Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Historical sometimes naita drama za magauni. Ukimaliza historical moja tamu kabla ya kurukia nyingine(gauni) hamia ya mjini,ukiimaliza ya mjini rudi kwa hio ya magauni utaona uzuri wake ambao haukuuona awali.
hahaha Usinivunje moyo tafadhali, maana jana nilijaribu kuitazama ndani ya DK 20 nikachoka kuangalia movie siku nzima, Leo nimeanza na Money Game( ni tamu kweli kweli).
wacha sasa niijaribu tena hiyo Shin Don, maana tayari nishazipakua Episode zake 18.