Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Haya Bwana Sun Woo tutafanyaje...vile namlenda Dr Kim daah.

Sema kumbe kweli hadi huko watalaka hawaachani[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app

Mpaka sasa hivi nakosa cha kusema kuhusiana na hii episode, haki nimeishiwa maneno kabisa.

Haya ndiyo matokeo ya kuendelea kuwa na ukaribu na ex wako, Sun Woo nimemvua vyeo vyote.

Nilivyokuwa natamani aishie na Dr. Kim sijui itakuwaje sasa 🤦‍♀️
Ila somehow nimepata releaf kwamba Da Kyung ataumia kwa kilichotokea.
Na tokea mwanzo nilipata mashaka ya wawili hawa kurudiana mwishoni, japo siwapendi pamoja as couple.

Aliyeziweka OST kuendana na yale matukio katisha sana [emoji1430][emoji1430][emoji1430]
aminas

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mpaka sasa hivi nakosa cha kusema kuhusiana na hii episode, haki nimeishiwa maneno kabisa.

Haya ndiyo matokeo ya kuendelea kuwa na ukaribu na ex wako, Sun Woo nimevua vyeo vyote.

Nilivyokuwa natamani aishie na Dr. Kim sijui itakuwaje sasa 🤦‍♀️
Ila somehow nimepata releaf kwamba Da Kyung ataumia kwa kilichotokea.
Na tokea mwanzo nilipata mashaka ya wawili hawa kurudiana mwishoni, japo siwapendi pamoja as couple.

Aliyeziweka OST kuendana na yale matukio katisha sana [emoji1430][emoji1430][emoji1430]
aminas

Sent from my iPhone using JamiiForums

Uwii naomba ending yao isiwe this toxic couple kurudiana wataniudhiii

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
My father is strange

Ina visa has a

1marriage internship ( mnaoana kwa criteria ambazo zinakuwa evaluated kila Sikh)

2 marriage graduation ( hakuna divorce au alimony Bali kila mwanandoa aishi kivyake bila kufuatiliana) lkn hawajatuambia kama unaweza kuwa na hawara

3 vikao vya familia( kujadili na kuamua kwa kura lkn baba na mama kura yao ni Moja na ndiyo final yaan yenye maamuz

4 obsession ya ambitions kwa wanawake kuliko kujali maisha ya ndoa mume na watoto

5 management ya mastar ilivyo na hasa majukumu ya manager kuliko huku kwetu manager in mkubwa kuliko star
 
teh teh teh
umeshakuwa addicted....
mambo ni mengi kiupande wangu kwa sasa (itabidi tupitishe uvumilivu wa kibabe, muda wa kujiunga internet umebadilika

Niliifuta episode 1 kimakosa (The World of Married Couple)
Pls nisaidie kuiweka tena kuna mdau anahitaji kuicheki na wengine pia wasikumbane na kadhia hiyo.
Shukrani [emoji1488]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom