Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ingekua hatupati shida na hiyo dramanice tusingehangaika kuomba turushiwe! na mkuu anayeturushia huko telegram angekua na majibu km haya basi asingepata shida kuanzisha lili group la telegram!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapata shida gani upewe website nyingine...huyo mkuu huko unamsaidia pesa ya bundle?
Ukiona haijatumwa jiongeze tu mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekua hatupati shida na hiyo dramanice tusingehangaika kuomba turushiwe! na mkuu anayeturushia huko telegram angekua na majibu km haya basi asingepata shida kuanzisha lili group la telegram!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wale wote wanaopata shida kudownload korean drama ingieni telegram kuna group linaitwa Dramaost hilo utapata series zoooote unazozitaka na usizozitaka pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu samahani kama reply yangu umeipokea kitofauti, sishangai maana kila mmoja ana mapokeo yake. Mkuu unapata shida sehemu ipi huko dramanice ? Eleza uelekezwe.

Mkuu huwa nikibonyeza server ambayo ni MP4 na kunidirect kudownload, nikibonyeza download unakuta inapotea kabisa! Inanirudisha kwenye google, ndo maana nikaomba msaada! But usijali mkuu tupo pamoja na sijapokea majibu yako ya awali kwa mtazamo hasi!
 
Tumia server ya chini yake ambayo sio MP4 inakubali. Au hamia dramacool.movie chagua server ya mwanzo chini ya ile ya juu. Au kissiassian baada ya sarakasi zake chagua server ya FE
Mkuu huwa nikibonyeza server ambayo ni MP4 na kunidirect kudownload, nikibonyeza download unakuta inapotea kabisa! Inanirudisha kwenye google, ndo maana nikaomba msaada! But usijali mkuu tupo pamoja na sijapokea majibu yako ya awali kwa mtazamo hasi!
 
Mkuu huwa nikibonyeza server ambayo ni MP4 na kunidirect kudownload, nikibonyeza download unakuta inapotea kabisa! Inanirudisha kwenye google, ndo maana nikaomba msaada! But usijali mkuu tupo pamoja na sijapokea majibu yako ya awali kwa mtazamo hasi!
Tumia hiyo inaanzia na X alafu itakuletea page nyingine inakuwa na namba hiyo hiyo ndo utadownload kwa vile vitufe vya pembeni ikianza ku play...dramanice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Check me telegram kwa babi057
Babi and ask any series or movie i will send u for free
Screenshot_20200517-010756_Telegram.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom