 kwenda chini)....
neighborhood hero na hit the top ndio kwanza nazisikia leo
kwa nini?
Ukiangalia the world of married unakua team mke wa ndoa ukija when my love blooms unahamia team mchepuko [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] maisha haya daah