Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mkuu endeleza kuturushia King Dae Jo Yeong kule telegram, kwa heshima na taadhima!
Si mdownload kupitia dramanice
mkuu mbona kama sometimes downloads zinapotea huko dramania app yaani inaonyesha zinadownload halafu hazionekani?
Ingekua hatupati shida na hiyo dramanice tusingehangaika kuomba turushiwe! na mkuu anayeturushia huko telegram angekua na majibu km haya basi asingepata shida kuanzisha lili group la telegram!

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribuni na hapa (Telegram Channel), Series zote za 2020 zipo hapa Free Korean Dramas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna movies ukizimaliza unatakiwa uchukue likizo fupi kwanza kisha uangalie nyingine maana kwa uzuri wake unaweza ichukia inayofatia. "Shin don" sijawahi kuiona,nimepata akiba ya kuangalia.shukrani. Ila shine or go crazy nzuri sana
Nimeimaliza "Shine or Go Crazy"
na sasa nimeianza "Shin Don"
 
Kuna movies ukizimaliza unatakiwa uchukue likizo fupi kwanza kisha uangalie nyingine maana kwa uzuri wake unaweza ichukia inayofatia. "Shin don" sijawahi kuiona,nimepata akiba ya kuangalia.shukrani. Ila shine or go crazy nzuri sana
Hii shine or go crazy nilijivutaga sana kuangalia, kila nikiangalia episode ya kwanza sieelewi kabisa nafunika. Siku nimeangalia Fated to love you ndio nikajua imechezwa na Jang Hyuk nilirudi kwa spidi ya jet nikiangalia mwanzo mpaka mwisho, nilijuata muda niliopoteza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo kama mie nilipokua naichukulia poa while you were sleeping ila nilipokosa vya kuangalia na nimeshaivuta nilijishangaa kuipita drama tamu kama ile
Hii shine or go crazy nilijivutaga sana kuangalia, kila nikiangalia episode ya kwanza sieelewi kabisa nafunika. Siku nimeangalia Fated to love you ndio nikajua imechezwa na Jang Hyuk nilirudi kwa spidi ya jet nikiangalia mwanzo mpaka mwisho, nilijuata muda niliopoteza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda play store vuta uc mini browser(hii haisumbui kama kubwa yake) ukishaipata ingia humo kisha google kissiassian.sh ingia humo tafuta drama uipendayo. Kama jaribio anza kwanza kuivuta uc min browser kisha uje uulize swali lingine
Nielekeze jaman daaah maana mm nachoka huku[emoji2363]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda play store vuta uc mini browser(hii haisumbui kama kubwa yake) ukishaipata ingia humo kisha google kissiassian.sh ingia humo tafuta drama uipendayo. Kama jaribio anza kwanza kuivuta uc min browser kisha uje uulize swali lingine
UC browser New Version inasumbua sana sasa hiivi natumia IDM ingawa siwezi kupakua Drama za Kissasian kupitia hiyo IDM
 
Kuna movies ukizimaliza unatakiwa uchukue likizo fupi kwanza kisha uangalie nyingine maana kwa uzuri wake unaweza ichukia inayofatia. "Shin don" sijawahi kuiona,nimepata akiba ya kuangalia.shukrani. Ila shine or go crazy nzuri sana
hahaha Usinivunje moyo tafadhali, maana jana nilijaribu kuitazama ndani ya DK 20 nikachoka kuangalia movie siku nzima, Leo nimeanza na Money Game( ni tamu kweli kweli).
wacha sasa niijaribu tena hiyo Shin Don, maana tayari nishazipakua Episode zake 18.
 
Back
Top Bottom